Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana jf! Kama siku nne hivi nilisikiliza radio flani nikasiki denmark wa,egundua cure ya hiv! Ila naona wataalam mbali mbali wanaipinga hii kitu! Yeyote mwenye ufahamu juu ya swala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
EDMARK INTERNATIONAL HEALTH PRODUCTS Insomnia (Kukosa usingizi) - Shakeoff, Splina & Redyeast Fibroids (uvimbe tumboni) - Shakeoff, Splina & Gingseng Hormonal Imbalance (kuvurugika kwa homoni)...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari! mdogo wangu anamatatizo ya kutoona siku zake mara kwa mara. anaweza pata mwezi huu akafunga miezi 2 au 1 tatizo ni nini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Large intestine and rectum constitute colon. Primary function of colon is the removal of water from undigested material and convert it in to waste material that passes through rectum and finally...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman nmevutiwa na faida za mafuta ya ubuyu sasa je kwa hapa moshi yanapatikana wapi na yanauzwaje? hata Arusha tafadhar
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Clinical trials for a new technique pioneered by Danish researchers are underway, and doctors are optimistic Danish researchers are readying human trials for a potentially life- saving new HIV...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
salaam nyingi ziwafikie woote. Baada ya salam, ni hivi; tangu nimejifungua kwa operation mtoto wangu wa 2 ni mwaka 1 umepita ila nina tatizo na mshono wangu, unawasha sana na kuchoma choma...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Jaman naomben msaada wa ushauri,tiba, dawa, au chakula na nk maana vipimo vya mara mwsho tar 12/04/013 ilionesha WBC 2.5 _abnomal kawaida inatakiwa kuanzia 4.0 hadi 11.0 _nomal msaada...
0 Reactions
17 Replies
13K Views
Tanzania and Rwanda have been cited as examples in Africa in the fight against the killer disease malaria where there are over 200 million cases every year and a death rate of 25 percent. An...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Jamani WanaJF, Nina matatizo makubwa sana ya kisaikolojia ambayo yanaathiri sana maisha yangu ya kila siku. Kuna sometimes nawaza hadi kufa, vipi kwa wanaojua kama hapa Tanzania kuna sehemu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu kuna mada inayo sumbua vichwa vya wengi sana sana wazee wetu ambao hawaja ionja ladha ya skull. Kwa upande wangu nimeamua kuingia jf kuutafuta ukweli. Ivi maumivu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini madocta wote na wenye ujuzi,naomba kujuzwa kuhusu dhana hii ya kubembenda,ni nini hasa,sambamba na hilo nimesikia mahali wakisema wazazi wenye mtoto mdogo aliezaliwa wanapojamiiana huweza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Could this be the cure for HIV?: Scientists predict vital breakthrough in fight against Aids virus Danish scientists using a technique which strips HIV virus from human DNA Process involves...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu ana tatizo la kutoka harufu mbaya kutokea katika koromeo na kwenda mdomoni sijui tatizo ni nini ? .Halafu rafiki yangu anapenda kunywa pombe kali kama konyagi.Msaada please .
0 Reactions
0 Replies
595 Views
jaman nahitaj msaada nina mtoto mmoja ila matiti yangu yamelegea sana kiasi kwamba nakosa uhuru wa kufanya mapnz napokutana na mwanaume huwa cvui nguo yangu ya juu kuofia kuyaona matiti yangu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watafiti nchini Cambodia (magharibi) wamegundua vimelea sugu vya malaria. Vimelea hivi vina uwezo wa kuhimili: Dawa za malaria za artemisinin (dawa hizi ndizo dawa zinazotumika kutibu malaria...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
naombeni kujua haya makampuni yanayotoa mikopo kwa wafanyakazi riba wanzo toza hujipangia wao au hupewa kiwango na benki kuu kisheria?
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Wapendwa kuna tatizo ambalo linanifanya nikose aman"nikila ninapotoka kufanya mapenzi na mwenza wangu najiskia maumivu na kupata michubuko sehemu ya mbele ya uume hasa pale nlipokuwa nimeshonwa...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Wapendwa kuna tatizo ambalo linanifanya nikose aman"nikila ninapoka kufanya mapenzi na mwenza wangu najiskia maumivu na kupata michubuko sehemu ya mbele ya uume hasa pale nlipokuwa nimeshonwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la The Telegraph la Uingereza 27/04/2013 limeripoti kuwa Dawa ya kutibu Ukimwi itapatikana miezi michache ijayo. Ugunduzi umefanywa na wanasayansi watafiti wa Denmark. Tiba hii itasambazwa...
1 Reactions
46 Replies
15K Views
Back
Top Bottom