Wakuu habarini,kwa sisi mabinti huu mstari chini ya kitovu(linea negra) nackia una maanisha kuwa mtu yupo fertile na ana uwezo wa kuzaa,Je kama mwanamke hana maana yake hatoweza kuzaa?au mstari...
Mwandishi atoa ushahidi kesi ya madaktari
Na Waandishi wetu
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mtanzania Benjamin Msese ametoa ushahidi mahakamani na kudai kwamba Juni 27, mwaka jana, Dk...
Guyabano Health Benefits – It Cures Cancer?
Guyabano/ soursop/ guayabano/ graviolla has the following health benefits according to Bureau of Plant Industry:
Analyses of the fruit flesh...
Jamani naomba msaada wenu, mtoto wangu ana miaka miwili na miezi saba, katika siku za hivi karibuni kuna dalili naiona kama anapata kigugumizi wakati anaongea kitu ambacho hakikuwepo hapo kabla...
Wakuu hili linaninyima kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia na moka...
Wasalaam,
Hivi majuzi nilikuwa nasikiliza mada iliyokuwa inatolewa na mtaaalamu mmoja wa saikolojia,
alikuwa anazungumzia suala la Msongo (stress). Msikilizaji mmoja akauliza, tangu baba yake...
Salaam wadau,
Wadau naomba kujuzwa, nini chanzo cha maumivu ya kiuno??
1. Je ni symptom ya ugonjwa fulani mwilini?
2. Nini tiba yake?
Please kwa yeyote mwenye kufaham hili jambo, naomba...
ANAFAHAMIKA zaidi kwa jina la Mzee Small, lakini jina lake halisi ni Small Wangamba.
Ana sifa nyingi, lakini iliyo kubwa ni ucheshi, uchangamfu, ukarimu na kila aina ya bashasha. Hata hivyo kwa...
wakuu,jana kuna rafiki yangu ana mke wake,amekuja niuliza ki2,kuwa yeye ana mke wake wameona yapata miaka 2 sasa na hawaja bahatika kupata mtoto!ila tatizo kubwa alilo nalo shemeji yangu ni kuwa...
Habari zenu binafsi wana JF Doctor..
Awali ya yote napenda kuwapongeza na kuwashukuru wale wote wanaotoa ushauri wa kitaalamu bila malipo Mwenyezi Mungu awabariki.
Kuna tetesi kwamba mayai...
Ni miwezi mitatu sasa toka mke wangu apate ujauzito wa pili baada ya ule wa kwanza kuharibika na daktari kumwmbia kwamba ni tendo la ndoa ndo lililosababisha imekuwa ni shida kwangu kupata unyumba...
Matokeo mapya kabisa ya utafiti yaliyomo kwenye jarida la Clinical Oncology na kutangazwa LEO tarehe 21 Julai 2013, yanathibitisha uhusiano mkubwa uliopo kati ya kansa ya koo na virusi vya HPV 16...
mimi sijawahi kufikishwa kileleni na mwanaume yeyoye tangu nizaliwe.nimeshakua na marafiki wa kiume na sasa nimeolewa ila sijawahi kufikia kilele.nafurahia foreplay na mengine yote ila ikifikia...
Kuna dhana inayoendelea katika jamii kuwa ukinywa maji ya madafu unaweza kupata ugonjwa wa MABUSHA. Dhana hiyo siyakweli kabisha. MBU aina ya CULEX na ANOPHELES ndiyo wanaoambukiza minyoo inayo...
Hakika ARGI+ ni TIBA imara ambayo imetengenezwa vyema kuhakikisha inaleta matokeo mazuri zaidi NA kwa ufasaha.
imetengenezwa NA forever living products toka marekani. imeboreshwa vyema ili kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.