Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu wanajamvi nina mtoto wa miezi 9 wa kiume ana wiki sasa anakohoa japo si mfululizo,jana dokta amenipa dawa zifuatazo; SYU Amox, JSYU Cough mix na Tabpam. Naomba msaada wenu juu madhara ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari! Mimi mvulana wa miaka 23,nilichelewa kufanya mapenzi kwani nimeanza mwaka jana tu nikiwa na miaka 22 sasa tatizo linalonisibu bila kwenda bao 6 na kuendelea sijiskii na baada ya...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Mwanangu ana miaka miwili hadi sasa lakini hatambai wala kutembea na amechomwa sindano nyingi sana mana alikuwa anaumwa!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani naombeni msaada maana nimemaliza dozi ya tatu ya taiphoid kwa mwezi lakini siponi. Nitumie dawa gani niweze kupona.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
As researchers continue to wage war against cancer, many have begun to focus on what could be the most promising ammunition to date: diet. “The easiest, least-expensive way to reduce your risk for...
6 Reactions
11 Replies
7K Views
Wadau ni wakati gani muafaka wa kumtahiri mtoto. Ni Dr gani au hospitali ipi nzuri nimpeleke junior. nitakuwa Dar soon so ningependa madactari wa dar...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
MOTHER OF ALL FRUITS !! I WOULD DIVE IN HERE
4 Reactions
9 Replies
2K Views
CoNept Healthy Consultant Chemical free solution to: Asthma, peptic, stomach and duodenum ulcers, diabetes, ovarian cysts/ fibroids, gout, joint pain/inflammations, menstrual cramps, back pain...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
If not then read it and make your life like super hero. 1. Don’t smoke Experiments from experts proves that smoking a cigarette after meal is comparable to smoking 10 cigarettes (chances of cancer...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima iwe kwenu madaktari na wataalamu wengine. Naomba kujuzwa ni muda gani dalili za ujauzito huanza kuonekana kwa mwanamke baada ya kufanya tendo la ndoa?
1 Reactions
1 Replies
48K Views
Before you grab that DEET-based mosquito repellent, consider using a natural option instead. DEET, also known as diethyl-meta-toluamide, by any other name still stinks. And research proves that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
'Salam kwenu wakuu, natumai mko vyema kabisa ila kwa wale wagonjwa nawapeni pole wakuu. Nimepokea ujumbe kwenye simu yangu leo inayo tahadharisha utumiaji wa dawa ya DICLOPA na...
2 Reactions
14 Replies
16K Views
hi, nina ndugu yangu, umri umekwenda, yuko 50+ sasa anasumbuliwa sana na maumivu ya magoti. lipi suluhusho katika hili na ni wapi anaweza kupata tiba bila longolongo? na tatixo linasababishwa na...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Hbr zenu wanajr mimi ninasumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara yaani kwa mchana moja na weza kwenda haja ndogo zaidi ya mara 8-10 kwa usiku nakwenda mara 3-5 kwa usiku mmoja. UNYWAJI WA...
0 Reactions
9 Replies
17K Views
How you can treat colic: Natural house remedies: Although breast milk is suggested for baby, colicky breast-fed infants may have cramps due to a sensitivity to some food in the mother's diet...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Here are ten foods to look out for: they're not as healthy as they look. Granola. Granola sounds like a healthy breakfast option, but it's high in calories, and some brands contain a lot of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari! Mi ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja, nina mpz nje ya ndoa yangu ambaye anakaa kwao. nimekuwa na uhusiano nae kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili sasa; sijawahi kwenda nae kupima...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Cancer cells have the tendency to spread to other part of the body from the site of their origin. This mechanism of the cancerous cell is known as metastasis. Cancer spreads to other parts of body...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Naombeni msaada wa kueleweshwa kua hivi ni kwa nini makampuni mengi hasa ya kigeni au hata nchi za nje, wanapotaka kukutengenezea kitambulisho lazima kwanza wajue gurupu lako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom