Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Watu milioni 17.5 hufa kutokana na maradhi ya moyo duniani kila mwaka, daktari bingwa wa tiba na upasuaji wa moyo nchini, Marehemu Dk. Ferdinand Masau, amesema. RIP. Dk. Masau amesema kati ya...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Meningitis ​ UVIMBE WA UTANDU WA UBONGO NA UTI MGONGO NI NINI? Huu ni ugonjwa unaothiri sehemu inayofunika ubongo na uti wa mgongo, yaani utandu. Ubongo unafunikwa na sehemu au...
2 Reactions
0 Replies
41K Views
Habari wakuu!!! Ninaomba mtu yeyote aliyewahi kuugua CML-chronic myeloid leukaemia au anaumwa ugonjwa huu au kama unamfahamu mtu yeyote mwenye hili tatizo uni PM Mpaka sasa nimejitaidi kupata...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Kuna Dada mmoja ananiambia kila aamkapo asubuhi huwa anajisikia hovyo hovyo kwa kifupi ni vibaya yaani hawezi kuelezea hiyo hali. Na kila anaposwaki (usafi wa kinywa) automatically atatapika...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Mimi huwa nafanya mazoezi mara kwa mara hasa jogging. Kinachonishangaza ni kwamba nikiwa na wenzangu wanatoka jasho sana sehemu zote za mwili pamoja na uso. Mimi naona jasho sehemu nyingi za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu heshima yenu....napenda kujuzwa kama kuna ugonjwa wowote unaotokana na unywaji wa maziwa fresh ua ngombe haswa ngombe wa kienyeji...nimekuwa ba utaratibu wa kunywa c chini ya lita moja ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau eti majibu ya idara ya vijana yanatoka lin mana atuelewi lin.....?
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Wadau habari za jumapili naomba mwenye kujua hapa Bongo wapi nitapata hawa wataalamu nina shida kuwaona kwa tatizo la mwanangu.Hope mtanisaidia.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa mwanamke ambaye alishapata mtoto ila kwa operation. Miaka sita sasa tangia afanikiwe kupata watoto mapacha hajapata tena mtoto mpaka leo pamoja na kukutana na mumewe mara kwa mara. Awali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau na wote wa jamvini hapa, kuna tabia flani nimeiona kwa watu kama watatu hivi sasa nimekuja hapa ili na mie nipata ufafanuzi kuna rafiki zangu huwa wanakunywa panadol usiku...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
tumia aloe jelly YENYE michanganyiko ya VIRUTUBISHO 200 ambayo itaifanya afya yako iwe bora, thabiti NA imara. hautajuta kutumia huu uji/juice ya aloe maana itakunufaisha katika maeneo mengi hasa...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Ndugu zangu,nina miezi mitatu nyonga ya paja la kulia inauma sana,chanzo nilibeba jiwe kubwa kwa mikono yangu ghafla nikasikia nyonga imeumia sana nilikuwa nahangaika kwenye banda langu...mwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndugu. Naombeni msaada wa kujua ni madhara gani yanaweza mpata msichana mjamzito yeye au kiumbe alicho nacho akiwa ana ugonjwa wa Brusela(unaosababishwa na nyama isiyoiva vizuro). Naombeni...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
umevimba tenzi haliumi hata nikilibinya sana sihisi chochote nikiuinamisha mkono ndo linatokeza kama gololi mkono ukiwa kawaida linaonekana kwa mbali hospitali wamesema ni operashen ila niliache...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Unaumwa kichwa cha kupasuka, unaenda kwenye akiba yako ya dawa na kukuta Aspirin, bahati mbaya fungashio lake laonesha dawa hii ime-expire miaka miwili iliyopita. Je, utatumia ama utaacha? Ukiamua...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
ingia katika ulimwengu wa maajabu katika tiba bora ya ARGI+ KUIMARISHA mifupa NA vishipa mtiririko mzuri wa damu. NGUVU za KIUME. kuondoa sumu mwilini. kinga dhidi ya magonjwa. PRESHA NA KISUKARI...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
tumia aloe gelly YENYE zaidi ya VIRUTUBISHO 200. upate faida zifuatazo. jipatie aloe gelly Kwa matumizi yafuatayo kusafisha mfumo Wa damu kusafisha mfumo usagaji chakula asthma kisukari presha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
waungwa hii inaonyesha nini?
0 Reactions
34 Replies
4K Views
jamani me nakaribiwa kuachwa na mpenzi wangu ananiandaa mad mrefu kwa imani ctachubuka but mwisho wa siku goli mbili tu me nimechubuka na ctaki kuendelea coz napata maumivu makali ikiwa inaingia...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Back
Top Bottom