Wakuu husika na uzi huu, je kijana anaweza kutumia njia zipi kujikinga na ukimwi bila kutumia kondom?,
Nimejiuliza hili swali kwasasabu kuna post 1 ya mkuu Mzizi ya kumfurahisha mpenz{kike} kwa...
Mwenye kujua dawa ya vidonda vya tumbo kwa gharama nafuu anisaidie,nimejipiga nikaenda kwa rahabu laki 360 imenitoka lkn cjafanikiwa
Nimejaribu tabata nimeambiwa dozi laki 450
Nimepima...
Nashukuru sana kwa madr wa jf Watu8, Bubu msemaovyo, Andate, Maubero, Mzizi mkavu na wengineo walionisaidia kunitajia siku za kupata mimba ushauri wenu niliufanyia kazi na sasa natoa shukrani kwa...
Kuna kanuni ya kujuwa uzito stahiki wa mtu, lakini siikumbuki vizuri. Inahusisha umri na urefu ili kujuwa uzito wako unaotakiwa. Naomba mwenye kujuwa anijulishe. Asanteni sana.
Habari zenu wanaJF na madoc.
Naombeni mnisaidie hili kama ni tatizo, Mara nyingi joto la mwili wangu huwa linakua kubwa na sa nyingine mpaka wakati wa baridi. mtu ukinigusa unaweza...
No one can predict the moment of death. But physicians and nurses involved in end-of-life care know that certain symptoms are usually associated with the body's shutting down. These signs of...
MIMBA ni kawaida na ni kitu cha asili. Kila mwaka mamilioni ya wanawake hubeba mimba. Ubora wa mimba utategemea na ufahamu wa mwanamke katika kuyaweka mazingira bora kwa kiumbe kinachokuwa...
The cheapest weight-loss plan ever? Rapper loses 250 pounds on '99 Cent Store diet' after being horrified at the sight of his body in music videoA formerly obese rapper has told how he managed...
Mwanamume akikosa mtoto hupata huzuni zaidi kuliko mwanamke
Mkuu Boflo acha kuwa na huzuni nenda kwa mganga wa kienyeji mkuu Bujibuji akupe dawa upate kuweka mimba.
Kwa ufupi
DONDOO MUHIMU...
naombeni ushauri. Juu ya hili mimi nimpenzi wa mpila sana.nimewahi kupata ajali nyinginyingi za tumbo nikiwa mpila. Ila siku moja nilipigwa teke la tumbo . Nikaanza kupata tatizo la kuvimba usoni...
Eating fish linked to longer life
(AFP) / 2 April 2013
People age 65 and older who eat fish may live an average of two years longer than people who do not consume the omega-3 fatty acids found...
Habari! Jamani Kati ya watu ninaowapa BIG RESPECT humu Jf ni huyu jamaa.
Nilikuja na Uzi wangu hapa kuomba USHAURI kuhusu mambo ya ujauzito nashukuru mzizi mkavu ushauri wako jinsi ya kupunguza...
Mbu ni hatari sana katika maisha yetu. wanaambukiza Malaria,Mabusha na matende.je ni kweli tumeshindwa kuwamaliza.vp kama serikali ingegawa dawa then itengwe siku moja maalumu kwa kufanya usafi na...
Taarifa za uhakika toka chanzo cha uhakika ndani ya KCMC zinasema kuwagharama za matibabu zimepanda. Kupata kitanda tu bila hata panadol ni shiling 35000/- a very minor surgery ni kuanzia laki...
Eating peppers twice a week could reduce the risk of Parkinson's Disease by a THIRD
Eating foods containing an edible form of nicotine reduces Parkinson's risk
These foods include tomatoes...
VODKA
ood to know: Vodka is least likely to give you a hangover Vodkais made by fermenting grains or crops such as potatoes with yeast. It's then purified and repeatedly filtered, often through...
Ni mara ya kwanza kujitokeza jukwaa la wataalamu wa afya, nina matatizo mawili
1. Ningependa kujua athari za kunywa maji ya baridi sana, mimi huwa nakunywa maji ya baridi SANA na mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.