Finally, its the start of spring weather. But, for some, it also means the start of allergy season. With sneezing, coughing, stuffy nose and itchy, watery eyes, theyre simply miserable this time...
Jamani nina mimba 40 weeks sasa lakini cna dalili ya kujifungua na nimechoka hata kutembea sasa tabu, nauliza hakuna natural methods za kustart labour pains?
Naogopa za hospital nisaidien...
Habari wanajamvini,
Kuna rafiki yangu ananyama sehemu ya aja kubwa, je huu ni ugonjwa gani na unatibika maana yeye anasema ni ugonjwa wa kurithi maana baba yake anao, dada na kaka yake, majuzi...
Nina rafiki yangu wa kike nyumba yao ilipata shoti ya umeme nayeye akiwa ndani, alimeza moshi mwingi na kupelekea kulazwa ametumia madawa lakini kifua bado kina mbana anadai kinamsumbua sana...
Wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu Paracetamol, ambayo ni maarufu kwa jina la Panadol, tuliona kwamba dawa hiyo inapotumiwa kiholela, inaweza kusababisha madhara kwa viungo vya mwili kama vile...
Rafik habar zenu.mm nna tatizo moja ambalo linaniumiza kichwa,jambo ambalo niliuliza kwenye facebook hawakunipa jawab sahihi.
Jamn mm nna mdogo wang wa kiume ambae tulizaliwa tumbo moja na...
Huwa napata tabu wakati wa kukojoa nimetumia dawa nyingi lakini wapi, km azuma ,cipro na metronidazole nisaidieni jamani nafwa.
Kwani nimetumia dawa nyingi kwakweli
Habari zenu wana JF!
Nianze ktk mada, mim ni kijana wa kiume ambaye nipo ktk ndoa kwa muda wa mwaka sasa ila cjabahatika mtoto.mpaka sasa huwa nahic labda nakosea timing ya kutupia madude,plz kwa...
News
Got a story? Email: talkback@the-sun.co.uk
Disease causes tragic toddlers head to swell up like a balloon Tragic ... Abdul cradles his daughter Roona
By IAN GARLAND
Published: 2 hrs...
Salamu nyingi zikufikie hapo ulipo.
Dhumuni langu na shida yangu kuu ni kuomba msahada wa mawazo na kitaalamu. Kunatatizo limemtokea mke wangu, kwani linapelekea kunichanganya mimi na yeye pia...
kila nikiwa na nyoa nywele sehemu za siri baada ya siku kama mbili natokewa na vipele ila kina kuwa kimoja kimoja vinaweza kutoka vipele kama vitatu baadaye kama baada ya wiki kama moja vinaisha...
Binafsi nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini wachangiaji katika jukwaa hili ni wachache? lakini kwa uchunguzi wangu nimekuja kugundua kuwa watu wenye uwezo wa kuchangia jukwaa hili ni wengi...
Ndugu wadau naomba mnisaidie kwa hili, baadhi yetu tunamtindo wa kumwaga nje ili kujiepusha kuumpa huyo mwenzi wangu mimba ambayo hatukuitarajia, sasa wakati nakaribia kupiz huwa ninatoa mashine...
Researchers report a breakthrough in generating powerful antibodies that can neutralize HIV.
An HIV infection is really an intensive molecular arms race launched from the minute the virus infects...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.