Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

know SPLINA. 1.cleansing. cleanses the digestive system, assists in purifying blood, eliminates bacteria, disinfects and detoxify. 2. balancing. balances body acid alkali levels, boots the...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Wana jf naomba kuuliza mashine za ceragem zinazotumia umeme kutibu magonjwa yote kwa kubezi kwenye uti wa mgongo zina effect gani kwani naona zimekuja kwa kasi. Naomba msaada kujua.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nina mtoto anamiaka 6 sasa lakini kila mbinu ninayotumia kumfanya aache kunyonya kidole inafeli Nimejaribu kumpaka vitu vichungu kama pilipil nk Nimejaribu kumfunga bandeji anaito Alitoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Condoms are actually great for the vagina Condoms are actually great for the vagina (Thinkstock photos/Getty Images) Apart from preventing unwanted pregnancies and spread of sexually...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Habar jf, Kuna msichana amefikisha siku 45 hajaona siku zake (hedhi) na nilipo jaribu kumuuliza kuhusu kupima ujauzito, akasema amesha pima mara 2 na hamna kitu.. Afanye nini ma Dr. ?
0 Reactions
6 Replies
5K Views
habari JF doctor jaman ninasumbuliwa na miguu kwa mda sasa na sijui nifanyeje,hii miguu inauma kwenye ugoko kwa mbele yaan as ifu inaungua na moto,sometimes inaacha sometimes inauma ila hasa hasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Men who regularly skip breakfast have a 27 per cent higher risk of suffering a heart attack than those who eat the meal, says a new Harvard study. The 16-year...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar jaman,msaada wenu unahitajika tafadhar,rafki yangu anasumbuliwa na ganzi vidole vitatu vya mguun kwa muda wa miez 4 sasa,mwanzon ilikua ganz na maumiv makal lakin kwa sasa maumiv yamepungua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In a new study, researchers found that for every 10 centimeters of height, a woman’s risk of developing a range of different cancers increased by 13%. Follow this link to teead more!
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Nini husababisha mwanaume kukojoa usaha na damu?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi,nimekuwa nakumbana na tatizo hili mara kadhaa sasa. Pindi tunapo kutana na mwenzi wangu kwa tendo,inanichukua muda mrefu "kusimamisha",na baada ya tendo,inanichukua muda pia kwenda round...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari Napenda kuchukua fursa hii kuwajulia hali zenu wadau Doctor naitaji masaada wako wa ushauri au matibabu kama ikiwezekana mama yangu anaumwa moyo umepanuka na kujaa mafuta, na vilevile...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
napenda kufahamishwa huu ni ungonjwa gan?unatokana na nn na tiba yake ni nn? Unaitwa Pelvic inframatory disease-P.I.D
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari ndugu wanajf,Nina ndugu yangu ametokewa na uvimbe tumboni.Anadai umeanza muda mrefu na umekuwa ukiongezeka siku hadi siku hadi umefikia hapo.pia anasikia maumivu kwenye hup uvimbe.Leo ndo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Trevo is the most complete natural supplement in the world today. It is just one single product in liquid form. Trevo treats people with high-blood pressure, diabetes, partial impotence, low...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Leo asubuhi nikiwa kwenye daladala nimeshanga kumwona kijana mdogo wa umri kati ya miaka 12- 14 akiwa na mvi kichwani. Nimeshangaa na nimeshindwa kuelewa; inakuwaje mtoto wa umri huo awe na mvi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Dr. Marise HAEMATURIA ni ugonjwa wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwepo chembechembe za damu nyekundu (Red blood cells). Kukojoa damu ni dalili ya kuonyesha kuwa mtu anayekojoa ana...
3 Reactions
2 Replies
30K Views
Habari wadau, Naombeni msaada wenu katika hili, ninafanya kazi kwenye mazingira ya baharini sana na tupo kwenye chombo ambacho ni kama meli lakini iki kimekua designed kwa ajili ya uchimbaji tu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, mimi ni kujana wa kiume nina miaka 25. Nimekuwa na tatizo la kujaa mate kifuani nakuwa kama nataka kutapika ila hakuna kinachotoka. tatizo hili linanipata zaidi usiku, yaani...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
People should eat breakfast to keep their hearts in good condition, according to researchers in the US. Their study of 27,000 men, in the journal Circulation, showed those skipping breakfast were...
1 Reactions
0 Replies
763 Views
Back
Top Bottom