Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 47 kutoka jimbo la Michigan nchini Marekani amepata ugonjwa adimu sana (rare disease) wa mifupa baada ya kunywa chai iliyotengenezwa kwa aina mia moja ya...
4 Reactions
71 Replies
19K Views
Habarini Madokta wazuri na washauri makini wa Jukwaa hili. Jamani naomba mnisaidie jambo moja nyeti sana. "Hamu ya Kupenda Sana Kufanya Ngono". Hii kitu inanifanya nisiweze kudumu na mpenzi...
8 Reactions
61 Replies
10K Views
Jamani wakuu naombeni msaada, natoka ute weupe kwenye uboo wangu yaani sons tags, mda mwingine nahisi mishipa ya mboo inauma, msaada ni nini na nifanyeje?
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Wakuu ndugu zangu.Ninaomba kujua njia mbadala ya kuyatibu maji kwani sijaona faida ya kutumia wota gadi. Nisaidieni wakuu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu kuna rafiki yangu anatatizo ameota vipele vidogo vidogo kwenye mstari wa kichwa cha uume. Je huu ni ugojwa msaada wakuu!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wanajamii na wadau wote wa jamii forum. Bila shaka siku zinakwenda vema na kazi zetu za kila siku zinakwenda kama ilivyopangwa na pale ambapo hazijakwenda kwa mujibu wa matakwa ichukuliwe ni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kwa ushauri wa afya na vyakula tupasavyo kula zama humu Life Style Consultation utajipatia mambo bang bang yanayohusu afya yako na jisi ya kujiepusha na magonjwa yanayosababishwa na tabia karibuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wengi mnaofanya kazi za tiba,mtakubaliana nami kuwa Malaria imekuwa sugu kwa dawa zilizopendekezwa na wizara ya Afya Tanzania.Pamoja na ukweli huu kujulikana,hakuna tafiti za maana kuhusu tiba ya...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Mtindo wa maisha, ulaji na msongo wa mawazo, vimewasababishia Watanzani wengi maradhi lukuki hata vifo. Hata hivyo, wataalamu wa afya kutoka Afrika Kusini wamekuja na dawa maalumu, zilizo na...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamani mimi nina tatizo ambalo silielewi my genitals are very small na ikitokea nimepata wet dreams the fluid that comes out iko very white na ni almost colourless and i have never musterbated in...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
leo ni siku ya nne baada ya ovulation yangu,nilifanya unprotected sex lakini kama siku 1 au mbili zilizo pita matiti yangu yanauma uma kama vile nataka kubleed cjui sasa hii nini naombeni msaada...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari anajamii,. ningependa faam kama kuna madhara yoyte kutumia hizo daa ka asiye mwasirika
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jf!!!! Jana nimekutana na daktari mmoja. Katika kubadilishana mawazo ya hapa na pale, akaniuliza swali, ni kwa nini vijana walo wengi wa kizazi hiki wana matatizo ya nguvu za...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
The aloe vera miracle: A natural medicine for cancer, cholesterol, diabetes, inflammation, IBS, and other health conditions... Halts the growth of cancer tumors. Lowers high cholesterol...
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Uvimbe wa mapafu wa ghafla. Kumbuka moyo ulozidishwa ukubwa, mgawanyo wa juu wa vascula(mduara), na mdogo wa pande zote za mtiririko wa damu kwenye membrini zilizoko kwenye mapafu (mshare) A man...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Rafiki yangu wa kike anatoka vipele vidogo vidogo vilivyo kwenye vikundi ambavyo huwasha sana. Anapovikuna huacha alama nyeusi(madoa).Amepima magonjwa mbalimbali bila mafanikio. Tatizo gani hili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnitajie dawa ambazo zinafaa kuongeza nguvu za kiume. Nawasilisha.
0 Reactions
26 Replies
14K Views
wataalamu naomba kuuliza hivi mtu anatakiwa kunywa kiasi gani cha maji kwa siku na akinywa kias gan itakuwa kazidisha? Heshima kwenu
0 Reactions
4 Replies
4K Views
nina tatzo mwenzenu ghafla tu nakuta baada yakula kitu chochote kile mdomo unabadilika ladha nakuwa kama kichef chef hv hata nikila chakula, pipi, au chochote kile, first nilijua vumbi ipo koon...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niaje wana jf naomba kuuliza,ivi kuna dawa au namna yeyote ya kuzuia mimba iliyotungwa ndani ya siku moja au mbili baada ya kufanya mapenzi?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom