Suala la Hospitali Binafsi kuwaruzuku Madaktari Bingwa na Wa-kawaida kulingana na mapato au Bill ambazo wamesaini kwa mwaka/mwezi kunachangia ongezeko la sumu ya madawa kwa Wagonjwa na...
Watu wengi huwa na hofu ya sintofahamu hasa wanapofikiria kwenda kumwona daktari wa meno. Mambo 10 yafuatayo yatakusaidia sana kufahamu nini utarajie unapokwenda kufuata uchunguzi wa afya ya...
Ndugu zangu nina siku ya nne niko kitandani naumwa. (sijui malaria) siku ya kwanza kujihisi homa nili nunua Melafine nikameza pamoja na panado nakumbuka ilikua j/mosi usiku chaajabu homa haikukata...
Ndg wadau naomba msaada wa kiushauri na mawazo. Siku tatu zimepita tangu kiuno changu kuanza kuuma sana. Nakosa raha kabisa kwa kukaa,kutembea na kulala kwangu sasa ni shida tupu maumivu kibao...
Nina matatizo ya kua na muwasho mkali sehem za njia ya haja kubwa ni muwasho mkali hasa nikitoka kujisaidia, nimejaribu kutumia dawa za kienyeji lakini hakuna mafanikio naomba msaada nitatizo gani...
Nimeanza kufanya mazoezi ya kukimbia asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hua natoka huku town kuelekea mlimani sasa kila siku hua naenda fresh tu bila.tatizo ila sasa nikifika kule juu ambapo ndo...
Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zimepoteza furaha kutokana na watoto kukoseka miongoni mwa wanandoa. Wanawake na wanaume wamejikuta wakiangukia katika mikono ya matapeli wanaojiita waganga...
Wasalaam,
Nimekuwa nikijaribu kujiuliza maswali mengi kuhusiana na ''condom'' za kiume hasa yale mafuta yake. Kwa ufahamu wangu mdogo ikulu ya kina mama/ dada huwa na Ph yake, na yale mafuta ya...
Habari doctor
sio mwepesi sana kujongea katika jukwaa hili ila naitaji msaada wa dawa
ya kichwa ambacho kinauma, na kufanya uwe na unatetemeka kila saa. na
kuwa na flu isiyoneneka niko kwa job...
Habari wana jf/doctor
Najua hii mada ishazungumziwa sana hapa,ila kutokana na yaliynikuta imenibidi nije niombe msaada.
Nina miaka 26+ nimekuwa addicted sana PUNYETO kias kwamba siwez kumudu...
Yeye ni mgeni hapa mtaani kwetu. Mtu pekee ambaye angalau amezoeana nae ni mimi. Ana kama miezi miwili hivi tangu ahamie hapa mtaani. Leo kanieleza matatizo yake ambayo hata mimi sijaelewa na...
Nasumbuliwa sana na muwasho mkali wenye maumivu katika njia ya haja kubwa, tatizo hili limenichukua karibu wiki tatu sasa, mara nyingi tatizo hili linanikuta nikitoka kujisaidi hapo ndo maumivu...
MIMI NIMEONA TU MAHALI
Kama ikitokea umefanya unprotected sex kwa bahati mbaya au otherwise.....nenda muone doctor within 24 hours ukichelewa sana 72hours umweleze kuwa umeteleza so akuandikie...
5 Natural Flu + Cold Fighters
The best way to scare away a cold or flu is to nip it in the bud as soon as you start to experience symptoms. Everyone knows it's a good idea to drink lots of water...
Habari wana jf/doctor
Najua hii mada ishazungumziwa sana hapa,ila kutokana na yaliynikuta imenibidi nije niombe msaada.
Nina miaka 26+ nimekuwa addicted sana PUNYETO kias kwamba siwez kumudu...
Madaktari wamesema uvaaji wa suruali za kubana kwa wanaume ni chanzo cha baadhi kuwa wagumba na wengine kupata magonjwa ya ngozi
Kampala. Kwa wananchi wa Uganda, jina la Denzel Mwiyeretsi siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.