Heshima mbele wakuu kwa wanaoelewa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 31 (hedhi)siku yake ya kupata mimba ni ipi? Na mnisaidie jinsi ya kuhesabu siku hizo za yeye kushika mimba
Wakuu naombeni tiba. Kisigino hakijavimba wala kubadilika rangi, lakini kinauma nukikanyaga chini kwa zaidi ya miezi 6 sasa. Na kadiri siku zinavyoenda ndo kinauma zaidi.
Nimetumia deep heat ya...
Kwa mfano umepigwa nusu kaputi unafanyiwa operesheni, eti ikiisha kabla ya operesheni kumalizika hairuhusiwa kupigwa tena nusu kaputi? Kwamba mgonjwa akichomwa tena sindano ya nusu kaputi ndo...
Doctors offer to help Chinese girl with out-of-control hair growthExcess hair ... Jing jing
PLASTIC surgeons in China have offered to help a girl whose hair is growth is out of...
Mimi ni kijana muhitimu wa kidato cha nne, kiukweli tangu nipo shule, kubadili wasichana (playboy) ilikuwa tabia yangu, sikujali ki2, na kwa kuwa nilikuwa mzuri darasani wasichana hawakuacha...
Nipo Dar, nataka kupata hospitali inayotoa huduma nzuri ya uzazi akajifungulie hapo mke wangu. Hiyo ni mimba ya kwanza. Naombeni ushauri niende hospitali ipi yenye huduma nzuri na malipo nafuu...
Wanasayansia nchini Marekani wamefaulu katika kuunda korodani za bandia ambazo zinao uwezo mkubwa wa kuzalisha shahawa kwa wanaume wagumba.
Kifaa hicho...
Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vizuri na kazi za kila siku. Nawapa pole sana wale wanaosumbuliwa na matatizo ya kiafya ya aina mbalimbali na nawapa moyo wasikate tamaa bali waendelee kufanya...
mdogo wangu w kike anakuwa anasumbuliwa sn n kitovu, anasema kinamuuma. Akiwa shuleni mwalimu wake alimpa chai ya moto na akampumzisha na anapotulia pia hupoa kuuma. Lakini c mara moja kumtokea...
Siku 5 zimepita sasa alikuwa anasumbuliwa na mafua na kikohozi kidogo. leo katapika tukampeleka hospital, huko kapimwa kaoneka na malaria, pia aliongezwa drip ya maji.
Tupo nyumbani bado...
"Daktari nina maumivu makali ya tumbo, nahisi hivi vitakuwa vidonda vya tumbo kabisa"... Maelezo ya namna hii humkera daktari na inaweza kusababisha usipate huduma vizuri. Madaktari hawapendi...
Wanajf hasa akina dada, naomba ushauri kuhusu lotion au mafuta gani mchumba wangu anaweza tumia ambayo yanalainisha ngozi na yanamantain weupe wake pasipo kumbadilisha. Kuna mtu kanishauri eti...
Wakuu naomba msaada hapa, hivi mtu awezarithi ugonjwa wa kansa? Nasema hivi juu babu yangu mzaa mama alifariki kwa ugonjwa wa Kansa ya Jicho...Shangazi yake mama yeye alifariki kwa ugonjwa wa...
Wapendwa nahitaji msaada,Mimi ni dada wa miaka 30,Nina tatizo la kukata Kwa hedhi mwezi wa nne sasa,nimeenda hospitali nimepewa dawa tofauti tofauti lakini wapi,jaman Mwenye kujua dawa au ushauri...
Mimi ni kijana ninae soma chuo kimoja kilichopo katikati ya mji hapa dar...ndg zangu hk ni chuo chenye tittle sana hapa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla lkn katika swala la...
Dr naomba kujua madhara ya mwanamke kufanya tendo la Baada ya mwez mmoja wa opereshen ya uzazi
»Nina mchumba wangu kafanyiwa opereshen tr 8 april,ss mimi sikuwepo nilikua nje ya nchi...
Nguvu za KIUME husababishwa NA mambo mengi sana katika mabadiliko ya mwili.
Lakini kitu kikubwa cha kuzingatia ni masuala mazima ya lishe zisizo na mpangilio NA mafuta mengi sana mwilini NA hasa...
Nawasalimu ndugu zangu (ktk utaifa) mabibi na mabwana. Ndugu yenu nina tatizo tajwa hapo juu. Takriban wiki moja sasa najihisi maumivu ya mwili hasa mgongo pamoja na mabega. Chingine ni usingizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.