ALOE GEL + ARGI PLUS zitakufanya uwe NA NGUVU ZA kutosha katika kuhakikisha
unafanya pasipo kuchoka kabisa.
NA pia zitaboreaha vyema maumbile ya KIUME kwani mda wote damu huwa inatembea huko...
Jaman jf doctors nina tumbo la kuunguruma kwa muda mrefu sasa,kama miaka 8,mpaka mwaka jana nlipoanza kutumia dawa,lakin hakuna mafanikio,naomba anayejua dawa anisaidie ninunue
ONGEZA kinga ya mwili wako dhidi ya mashambulizi ya vidudu vya ukimwi NA utaishi kwa muda mrefu sana pasipo kuugua.
ALOE GEL YENYE VIRUTUBISHO 200 iliyotengenezwa kwa utaalamu kabisa kwa kusagwa...
Wagonjwa wawili wameondolewa bughdha ya kutumia
madawa ya kupunguza makali ya ukimwi maishani mwao
baada ya kufanyiwa upasuaji na kupandikiziwa uboho au
(Bone marrow), hatua inayosemekana...
nimekuwa nikisoma, sikia na sehemu nyingine nimethibisha kuona moja kati ya wanandoa ameathilika yaani HIV positive na hasa mwanamke na mwanaume kuwa HIV negative licha ya kuwa walikuwa kwenye...
Wakuuu habari za mida??
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitaka kufahamu umuhimu wa kiafya wa mboga moja inaitwa CHAINIZI na sijapata lolote la maana. Tatizo la msingi ni kuwa hapa mjini mboga hii...
Habari zenu wana jamv!.jaman mwenzenu ninanatatizo na ninahitaji msaada wenu wa kimawazo mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 23 ninampenzi wangu ambaye hivi majuzi tar25 nilipata nafasi ya...
Dk. Seif Rashidi
Serikali imesema ugonjwa wa kisukari umeenea kwa kati ya asilimia 0 hadi 20 katika wilaya 50 za Tanzania Bara.
Takwimu hizo zilitolewa jana Bungeni na Naibu Waziri wa Afya na...
Siku chache zilizopita nilikuwa katika moja ya vijiji vinavyounda Wilaya mpya ya Rorya-zamani Tarime.
OCHUNA KIJIJI CHA UJAMAA
Kijiij cha Ochuna kipo Kata ya Nyathorogo,Tarafa ya Luo-Imbo Wilaya...
top ten reasons to drink argi.
acts to release anti aging
hormones.
affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control.
reduce blood cholesterol...
Leo tarehe 28/06/2013 ndiyo nimeamua kutokuchangia tena damu kwa hao watu wanaojiita sijui Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS).Nimechukua pia jukumu la kuwashawishi hata ndugu zangu wasichangie...
HAbari njema kwa wote, sasa Doctor's Plaza heart Clinic wanapokea bima ya fya NHIF na Resolutions, hivyo kama una umwa usisite kupata matibabu. tel 075 967 4616 au 071 967 4616.
Karibuni!!!
Mimi nataka kujiua,kwa sababu ingawa Ndugu Rais anasema Tanzania ni kati ya nchi 20 ambazo uchumi wake unakuwa haraka, mimi naona mambo yangu hayaniendei vizuri. Kwa hiyo nataka kufikiria njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.