Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

habari wakuu, naomba kujuzwa ,je jino lililovimba linaweza kutolewa hivyohivyo au mpaka uvimbe upotee kabisa ndio linaweza kutolewa ? Natanguliza shukrani.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwenye kujua hili tatizo anisaidie tafadhali,mtoto wangu wa miaka 15 ana tatizo kila anapoamka toka usingizini lazima apige chafya 4 mpaka 5,mimi hili naliona ni tatizo kwani sio hali ya kawaida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu naomba msaada wenu hapa tutani. kwa zaidi ya wiki mbili sasa nimekuwa nikihisi maumivu (ambayo ni ya kawaida na siyo makali) kwenye P.u.m.b.u zangu hadi kupelekea kuninyima kwani nilizoea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Men who are bald have a much higher chance of developing coronary heart disease, according to researchers in Japan.Their study of nearly 37,000 people, published in the online journal BMJ Open...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani naomba kama kuna mtu mwenye uelewa wa aya mambo anisaidie.hivi mwanamke ambaye siku zake za mzunguko ni mchanganyiko yani hauna tarehe maalum,tofauti na tulivyozoea siku 28 siku zake za...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Salaam wana JF Naomba kusaidiwa kwa mtu anaefahamu tumour je zinasababishwa na nini hasa? Pili nasikia kuna aina na aina je ni ipi ambayo haileti kansa na ile inayoleta? tatu mtu anatakiwa afanye...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Figs (Ficus carica) are oval to pear shaped fruits with a thin edible outer skin, mushy pink pulp, and tiny white seeds. Health Benefits of Figs: Reduced Risk of Colon Cancer...
0 Reactions
4 Replies
14K Views
Nipo katika hospital kuu ya mkoa iringa kwa zaidi ya saa 2 nipo mapokezi tu na hawa wahudumu wa afya ya mfuko wa bima ya afya ina maana huwa hawalipwi zile fedha zetu ambazo huwa wanatukata kwenye...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna layer ya nyama imeniota sehemu yangu ya siri,Inatengeza km kipele then kinakuwa taratibu.Kipo kwa pemben ya kende la kulia na kngne kmeanza kwa juu karibu na shna la mpododo!je,naweza pata...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Salaam, Kuna ndug yangu kanipatia swali ambalo kwa kweli mimi sina elimu nalo ya kutosha,mwenye ujuzi anisaidie nipate cha kumjibu.. "AMEKUTANA KIMWILI "KAZINI","KASEX","KAFANYA TENDO LA NDOA"...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mangos (Mangifera indica) are an oval shaped fruit with thin green, yellow, or red, skin and a thick yellow/orange flesh that surrounds a large central pit. Health Benefits of Mangos...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Mie ni mvulana wa miaka 26, nilipo balehe tu{ nakumbuka nlikuwa na miaka 15} nilianza ka mchezo ka punyeto! Nlpochaguliwa bwen ckuwa na naruka fens kwenda kutafuta vibinti. Nilkuwa nafanya vizur...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Baada ya Miaka 125 Siri ya Utengenezaji wa Coca-Cola imejulikana ina Ulevi ndani yake (Alcohol 8 oz) Kila kitu kibaya kilichojificha mwisho wake hudhihirika kabisa. Haya tena wale wanywaji wa...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Dark Chocolate (Cacao) is a refined product made from cacao beans. It needs to be at least 80% cacao in order to receive all the requisite health benefits of dark chocolate and be considered a...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Niliathiriwa na upigaji nyeto na nashukur ushaur wenu nimeufanyia kazi,napiga mzigo kama zamani.size ya machin imerudi kwenye hali yake(ilikuw ndogo baada ya kuathirika na nyeto).tatizo nililonalo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana JF natumai wote muwazima. Kubwana naomba msaada wa ushauri juu ya mama mjamzito, leo ni siku ya tatu sasa analala mika tumbo linamuuma sana tena linauma lote, ujauzito...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
jaman wadau wa forum hii naomba msaada wenu,mguu wangu wa kushoto eneo la linalokaribiana na kiuno linauma ndan kwa ndan,hakuna uvimbe wowote sjawahi kuanguka wala kuumia eneo hilo.maumivu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu, ningependa kupata historia kidogo ya wizara hii na hasa jinsi ilivyokuwa ikibadili majina tangu uhuru. Anayeijua naomba aiweke hewani, tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mke wngu anamimba miez 3 but kila tukisex anatokwa na damu uken bila maumivu yyote hil ni tatzo gani?je mimba haittoka?
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Kiganja changu cha mkono huwa kina kufa ganzi nikiwa nimelala,nimeenda hospitali nimepima kisukari cna,nimepewa dawa zakutumia lakin bado tatizo linaendelea.Naombeni jamani kwa yoyote anaye weza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom