habari wanajamvi
katika harakati zangu za kumpeleka mwanangu clinic,nimehudhuria zaidi ya mara sita katika clinic ya dokta massawe iliyopo hapo moroco karibu na jengo Airtel,na sababu ya mimi...
Your face tells a lot about your health
Your face tells a lot about your health. Check out this guide to pinpoint where the root of the issue is coming from.
Courtesy: The Holy Kale
"Your Face...
Wakuu heshima mbele.
Nime notice rangi ya kinyesi changu kuwa ya kijani kabisa kwa siku ya tatu sasa.
Sipati maumivu yoyote wakati wa kujisaidia,na wala sina maumivu yoyote ya tumbo.
Content ya...
Miaka kadhaa iliyopita nilileta posts nikiomba ushauri jinsi ya kukabiliana na hali ya kutokuwa na mtoto katika ndoa yangu kwa miaka kadhaa. Niliwashukuru, na naendelea kuwashukuru walionipa...
Ndungu wana jamii ninaomba mnisaidie ninahitaji COCK RING nitakipata wapi kifaa hiki, ninakihitaji sana kutokana na hali yangu.
ahsanteni kwa wote mtakaojitokeza ktk hili hitaji langu.
wakuu ninakipe/kinyama kwenye mwili wangu kiko kama cha Joketi but ni kirefu kidogo nataka nikikate.. Je kuna mazara yoyote? Au kuna njia nyingine kukiondoa au pia kama kunadawa naomba kujuzwa...
Tunafahamu kuwa mtoto anapozaliwa lazima alie(cry) ili kuamsha mfumo wake wa upumuaji pamoja na sababu nyingine za kimaumbile kama zipo.
Swali; ni mechanism au coordination gani inayofanyika...
Kuna mwanamke amebeba mimba mara mbili na anazaa kabla ya wakati na watoto anao wazaa huwa awachukui hata wiki wanakufa HIVI SABABU GANI ZINAZO FANYA TATIZO KAMA HILO KUTOKEA.
Habari zenu wana jf nyote natumai.wazima wa afya ila nataka mnisaidie sababu gan inayofanya mtu nywele kutoka sana ukiosha utaona nyng zinatoka naomba.ushirikiano.wenu kwa.hili
MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO, NI CHANZO KIKUU CHA SARATANI YA KOO?
Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku hofu ikiendelea kuikumba jamii kutokana na wataalamu wa afya kushindwa...
Habari wana jf naomba mnisaidie jinsi ya kuutibu uume wangu kwa dalili hizi, umekua wa moto sana kuliko joto la mwili pia korodani zimesinyaa na kuonekana nimedisa mda wote. Hii imetokea baada ya...
Hakika ni aloe ambayo imesagwa kama ilivyo bila kukamuliwa ili kuhakikisha inaleta ubora HALISI. Hii ni aloe ambayo imebeba VIRUTUBISHO 200 ili kugusa sehemu mbalimbali za mwili wako. Hakika...
Hakika ni aloe ambayo ambayo imesagwa kama ilivyo bila kukamuliwa ili kuhakikisha inaleta ubora HALISI. Hii ni aloe YENYE VIRUTUBISHO 200 HALISI vya ubora ili kuhakikisha inakidhi matakwa ya afya...
ACts to release anti ageing hormones.
Affects insulin sensitivity so is particularly useful in maintaining blood glucose control.
Helps to reduce blood cholesterol level.
The pomegranate and...
Habari Madaktari na Wauguzi,
its serious, ni cku ya 4 leo naumwa kiuno kwa upande wa kushoto, kilianza gafla nikiwa na tembea pasipo sababu yeyote, kinauma kwa ndani kias kwamba hata nikiwa kama...
Mkuu naomba msaada kufahamishwa, Mpenzi wangu nikifanyanae mapenzi anaumia sana kwa ndani karibu na kitovu! Pamoja na kumuandaa kwa kumnyonya na kuhakikisha za mwanzo zimetoka lakini bado anaumia...
Habari waku.
Mwenzenu mda mrefu nywele zangu ziko na rang kama nyekundu hv mda mrefu nimejarbu kutumia hata zle dawa zakufanya ziwe nyeus lakn wap watu wananambia huenda kuna madini nimekosa...
Jamani waungwana!
Hebu nishaurini wapi ntapata huduma nzuri ya kuondolewa hii kitu,kwa kuzingatia umri wangu. Nakaribisha na ushauri mwingineo.
Shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.