habari zenu wana Jamii F
jamani naombeni msaada kwa atakayeweza kunisaidia mie mwenzenu nasumbuliwa na tatizo ambalo lilianza tu ghafla mwaka 2006 yaani kutokwa damu bila mpangilio maalumu ni...
Wakuu naomba kujua kama utumbo nao ni red meat.Nimeamua kuacha kula nyama nyekundu kwa muda sasa ila nikikuta utumbo umepikwa kwenye ndizi aaaah huwa nashindwa kujizuia naomba kuelimishwa tafadhali
Ndugu wana jf mie ninasumbuliwa na tatizo la kujisikia shavu la upande wa kushoto kukosa nguvu au kulegealegea hivi, kuna kipindi ilitokea mishipa ilikuwa inauma nilikaa baada ya muda hali...
Kuna mtu kanishauri kuwa naweza kupunguza uzito kwa kutumia pombe kali e.g. Gordons, na kwamba unakunywa kiasi kidogo kila siku kabla hujala, je kuna ukweli wowote katika hili?
habari wadau nimekuwa na tatizo ktk kufanya mapenzi na kushindwa kusimamisha uume au namaliza mapema sana tena goli moja tu nkaenda kwa dr akaniambia sina tatizo ila huwa nakamia tu sasa je...
Habari zenu wajuzi!?..
Kwakweli kama title inavyojielez, kwangu ni tatizo. Huwa ninapokula chakula iwe breakfast, lunch hata dinner najihisi kuzidiwa ile nguvu zinaniishia kabisa japo huwa...
habari wakuu. Mdg wangu kapata miscarrage, na akasafishwa anaendelea vyema. Je ni muda gani anatakiwa upite ndipo anaweza kukutana na mumewe tena. Thanx indeed
jaman hii si mara ya kwanza..miaka miwili iliyopita uvimbe ulikaa mda mref nikafanyiwa minor operation ya kuutoa...sasa naona jicho la upande mwingine limevimba kwa juu..na linauma sana hadi...
Waziri wa Afya Zanzibar, Juma Duni Haji, ameshangazwa na wimbi la uuzaji wa dawa za nguvu za kiume uliojitokeza katika maeneo ya misikiti visiwani humu.
Akifunga mjadala kuhusu ripoti ya Kamati...
Habari wana jamii!Nahitaj msaada kwa wale wanaojua jinsi ya kutoa tatto,nina mdogo wangu wa kike 17,asubh naona anatembea kainama na kafunika bega la kushoto nimemchunguza vzr ana tatto kasema...
Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
Ninaomba msaada wa ngozi ya usoni kuna vipele mfano wa chunusi ndogondogo huwa vinaibuka na kupotea, Bt pale vinapo ibuka huwa vinawasha sana. msaada tafadhari.
Habari zenu ndugu! kuna Clinic mpya ya magonjwa ya moyo imefunguliwa pale Ocean road, sea view, karibu na Protea Hotel (court yard), si mbali kutoka Serenda bridge. inaitwa Doctor's Plaza heart...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.