Habari zenu wadau wa jamvi hili,
naomba kupatiwa ushauri kwa wadau wenzangu maana huenda sina uelewa wa kutosha juu ya hili. Kuna dada alitumia dawa za albendazole mg 200/kila kidonge na alimeza...
Habari za jioni wanaJF,poleni kwa majukumu.Nimejaribu kufuatilia hizi pads tunazotumia akina dada nimegundua ziko za aina nyinginyingi zikitofautiana kwa muonekano,texture,hadi utendaji kazi...
Heshima mbele madaktari na wadau wote wa jamvi hili.
Naomba kujua vitu vinavyopelekea msichana au mwanamke mimba kutunga nje ya kizazi na mwishowe kutoka.
Natanguliza shukrani na pongezi kwa...
doctors plaza heart clinic ni hospital inayotibu magonjwa ya moyo na pressure, pia wana maabara ya kisasa. wanapokea bima ya Afya. simu ni 075 967 4616 au 071 967 4616.
Nawasilimu wote wanaJf doctor!
Naombeni msaada kwa anayejua namna ya kupunguza maumivu makali wakati wa hedhi,mke wangu anapata shida sana,mpaka anaharisha!
Nawasilisha kwenu,utani pembeni ktk...
you can purchase your herbal medicines at an herbal market
herbal medications are popular today
herbal medication was used in healing by the American Indians
alternative herbal medicine may...
JF Dr
Nina ujauzito wa miezi mitatu, tatizo ninatapika mara kwa mara, nilienda hospital nikapewa dawa (NOSIC) nilimeza kwa muda wa wiki 1 zilisaidia kidogo ila tatizo linaendelea, pamoja kuwa...
WAnajamii forums, hasa wenye watoto wa kiume wanaopanga kuwatahiri.....
Nina ushauri ufuatao...imekuwa kawaida ukimuuliza mtu sehemu ya kufanyia tohara wanakuonyesha Kariakoo kwa ALIJUMAA...
Wana jf.
Naomba msearch thread yenye topic isemayo @Mficha uchi hazai...Nimejaribu kuweka link na ku edit topic nimeshindwa.lengo la kurudia ni baada ya kuona kichwa cha habari hakihamasishi wana...
SELF-ADMINISTERED CPR
AVOID DEATH FROM A LONELY HEART ATTACK
A cardiologist says it's the truth...For your info. Read This...It could save your life!
Let's say it's 6:15 p.m. and you're driving...
naomba msaada wa kitaalamu,mimi rangi yangu ni maji ya kunde ,lakini uso wangu unakuwa mweusi mno,hasa nnapopigwa na jua,nilijaribu kusoma kwenye internet nnagundua nna tatizo la...
habari za leo wana jamvi!
Naomba kuuliza hivi unaweza kupata ujauzito siku ya (12) tangu kuanza kwa period iliyopita? Mf. umeanza period tarehe 02/11 then uka-do trh 14/11 je unaweza kupata ujauzito?
Jamani hizi rushes plus pimples usoni hadi zinaniondolea confidence coz nabaki na madoa uson.
Msaada-naomba ushauri kuhusu nini nifanye na lotion gani nitumie to keep my face soft..Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.