mimi ni mdada,nina mwili laini sana na ngozi yangu ni laini pia,sikuwahi kuona kama ni ajabu ila kuna watu waliniona niko tofauti na wengine waknishauri nikamwone daktari sababu wanahisi nitakuwa...
mimi ni mdada,nina mwili laini sana na ngozi yangu ni laini pia,sikuwahi kuona kama ni ajabu ila kuna watu waliniona niko tofauti na wengine waknishauri nikamwone daktari sababu wanahisi nitakuwa...
Ndugu wadau, mimi binafsi nimekuwa na tatizo la kinywa, kwa hiyo ninaomba kama kuna mtu ambaye anajua na amewahi kukumbana na hali ambayo mimi nimekumbana nayo basi naomba ushauri au tusaidiane...
Mama yangu meno yake yanatoa vitu km mchanga na vinyuzi nyuzi, alikwenda hospitali walimkwangua na kumpa dawa ya YUsso kwa siku 7 na flagily na amoxilin, DR alisema ufiz unakutu.Lakin tatizo bado...
Hivi karibuni kumeibuka tapeli mmoja hapa MBY ambaye ni mzee wapata kama miaka 50, mzee huyo anatumia usafiri wa pikipiki na hutembelea maduka ya watu mbalimbali na utapeli wake ni kama hv...
...tatizo ni nini... ?? napiga mswaki minimu twice aday ! kinywa kisafi lkn baado naona dalili za meno kuoza..! is there any other option ? kung'oa mmmmh..kibogoyo..!? help,help,help
Kuna aliyewahi kutumia dawa za yule Dr Kibona anaejitangazaga kwenye TV anatibu magonjwa mbali mbali kwa miti shamba? Kama yupo naomba alete ushuhuda kwani hata mm nimepatwa na mkasa ambao inabid...
The main causes of liver damage are:
1. Sleeping too late and waking up too late are main cause.
2. Not urinating in the morning.
3 . Too much eating.
4. Skipping breakfast.
5. Consuming...
1. Hot Dogs
Because they are high in nitrates, the Cancer Prevention Coalition advises that children eat no more than 12 hot dogs a month. If you can't live without hot dogs, buy those made...
AFTER YEARS OF TELLING PEOPLE CHEMOTHERAPY IS THE ONLY WAY TO TRY ('TRY', BEING THE KEY WORD) TO ELIMINATE CANCER, JOHNS HOPKINS IS FINALLY STARTING TO TELL YOU THERE IS AN ALTERNATIVE WAY ...
WHAT IS STRESS? U gave a lift to a beautiful girl, she fainted inside ur car & u took her to the hospital. Now that's stressful- But at the hospital the doctor said, she is pregnant &...
Kuna jamaa kanitembelea ni rafiki yangu anasumbuliwa na fizi za meno kutoa damu anapopiga mswaki kwa anaejua namna ya kumsaidia. Plz! Anadai eti kuuma haziumi ni meno tu huwa yanauma anapoweka...
Wanaume wanaoanza kuwa na upara huenda wakakabiliwa zaidi na tisho la maradhi ya moyo kuliko wenzao waliojaa nywele vichwani.
Hii ni kwa mujibu wa watafiti nchini Japan.
Utafiti huu...
Nilikua mdau mzuri sana wa kujichua kuanzia nilipo balehe mpaka namaliza diploma yangu niliamini hiyo ndio ilikua solution pekee ya kujiepusha na zinaa kwa kua nilipenda sana kusoma but sasa...
Habari
Jamani nilikuwa naomba kuelimishwa nini tatizo la kutapika damu iliyoganda.
Kazi zake za kila siku anafanya kama kawaida na hakuna maumivu yoyote anayosikia ila ikifikia wakati wowote...
PAP
PAPAI, tunda lenye ladha nzuri kama sukari, siyo tu ni tamu kulila, lakini ni chanzo kikuu cha virutubisho vinavyotoa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mwili, yakiwemo yale hatari...
Mimi huwa nafanya mazoezi mara kwa mara hasa jogging.
Kinachonishangaza ni kwamba nikiwa na wenzangu wanatoka jasho sana sehemu zote za mwili pamoja na uso. Mimi natoka jasho sehemu nyingine za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.