Wizara ya Maliasili na Utalii
Wizara ya Maliasili na Utalii imewafunza wananchi
namna ya kubaini Asali isiyokuwa halisi ambayo
inadaiwa kutengezwa na wafanyabishara kwa
kutumia maji ya...
Wana jamvi.
Mimi ni muoga sana wa malaria na ni ugonjwa ambao huwa unanionea sana, Hi imenifanya kila nikija kutembea nyumbani lazima ninywe full dose ya metakelfin kama kinga, huwa nakunywa...
je unaelewa kuwa chakula kikikaa sana mwilini huwa UCHAFU NA kusababisha sumu mwilini? NA si hivo tu kusababisha mwili kuvimba NA hata kuleta kitambi kisicho NA lishe. mwishowe kusababisha...
Kuna tatizo nahisi liko psychologically yaan nina hulka ya kuwaza sana na kujikosoa hata ktk issue za msingi na siipendi hali hii kwani inanifanya niwaze mbali na kufikwa na uwoga,kitu...
Rais wa zamani wa Marekani, George W. Bush
KWA UFUPI
Bush aliyasema hayo jana wakati akizindua mkanda mwekundu na pinki kwa wanawake chini ya taasisi yake kwa kushirikiana na Mpango wa Umoja wa...
wadau kuna hoja leo naisogeza mbele yenu wanaume kuwa navijititi hususa akiwaamepumzika ni ugojwa au na je tiba ni nini tafadhari atakae chagia awe makini utani hapa si kwake:A S crown-1:
Jamani anayefahamu dawa au sumu inayomaliza kabisa mende aniambie hawa mifugo kwangu wamekua kero napuliza dawa lkn hawafi ndio sanazid kunenepa na kuzaliana kwa wingi.
DAWA IPI AU SUMU GANI NI...
Usingizi ni dawa ambayo inaweza kukutibu bila wewe kujua, kwa hiyoinafaa uitumie mara nyingi.
Ni wengi katika jamii ambao hawafahamu umuhimu wa kupata muda mzuri wa kulala katika maisha yao...
Wagonjwa wawili wameondolewa bughdha ya kutumia madawa ya kupunguza makali ya ukimwi maishani mwao baada ya kufanyiwa upasuaji na kupandikiziwa uboho wa binadamu au (Bone marrow), hatua...
*.Kati ya bidhaa 36, zilizonunuliwa 32 kati yake zilikuwa zina chembechembe aina tatu za dawa hizo za kuulia wadudu.
*.17 kati yake zina chembechembe za dawa za kuulia wadudu zilizoanishwa na...
Suala la kupunguza tumbo ama uzito mara baada ya kupata operesheni ya uzazi, limekuwa ni changamoto miongoni mwa wanawake wengi.
Wengi wamekuwa wakishindwa kurudisha maumbo yao ya awali mara...
Poleni na majukumu,
naomba ushauri juu ya tazizo hili ambalo mbali na kunitesa lakini pia linanipa mawazo kwani sijielewi mwenzenu.
Nilianza kuugua tumbo tangu december mwaka jana, nilikua...
ZIJUE SABABU KUMI ZA KUNYWA ARGI+.
top ten reasons to drink argi.
acts to release anti aging
hormones.
affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose...
Huwa napata sana ndoto nyevu(wet dreamz) tena wakati wa asubh ninapokaribia kuamka, sasa inakuwa hata kwa wiki mara 3. Naomba kujua kuna madhara yoyote ya kiafya ambayo ninayo au yanayoweza...
je unaelewa kuwa chakula kikikaa sana mwilini huwa UCHAFU NA kusababisha sumu mwilini? NA si hivo tu kusababisha mwili kuvimba NA hata kuleta kitambi kisicho NA lishe. mwishowe kusababisha...
One patient has now been off anti-retroviral drug treatment for 15 weeks and the other for seven weeks
Two men infected with HIV for many years have been able to stop taking anti-viral drugs...
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema
dawa za Dicloper na Diclofenac zilizopo nchini ni
salama kwa matumizi ya binadamu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam jana...
Katika ugunduzi wa kushangaza, mgonjwa wa kiume mwenye umri wa miaka 66 huko Hong Kong alijikuta akiambiwa na madaktari kuwa yeye ni mwanamke pindi alipokwenda hospitalini kwa ajili ya kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.