Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Daktari amemshauri mama mwenye umri wa miaka 70 kufanyiwa operation ya GOTI (corrective wedge osteotomy). Nimekuwa nikisikia kwamba hi ioperation sio nzuri kwa watu wenye umri mkubwa. Tatizoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAAJABU: MTOTO AZALIWA NA MAKALIO MATATU, MAMA YAKE ALIA AKIOMBA MSAADA Maajabu ya uumbaji yamemfanya mama mzazi wa Xiao Wei ambaye ni mchina amwage machozi akiomba msaada wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
The human body is one of the most amazing constructions on the planet. Brilliantly efficient, complicated and mysterious, and capable of so much. If it wasn’t for the human body you wouldn’t be...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Dhibiti UZITO ndani ya siku tisa 9 tu. 0767507487 0713507487 0782898210
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Hallo Doctors, Nisaidie kujua kama kuna jambo tumelikosea ,au limekosewa na wataalamu kuhusu kutorudia hali ya kawaida ya mke wangu baada ya kujifugua. Ukweli ni kuwa , ujauzito wa kwanza ulikua...
2 Reactions
21 Replies
27K Views
Habarini wadau. Sijui nielezeje ila ni kwamba najikuna sana hapa mbele (kwenye kitumbua) panapoota nywele. Nimepima sina fangasi, ugonjwa wa ngozi na wala sina harara. Nikinyoa,nisiponyoa hali...
1 Reactions
104 Replies
31K Views
Naombeni Msaada Wenu wenzangu nasumbuliwa matatizo yakiuno namgongo pls naombeni msaada wenu wadau.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
top ten reasons to drink argi. acts to release anti aging hormones. affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control. reduce blood cholesterol...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Ni aloe ILIYOBORESHWA NA VIRUTUBISHO 200 toka America ili kuhakikisha inaboresha afya yako ipasavyo. Inatibu magonjwa mengi sana yakiwemo yafuatayo. jipatie aloe gelly Kwa matumizi yafuatayo...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Wataalamu wa afya hivi kuna uhusiano wowote wa makengeza na mtindio wa ubongo? Naskia watu wengi wenye makengeza hua wana tatizo Hilo
0 Reactions
8 Replies
6K Views
NYWELE ni sehemu muhimu sana katika MVUTO wa mwanadamu . tumia aloe jojoba shampoo NA condition ambazo zitakusaidia kufungua poles za NYWELE NA kuzifanya zikue kwa kasi hata kama ni kipara au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili hapa, natumaini wote mu wazima wa afya tele!!!!!!! Mai wife ana ujauzito sasa wa takribani miezi sita sasa, ila tatizo amekuwa akienda haja ndogo kila mara...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenyu wanaJ.F. Mkewangu amejifungua miezi3 sasa naomba nijue nibaada ya muda gani naruhusiwa kukutana naye?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ugonjwa wa kupalalaizi;- unasababishwa na nini? Dalili zake ni zipi? Unashambulia watu wenye umri gani? Je, kiaje unaweza kuuepuka? Unatibika? Na unatofauti gani na kiarusi na coma...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
jamani mchwa wamemaliza milango na madirisha yote ya nyumba yangu na sasa wamevamia kuta za nyumba kwa fujo. Naombeni msaada wenu kwa anayefahamu dawa ya kuangamiza mchwa au nini cha kufanya ili...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Soma attachent hiyo inaelezea suluhisho la maradhi mbalibali pamoja na mambo ya kuepuka ili kuwa katika afya njema.
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Hope hamujambo sana mimi wananiita bonge nina uzito wa kg 97 lakini my ideal wt kitaalamu ni kg 65 nilianza shida hizi baada ya uzazi miaka mitano nyuma nimeshindwa kabisa kurudi kwa uzito wangu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jf naombeni msaada wa kuweza kuondokana na tatizo la kutoka na damu kwenye meno pindi ninapopiga mswaki.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawashwa na macho sana,hii ni week ya 3,,pl msaada pls
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Wakuu poleni na majukumu,. Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivi ya Meno kwa muda mrefu sasa ambapo hadi sasa nimeshang'oa Meno matatu, naombeni kama kuna dawa mbadala ya kuondoa haya maumivu maana...
1 Reactions
4 Replies
8K Views
Back
Top Bottom