Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wakuu naombeni msaada wa dawa ya kiungulia ambacho kinamsumbua sana bibi yangu,,, natanguliza shukurani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanabodi mwenzenu nawashwa sana ukeni ni baada ya kukutana kimwili na mpenzi wangu peku. Nimejaribu kujiswafi na detto ila bado muwasho upo.naomba mnielekeze dawa za kutumia kuondokana na hili tatizo.
0 Reactions
51 Replies
10K Views
habari wana jf? Mm ni mfupi kwa umbo kwani nina urefu wa kama cm 155 na uzito wa kg 47 je naweza nikaongezeka urefu na uwe na uwiano sawa na kilozangu? Kama inawezekana ni vyakula vya aina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani nina mwanangu hapa nyumbani tatizo lake ni alisha wahi uguua tb mwaka jana ila tangu apone analalamika kuwa kifua kinamuuma yani kwa physical pain tumejaribu kwenda hospital wakifika kule...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi nina ujauzito wa miezi miwili na nusu nilienda hosp nikapiwa mkojo nikakutwa na UTI nikaandikiwa vidonge vya amoxylin 2*3 kwa siku tano je kuna madhara yoyote ya dawa hizi nikilinganisha na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
JAMANI NAOMBENI UCHAURI KUHUSU HIZI DAWA IPI NZURI KWA KUTIBU CHUNUSI KATI YA HIZI BENZOYL PEROXIDE GEL 5(persol) NA ACZONE GEL (dapzone) ?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hi! nakuja kwenu wanajamii ilikupata ushauri ambao kwa namna moja nyingine utakuwa utatuzi wa kile ninachohisi kuwa tatizo. Kwanza nilihisi ni kawaida sana na sasa naona kama tatizo, kwani mie...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba msaada namna ya kupanga uzazi kwa my wife wangu kwa njia ya calender maana sina mpango kumpa uzauzito kwa miezi ya hivi karibuni mpaka miezi 7 ipite tuenjoy ndoa yetu kwanza,nasipendi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wandugu naomba mnisaidie kujua hili, mimi nilitakiwa kuanza kubridi tarehe 9 mpaka 12 kwa muda wa siku nne. Tarehe nane ilipofika nikasikia maumivu makali mpaka hiyo tarehe 12 ila mpaka sasa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26. Ninatatizo moja nahisi harufu inayoka puani mwangu au mwilini mwangu ni mbaya. Ipo hivi labda nimetoka nipo njian natembea basi nikipishana na mtu...
0 Reactions
15 Replies
39K Views
Naomba kuuliza wapi kuna kiwango cha sukari zaidi kati ya chai na bia. Ambacho kinaweza kuathiri kiasi kilichopo mwilini. Chukulia bia kama Tusker,Killi,Serengeti..... Ahsante.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26, ni muhitim wa chuo. Tatizo langu ni kwamba nikiongozana na mtu yeyote awe rafiki yangu au hata nikipishana na mtu ambaye hatufahamiani naye, kama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina tatizo la mmba kichwa yaani hili gonjwa ninalo muda mrefu nimetumia dawa nyingi lakini cjapona naomba ushauri wenu wa kupata dawa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada jamani, Je ni huduma gani ya kwanza ,aliopewa maziwa ,na chumvi akatapika mtoto huyu ana mwaka mmoja na miezi mitatu. Kulikuwa na jenerator nje wanapump maji kwangu umeme wa TANESCO...
0 Reactions
70 Replies
14K Views
Habarini za asubuhi wapendwa wa JF natumaini mu wazima. Nahitaji msaada wenu juu ya hili tatizo nini kinasababisha kichwa kuuma sana hata ungetumia dawa tatizo liko palepale inafika kipindi...
0 Reactions
23 Replies
34K Views
Naomba msaada kujua sababu za kushambuliwa na Herpes (virus). Nimeambiwa ni vya aina nyingi. Je tiba na kinga yake ni nini?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Scientists develop mosquito repellent from stinking socks. Source: Citizen tv live at 9 hii kiboko kwamba socks chafu zilizovaliwa na kutoa harufu mbaya zinaweza tumika kama mosquito repellent...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Habari wanajamvi ? mimi nina tatizo la kuwashwa miguu kuanzia kwenye unyanyo kupanda juu ya miguu . naomba kujua tatizo nini kwa naye fahamu ?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.
0 Reactions
26 Replies
19K Views
I salute you all! Tafadhali naomba kuelimishwa juu ya faida na madhara ya floride inayopatikana kwenye dawa kama kolgate, whitedent nk.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom