Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu watanzania na wanajf yule kijana mdogo daktari bingwa wa upasuaji mhitimu wa KCMC na aliyekuwa doctar wa karatu lutheran Hospital atazikwa leo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari? Naombeni msaada, kwa Arusha au maeneo ya jirani ni wapi nitapata kipimo cha allergy? Mchana mwema.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dawa ya kuponya sehemu za siri – Wanawake Habari wanajamii, Wanasema kizuri share na wenzio. Ninauza dawa maalumu ya asili, kwa ajili ya wanawake wenye matatizo ya sehemu zao kutoa maji machafu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Pamekuwa na maoni mbalimbali kuhusiana na kinga kwa mwanamke kupata mimba, mojawapo ni hii ya kunyonyesha. Swali langu ni kutaka kujua (update) njia hii na mwisho wake, saidia mwenye ufahamu...
0 Reactions
17 Replies
13K Views
Msaada jamani..mtoto wa miez 6 akiwa anapata choo cha kuharisha kama kamasi na ukipima choo hakina tatizo ni nin sababu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wapendwa hili tatizo limenikumba,baada ya kujifungua nimekosa hamu ya kushiriki tendo mla ndo na hat nikishiriki ni mara chache sana nafurahia,nilijaribu kumuona profesa mgaya akaniambia kua si...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanajf swali langu ni kwamba naweza nikaongezeka urefu ilihali ninamiaka 21 na kama naweza nikaongezeka ninapaswa kuwa na mlo wenye lishe ya vyakula ainagani?
0 Reactions
4 Replies
10K Views
je unajua kuwa unaweza kutibu yaliyoshindikana kwa kutumia ARGI+? jua matumizi makubwa ya ARGI+ kuji magonjwa bu maswali ya tiba ya afya yako. .kutibu KISUKARI .inatibu PRESHA. .inaondoa kolesto...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natamani sana kupata watoto mapacha ila kwenye familia yangu na ya mume wangu hamna mapacha..But nlisikia uwezekano wa kupata upo..Plz nijuzeni kuhusu hilo. Sent from my BlackBerry 9800 using...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
MATATIZO YA KIAFYA YANAYOSABABISHWA NA KULA VYAKULA VYENYE “HYDROGENATED VEGETABLE OILS.” MFANO WA VYAKULA VYENYE HAYA MAFUTA NA MAGONJWA YALIYO ASHIRIWA KUSABABISHWA NA HAYA MAFUTA...
3 Reactions
11 Replies
6K Views
tatizo la ngozi limekuwa tatizo sana kwa jamii zetu za kitanzania. hii ni kutokana labda ni asilia. vyakula. jua au kemikali mbalimbali za vipodozi. hii isikupe shida kwani nipo kukuhudumia kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nilitokewa na viupele
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Naombeni ushauri pia tiba juu ya tatizo linalonisumbua.Nina uume mdogo hakika haufanyi kazi vizuri na pia nina upungufu wa nguvu za kiume nifanyeje ili niweze kuwa katika hali ya...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wapendwa madakitari na wanajamvi zote mnaojua kuhusu Pre eclampsia(Hope nimepatia spelling)Nlilipatwa na hili tatizo katika weeki ya 38.nilipatwa na pressure 190 kwa 107.na nilikuwa na proteins...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Tafadhari Madokta mliopo JF nisaidieni. Nimekuwa na tatizo la muwasho hasa baridi au maji yanapogusa ngozi yangu hasa nikioga maji ya baridi au nikinyeshewa na mvua. Tatizo hili limedumu kwa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
nahitaji kujua sababu za tumbo kujaa gesi?, dalili,vyakula vinavyosababisha na matibabu yake.thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwezi wa pili mpz wangu aliniambia mimba imetoka ikiwa na wiki 5 na kwa mujibu wa ilo swala alisema eti amekunywa dawa cz alikuwa anaumwa tumbo,sasa alienda hospita akasafishwa na kipindi hizo mie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utunzaji wa meno ya watoto unahitaji uangalizi mkubwa kama ilivyo kwa watu wazima, isome hapa ManyandaHealthy: MFUNZE MWANAO USAFI NA UTUNZAJI WA MENO YA WATOTO
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa jamii forum naomba msaada nina mtoto wa kike wa miaka mitano ana tatizo katika mfumo wake wa kupumua na kumeza chakula anapata shida kupumua wakati wa usiku na wakati wa kula huwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hellow wana jf, natafuta sana dawa hii,inaitwa robb(methyl salicylate) ina harufu kama volin ile ya kuchua, nimetafuta sana kwenye maduka ya dawa hapa dar sijafanikiwa kuipata. Mwenye kufahamj...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom