If it takes just one sperm and one egg to create a baby, why must men make so many sperm? And how many sperm are considered normal? How long do sperm live? Can they survive outside the body? Do...
Nimepima UTI sina lakini napata maumivu kwenye kibofu cha mkojo je linaweza kuwa tatizo gani?au vidonda v ya Tumbo nilivyo navyo ushauri tafadhari
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Uvutaji sigara ni hatari kwa ubongo kulingana na wanasayansi nchini Uingereza
Kuvuta sigara kunaozesha ubongo kwa kuathiri vibaya kumbukumbu, uelewa wakati wa masomo na uwezo wa kushauriana...
nimekunywa konyagi,bt nina dose ya kikohozi ya dawa inayoitwa ZECUF,
je,nikinywa dawa ntapata madhara au haiwez kuniletea madhara?
na kama ntapata madhara,je ni yapi hayo?
Dunia hii sistaajabu concerning women beauty, kuna dada mmoja yupo ana saloon yake ktk njia ya kuingilia kwangu, ni jirani tuseme, kaniomba zawadi ya dawa ya kuongeza makalio, tena yupo serious...
habari wana JF.
ni matumaini yangu wote tu wazima wa afya,ni jambo la kumshukuru mungu,,
naomba kuuliza tofauti iliyopo kati ya dalili za ugonjwa wa kifua kikuu na ugonjwa wa Ukimwi,,,yaani dalili...
Sasa kitu kichafu huenda kikaonekana si cha kuweza kupikwa, lakini ni kitu ambacho kinavutia katika maeneo mengi ya Afrika - hasa miongoni mwa akina mama wajawazito wanaohitaji virutubisho...
Last night, i was on ER night shift .... one of my colleague alikuwa amechoka sana .... nikamuuliza " what`s going on " akanambia , have u ever heard about Fatal familial insomnia.....?! of coz...
Muundo ya moyo na mishipa ya damu ni mojawapo ya vinavyooathirika katika magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo. Vijusi(fetuses) kati ya 8 hadi 10 huathirika kwa kila 1000.Magonjwa ya moyo ya kuzaliwa...
Dalili na ishara za uja uzito
Dalili za ujauzito hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke, ingawa kuchelewa au kukosa hedhi ni dalili moja muhimu sana
Ni muhimu kuzitambua na kuzifahamu...
Nimetoka hospitali mda si mrefu kilichonipeleka ni kupima
maleria kama nilivyoshauriwa na Mzizimkavu
Group ya Damu
pia uwa mara moja moja naumwa chini ya tumbo upande wa kulia ila juzi nilibanwa...
Ni ramli ya kizungu au ni nini?
Sometimes nikiwa katika kipindi cha ovulation kiuno/nyonga huwa inaniuma sio sana lakini.especial kama ni ovary ya upande wa kushoto, sasa juzi ikanitokea...
Habari wana jf,
Mwanamke mwenye mzunguko wa hedhi siku 32 na akakutana kimwili na mwanamume siku ya 19-22 bila kutumia kinga halafu akapata tena periods mwezi unafwata ila siku zimepungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.