Mm ni binti, ninahitaji ushauri na msaada wa kitabibu pia if possible, toka nimekuwa (means nimepevuka) siku zangu yaani hedhi haziendi kwa mpangilio(yaani sina mzunguko maalum kama ilivyo kwa...
Wakuu,nimekuwa na tatizo la haja kubwa kutoka pale ambapo nimejisikia kukojoa na ninapo jaribu kukojoa.
Hii haijalishi nimejisaidia haja kubwa mara ngapi,nikienda haja ndogo tu,ninapo sukuma,na...
mwenye uelewa wa haya mafuta please naomba anisaidie..nimeambiwa hapa ni mazuri kwenye kuchanganya na uji wa mtoto..tho mwingine ananiambia noo...nimeyanunua hapa je..nikamuanzishie hiyo diet?as...
Natumai j/pili inaenda sawia kabisa. Ndugu wadau, naomba kuelimishwa juu ya umuhimu wa mafuta ya ubuyu kwa afya ya binadamu. Pia napenda kufahamu madhara yake kama yapo. Nawasilisha.
Jamani hivi siku hizi Suala la Macho na Miwani limekuwa Biashara huria ama?mbona kila aumwae kichwa,au macho hakuna dawa tena sasa ni miwani strait!!Mbona zamani tulikuwa tunatafuta hata uongo wa...
ANYSEE is an International Company registered in Hong Kong in the year 2000. It is a worldwide company with branches in Russia, Malaysia, Indonesia, China and Hong Kong being the Head office...
Wana jf naombeni ushauri nifanyeje , mwenzenu vidole vya mikono vimekwisha,vinauma sana fangus imenila kweli kweli, na kusema nisishike maji ndio kibarua kinaota nyasi, kila siku lazima nifue na...
Habari zenu wakuu ,
eti madaktari na wataalamu wa JF naoba kuna uhusiano gani kati ya Hearing loss na ganzi za miguu .Maana nina sumbuliwa na hivi vitu viwili na hapa majuzi kuna watu wame...
Habariii? Zenu jf members. Mwenzenu siku hizi nimepunguza stress kwa kuyaangalia maisha katika positive atittude. Basi nimeanza kutoka kakitambi kananikera kweli, imefikia hatua nikiwa out nabana...
Jamani kuna rafiki yangu mke wake amejifungua kwa upreshini ni mwezi wa 3 sasa na mke wake amerudi kwake juzi pamoja na kitoto chake.
Tatizo ni kua unajua tena mwanamke na mwanamme yawakai pamoja...
Habari waungwana...mm ni mjamzito wa miez kadhaa hv..tatizo langu ni kutafuna mchele mbichi jamn..na nimeanza hv karibun kila baada ya masaa 6 hv lazma nijisikie kuutafuna mchele..je kuna madhara...
Liver Damage caused due to Alcohol Abuse
These days, men and women regardless of the age are fond of drinking alcohol. This is their way of escaping their uncertainties in life and some problems...
Habarini za jioni Madaktari na Washauri mahiri wa jukwaa hili.
Naomba mnisaidie tatizo langu.
Kila ninapoamka asubuhi, hukuta uchi wangu umevimba mpaka unatisha.
Ni tatizo lililonianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.