Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau naomba msaada wa nini cha kufanya, mtoto wa miaka miwili ameifuma dawa ya Amoxicilin inapokaa akainywa yote chupa nzima.Ilikuwa ni dozi aliyoandikiwa hospitali na tulianza jana kumpa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu? naomba kuuliza dawa ya mwanamke mjamzito wa mwezi mmoja na nusu, je ni dawa gani ya malaria utumia, kwani nimeambiwa mpaka mimba ya miezi 4 nakuendelea unywa dawa hizi za kawaida...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Hakika splina ni TIBA bora ambayo itaweza kukuondolea matatizo au maradhi mengi katika mwili wako. splina liquid chlorophyll ina mchanganyiko wa zinc, selenium, vitamin E, vitamin C, vitamin...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani huyu wife ana mimba ya miezi saba sasa, amehamua kununua grandmalt caton nzima, jamani hazina madhara hizi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hua nikitumia condom kwenye ku sex bao la kwanza linatoka fresh lakini kuanzia la 2 na kuendelea ni kazi naweza nikabadili ata 3 lakini si mwagi hadi demu wangu analalamika nifanyeje wakuu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. No Breakfast People who do not take breakfast are going to have a lower blood sugar level. This leads to an insufficient supply of nutrients to the brain causing brain degeneration. 2...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
wakuu nataji jina za dawa mzuri za kuongeza nguvu, ambazo zinapatikana kwenye maduka ya madawa
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Polen na kazi za kujenga Taifa hili changa.Naomba kujuzwa kuwa zipi ni faida za muwa?unaweza kuwa miongoni mwa mlo kamili?NAWASILISHA
0 Reactions
2 Replies
7K Views
“Tumethubutu, Tumeweza, Tunazidi Kusonga Mbele “ “huduma sahihi kwa jamii ndiyo lengo letu” “Wizara ya Afya na Ustawi Jamii” ...ndiyo kibwagizo (SLOGAN) inayokukaribisha kwenye lango kuu la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nina tatizo la ugonjwa wa miguu inauma kwenye muscles na kwenye joint karibu na kiuno ni maumivu yanayovuta yanayonifanya nishindwe hata kutembea coz naumia nikitembea muda mrefu.naombeni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wenu jamaa yangu yupo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa,hana mtoto alipoenda kwa daktari.Daktari alipomfanyia sperm analysisi,matokeo yalikuwa hivi -low sperm motility -about 5%...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni jambo la kawaida sana kwa baadhi ya Watu kuumwa tumbo na kuhara baada ya kula chakula Fulani,---- watu hawali mbogamatunda,nyama au samaki wa aina Fulani kwasababu wakila Tumbo linauma,na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari Bandugu, naombeni mnisaidie, ni hospitali gani naweza kumpata Dr. Milali? Nimesikia ni Daktari mzuri wa ngozi.
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Wana JF, Imekuwa ni "fashion" kuna watu wengi wakila nyama iliyosindikwa siku hizi. Mara nyingi hii inajitokeza zaidi kwa wale ambao hali zao kiuchumi ni nzuri. Nyama iliyosindikwa (processed...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana JF, Imekuwa ni "fashion" kuna watu wengi wakila nyama iliyosindikwa siku hizi. Mara nyingi hii inajitokeza zaidi kwa wale ambao hali zao kiuchumi ni nzuri. Nyama iliyosindikwa (processed...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kila nikinyoa ndevu natokwa na vipele sana hadi vinaota usaa..hii inasababishwa na nini na dawa yake ni nini mana nimepaka dawa mbalimbali lkn cion mabadiliko
0 Reactions
3 Replies
880 Views
Mbegu za ufuta 12 Health benefits of sesame seeds 1. Sesame seeds contain Vitamin B1,B2, B3 and E. 2. They have powerful antioxidants and help to fight cancer. 3. These oil seeds contain...
2 Reactions
6 Replies
33K Views
NAOMBENI KWA ANAYE FAHAMU ANIJUZE The Complete Natural Cleansing Solution For Parasites! Helps your body to naturally eliminate parasites & assist with the die-off symptoms. The only 100% Natural...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
jaman huwa naunganisha paka gor 3 bila kupumzika,ila hata hapo jogoo wangu huwa halali hata kwa nusu saa.Je ni tatizo?
1 Reactions
95 Replies
10K Views
Pregnant women could be given VIAGRA to 'boost baby growth' Study is underway to see if sex drug can boost survival of babies who are not growing the womb Previous studies found that Viagra could...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Back
Top Bottom