WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza nguvu za
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya ya Umma cha Havard (HSPH) kilichopo Boston nchini...
Pata Usingizi wa Kutosha: Unakumbuka tulipokuwa wadogo wazazi wetu walisisitiza sana kwamba twende tukalale mapema ili tukue? Bila shaka walikuwa wanajua kwamba usingizi ni sehemu muhimu sana...
Ugonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi au kuachana na mpenzi/mwenza wako yoyote yule hujulikana kitaalamu kamaTakostubo aubroken heart syndrome.
Ugonjwa huu husababishwa na kudhoofika ghafla...
Kuvuta sigara kunaozesha ubongo kwa kuathiri vibaya kumbukumbu, uelewa wakati wa masomo na uwezo wa kushauriana. Hii ni kulingana na wachunguzi wa Kings College, nchini Uingereza.
Uchunguzi...
Maafisa wa Umoja wa Mataifa wametangaza kwamba, watu zaidi ya milioni 13.2 watafariki dunia ifikapo mwaka 2030 kutokana na maradhi ya kensa, idadi ambayo ni mara mbili ya ile ya mwaka 2008...
5 Foods That Kill Cancer And Help The Body Destroy Tumors Without Any Drugs
Certain proteins within our immune system hold the precise instructions needed to destroy cancerous tumours.
In a...
​
. Neno food poisoning ni ugonjwa unaosababishwa na ulaji na unywaji wa chakula kilichochafuliwa au kuguswa na aidha sumu za bacteria au vimelea vya maradhi na kumsababishia mtu maumivu ya...
Moja ya madhara ya ugonjwa wa kisukari katika mwili wa binadamu ni ugonjwa wa figo (diabetic nephropathy). Ugonjwa huu ambao huwapata watu wenye kisukari, hutokea muda mrefu baada ya mtu...
Habarini.
"mwenzangu" amekuwa na tatizo hili kwa mwezi na nusu sasa. Ana vijipele vikubwa vimegandana kati ya sehemu ya uke na haja kubwa. Pale katikaji.
Tumekwenda hospitali na akaambiwa...
Nimeshuhudia Madr. Wengi sasa elimu yao wanaiweka upande na kuingia kwenye bishara hii ya kufanyia uperation wajawazito, operation huwa inafanyika kwa malipo makubwa kiasi cha laki6 kila mgonjwa...
Wana JF naomba mnijuze, je bp inaweza punguza nguvu za kiume? matumizi dawa za kudhibiti bp nazo zaweza sababisha nguvu za kiume? na je, ni ipi tiba nzuri ya bp ya asili? asanteni.
Ndugu wana bodi habarini, ni kama siku nne zimepita tangu ning'oe jino mdomo mwangu. Tatizo ninalopata ni kwamba kila nikila chochote napata maumivu kifuani mwangu. Naomba mnishauri je nini...
Nisaidieni jamani.
Ndugu yangu anakovu kwenye ubongo,
hii imemfanya apate stroke upande wote wa kulia wa mwili wake,
Je nini tiba ya ugonjwa huu,ana miaka 6 tangu apatwe na tatizo hili.
Hivi kuna uwezekano wa mtu kupangizia uzazi ikiwa unataka mtoto wa kike ama wa kiume au kama unataka watoto ''twins'' pacha! na kama upo uwezekano naomba nifahamishwe.
Waziri wa afya, Dk. Hussein Mwinyi.
Ugonjwa wa kimeta umelipuka katika Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro na kusababisha kifo cha mtu mmoja na mifugo kadhaa.
Kutokana na hali hiyo, wakazi 386...
Wana JF Salaam.
Leo nakuja nikihitaji kupata ushauri wenu wa kitabibu.
Kwa sasa nina matatizo ya kiafya yanayonisumbua;
Kwanza kabisa kabla ya yote naomba nitoe background yangu ili iwe rahisi...
WanaJF wenzangu habari za majukumu tafadhali naombeni kwa wanaofahamu tiba ya ugonjwa huu wa kupooza upande mmoja uliompata mama yangu anateseka.Kwa mara ya kwanza ulimtokea mwezi wa 5 akapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.