kuna mdogo wangu alitoka shuleni (mwanafunzi wa bweni), tulikuwa tunalala kitanda kimoja, alikuja na ugonjwa wa vipele vidogo2, aliniambukiza na mie, lakini yeye vikapona, ishu kwangu sasa yaani...
JF Doctor,
nina swali kwako,mimi no binto wa miaka 35 ,nimeolewa na nina watoto wawili.Tatizo langu ni kuwa matiti yangu ni makubwa sana ,naomba unisaidie nifanyeje kupunguza matiti yangu kwa...
Jaman habari za leo,me naomba kujua uzito sahihi mtoto anaotakiwa kuwa nao according to umri.najua kuna factor kama urefu nk,in my case mwanangu wa miezi kumi na moja ana kg 8.4 is it ok?please...
Waungwana
Kwa wale wanopenda kutumia madawa kutoka nchi za nje, kuna haja ya kujuwa kwamba viwanda vifanyavyo dawa hizo sio kila siku ni wa kweli na waaminifu, baadhi ya wakati wanatumia dawa...
Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya...
BBC - MAKALA MAALUM
Ujauzito na ulevi nini athari zake?
Ujumbe wa kuchanganya kuhusu kiwango cha vileo ambacho mama mjamzito anaweza kunywa wakati akiwa mja mzito, inatatiza wataalamu kuhusu...
DHANA YA UKEKETAJI
Ni moja ya tatizo sugu sana linalowakabili wanawake katika jamii nyingi. Imekadiriwa ulimwengu mzima kuwa wanawake takriban milioni 120 wamekumbwa na tatizo hili. Wanaounga...
Ndugu JF Doctors, niliwapa taarifa kuhusu majibu ya HIV yenye utata ya mchumba wangu. Napenda kuwataarifu kuwa baada ya kukosa ELISA na WESTERN BLOT katika hospitali ya Rufaa Mbeya, tuliweza...
MziziMkavu, barca, Ze marcipolo na madoctor wengine mnahusika hapa
Kilimi(kidaka tonge)changu kimerefuka sana na kina nisababishia kikohozi cha mara kwa mara hasa usiku, nakohoa hadi...
jipatie aloe gelly Kwa matumizi yafuatayo
kusafisha mfumo Wa damu
kusafisha mfumo usagaji chakula
asthma
kisukari
presha
maumivu ya tumbo
maumivu ya moyo
kupunguza uzito
kukosa hamu ya Kula na...
top ten reasons to drink argi.
acts to release anti aging
hormones.
affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control.
reduce blood cholesterol...
Ndugu Jf-Doctors, mimi nina mchumba ninayetarajia kumwoa. Kwa maelezo yake, yeye bado bikra. Jana tulikwenda katika hospitali ya wilaya kupima HIV. Mimi nilionekana NEGATIVE, lakini majibu yake...
Hi wana jf
kama kuna vitu huwa sina majibu navyo moja wapo ni hivi ETI HAWA VIRUS WA HIV huishi kwa mda wa masaa mangapi wakiwa nje ya mazingira yao ya kila siku?
2-JE SABUNI ZA KAWAIDA HIZI...
Napenda kufahamu ni Hospitali zipi nzuri kwa ajili ya blood test kwa ajili ya kufahamu kuhusu HIV nk. Maeneo ya kuanzia Mwenge DSM Anayefahamu tafadhali
Aloe vera gel ni juice inayotengenezwa kwa mmea wa aloevera ambayo ina kazi nyingi sana kwa mwii wa mwanadamu katika kumpatia afya na kuondoa maradhi. Hii bidhaa ina uthibitisho toka baraza la...
Samahani ndugu zangu ila nilikuwa naomba msaada kujulishwa ni kitu gani huwa kinamfanya mwanaume goli la kwanza anakuwa na nguvu za kutosha ila baada ya hilo goli la kwanza, kinachofatia ni uume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.