Amemaliza ku-bleed kam wiki imepita. Katika kujicheki chini huko leo ameona kama vijipandevipande vya damu vimemtoka huko kunako. Ila ni kidogo sio ile saaana.
Wadada kwa wakaka hem naombeni...
Shirika la Afya Duniani, WHO, linasema inaelekea sana kuwa aina mpya ya virusi vinavouwa, vya coronavirus, vinaweza kuambukizwa baina ya watu walio karibu sana.
Virusi hivyo ni sawa na vile vya...
Naomba anayeweza kuniambia kama ni ugonjwa au ni hali tuu ya kawaida inayoweza kumtokea mtu..
kisa chenyewe ni hivi kuna msichana nilikuwa na mahusiano nae kwa takribani miezi 10 hivi akaja...
Mimi nina tatizo la kuwa na uume mdogo kiasi kwamba mke wangu ameanza kutoka nje kisa simridhish,jaman msaada tu ndo utanusuru hii ndoa nile kitu gani au ni dawa gan nikiipata itanisaidia...
halooo.. wapendwa naomba msaada wa kujua hili,ni9na shemeji yangu ambae alikuwa na ujauzito,na baada ya kufikisha miezi miwili ujauzito ule ume haribika tatizo hili lina sababishwa na nini? msaada...
Researchers at Johns Hopkins University, Maryland, who studied 100 men and women newly diagnosed with oropharyngeal cancer and 200 healthy people have confirmed that oral sex can cause...
KWA UFUPI
Kuepuka hasira
Kupata usingizi wa kutosha
Kupata muda wa kutafakari mambo yako katika mazingira ya utulivu
Kufanya mambo kwa mpangilio
Wiki iliyopita niliahidi nitaendelea kujibu...
Mguu unaniuma hadi nachechemea
nimeenda hospitali wananipa dawa napata nafuu but siponi
nimepiga x ray hakuna kitu
sina kisukari wala chochote
but mguu unauma kwenye unyayo na vidole..
any help?
Mzee wangu tangu akiwa mtoto aligundulika kuwa na moyo mkubwa na upo upande wa kulia, Tatizo hili limesababisha awe mgonjwa wa Pressure mara kwa mara. Miguu pia inamsumbua kwa nyakati fulani, Kwa...
Mbu aenezae Malaria.
KWA UFUPI
Moja ya tahadhari ambayo wanasayansi hao wanaichukua, taarifa hiyo inasema ni kuzuia kimelea wa malaria kujijengea usugu dhidi ya bakteria, Wolbachia..
Dar es...
Sidhani kama hii mada ishawai letwa hapa..ila kuna wakenya flani wapo mjini dar saizi wameshaanza kwenda na mikoani wanajifanya wao ni madokta bingwa wanakimashine chao actually ni laptop.ukipima...
huwa nakutana na matangazo ya hiki kifaa handsome up cha kurefusha uume (maumbile ya mwanaume) hivi ni kweli? Je kunamtu ambaye ashatumia hiki kifaa? Naomba kuwakilisha...
Dear Board Members.
Drinking fluids, particularly, water, during exercise reduces cardiovascular stress and improves performance. After a strenuous workout, you have to replace the fluids you...
Wanajamvi salaaam kwenu. Nimekuwa katika wakati mgumu wa kujua kiwango cha damu mwilini je normal ni ngapi kwa mwanaume? Maana nilishakwenda hospitali moja ya binafsi baada ya kupima kiwango cha...
Ukosefu wa mbegu za kiume/zero sperm count/azoospermia unaotokana na uwiano usio sahihi wa vichocheo hasa ule unaosababishwa na kiwango kikubwa cha kichocheo cha FSH kuliko kile cha LH na...
Habari kwa wote na pia poleni kwa kazi za ujenzi wa taifa...
Kuna jirani yangu ni wiki ya pili sasa anapata taabu ya kusumbuliwa na tatizo la kutapika..Ilianza kama Malaria na akapewa na mseto...
Habari zenu jaman! Ninaujauzito wa wk 38 na makadilio ni wk 40 je mpaka nifikishe makadilio au ni Muda wowote?pia nisogee karibu na ndugu watakaoniudumia au nisubiri wk ya 40. Nawasilisha jaman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.