Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

WANA JF, Hii ni fursa ya pekee kwa ajili ya kupata suluhu ya matatizo ya afya. ARGI Plus ni natural supplement ambayo hutibu matatizo ya nguvu za kiume na matatizo mengine mengi ikiwemo shinikizo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman nisaedien yaan kila ck naamka asubuh nimepiz lakin siot nipo na demu na wala nikiwa nagonga cjisikii wala nn nisaidien jaman mwenzenu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1. "Usile mpaka uwe na njaa na unapokuwa na njaa, usile mpaka ukashiba sana" 2. " Ligawe tumbo sehemu tatu, unaptaka kula sehemu ya kwanza iwe ya chakula, sehemu ya pili iwe ya maji na sehemu ya...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
simu yangu tecno t605 ilikuwa poa ila niliirestore na pia nikaclear cache sina ujuz nayo kuwa inafanya kaz gan kubwa zaid yakuongeza spid tatzo baada ya hapo opera min inazingua balaa kuingia jf...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti jamaa akipiga kiroba ana himili sana tendo la ndoa kuliko akiwa kawaida ni kweli...... ..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
physc-s biology-D chemistry-c Gs-f bam-f ni vyuo vipi vinamfaa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kusafisha mfumo Wa damu mfumo usagaji chakula asthma kisukari presha maumivu ya tumbo maumivu ya moyo kupunguza uzito kukosa hamu ya Kula na tendo la ndoa kungaarisha ngozi uchovu wa mwili na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wakuu! Naomba msaada wa kitabibu! Ni siku nyingi sasa nashindwa kula chakula vizuri nikashiba na kuridhika. Mara nyingi nakunywa chai asubuhi mlo wa mchana sipati maana nikila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa matokeo haya naweza kupata chuo cha nersing. Bio D chemi D phys D
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba msaada waugwana ni dawa gani mama mjamzto akizitumia zinaweza kumdhulu yeye pamoja na mtoto au kusababisha abosheni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nawezaje kujikatia bima ya afya ikiwa mm c mfanyakazi wa kuajiriwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu....naomba muongozo kuhusu kipimo cha H.I.V cha Elisa test..kama kweli kiko sahihi kwa asilimia ngapi..?...nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
5K Views
hakikisha hujipi mashaka kabisa juu ya afya yako. huna haja ya kuhangaika tena kwani una uwezo wa kuhakikisha afya ni salama kabisa. hii ni hasa kwa upande wa. magonjwa ya presha magonjwa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Si tu kujua siku za Ovulation ni lini basi sio kigezo cha mimba kuweza kutungwa ila pia kuna mambo kadhaa ya kufanya na kufatwa ili lengo la mimba liweze kutimia. Kuna sababu mbalimbali...
11 Reactions
15 Replies
34K Views
Kwa miaka mingi wanawake wamefunzwa kuvaa sidiria ili waweze kunyanyua maziwa yao au kuyaweka katika umbile la kupendeza. Hata hivyo, sidiria imetajwa kuwa chanzo cha maradhi ya mgongo, misuli ya...
5 Reactions
15 Replies
8K Views
KWA UFUPI Kwa sababu, hawataweza kula chakulacha cha kutosha na kupata virutubisho hasa wanga kwa kiasi kinachohitajika na mwili. Kinachotakiwa ni kuwaelimisha njia mbadala ya kuziba pengo la...
1 Reactions
1 Replies
19K Views
Mbinu za kibaolojia zimegundua uumbaji mpya wa binadamu baada ya kuchukua sehemu ya muunganiko wa mbegu ya kiume na yai la mwanamke ‘kiinitete’ hatimaye kuumba mtoto aliyekulia katika maabara...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
KWA UFUPI Taasisi ya Taifa ya Afya ya nchini Marekani (NIH) inaeleza kwamba sababu za jumla za ugumba ni umri na asilimia nne ya wanaume wenye umri wa miaka 50 na kuendelea wanaweza kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
KWA UFUPI Akizungumnza katika kikao cha Baraza la Madiwani wilayani Rorya, Diwani wa Kata ya Mirare, Peter Ayoyi (CCM), alisema uzagaaji wa dawa hizo ulibainika baada ya halmashauri kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajamvi mimi nina umri wa miaka 31 nimeoa na nina watoto 3 ninatatizo ambalo limenikuta ukubwani la kuanguka kifafa huwa linanitokea sana usiku wakati nimelala na mara nyingine hata...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom