Wanajamvi, kwanza kabisa nawatakia wiki njema yenye baraka kwa wale watakaopokea baraka mpya jumapili. Wenye uzoefu na waganga wa jadi wale wanaotibu magonjwa kwa kupaka dawa za kienyeji mwilini...
We understand that health should be the number one priority to everybody and we are taking this matter very serious. Western medicines have provided a significant revolution in the medical world...
Huu ugonjwa wa ngozi umenisumbua sana umenipata mgongoni,nimetumia dawa za kila aina kwanzia fluconazole za kumeza hadi gentrisone za kupaka hauishii na bado unanirudia,je nautibuje wadau? au...
ndugu zangu wana JF nimepita kona frani nikakuta jamaa wanajadiliana juu ya mafuta ya ubuyu kuwa yanatibu magonjwa mengi.sasa kwa wale wanaofahamu zaidi juu ya hili, naomba kujuzwa zaidi.
ni ramli ya kizungu au ni nini?
sometimes nikiwa katika kipindi cha ovulation kiuno/nyonga huwa inaniuma sio sana lakini.especial kama ni ovary ya upande wa kushoto
sasa juzi ikanitokea...
Kila nimalizapo tendo la ndoa na mwenzi hujikuta nimepata mpasuko fulani chini kwenye mlango wa K.... na pia pembeni kwenye kuta za ndani ni kama kuna vimichubuko vidogo vidogo vingi ambapo hali...
Picture of the anatomy of the sinuses
Picture of the detail of the sinuses
Sinus Infection Overview
Sinus infection, or sinusitis, is an inflammation of the sinuses and nasal passages. A sinus...
Salute wana Jf wote: Baada ya kuwa nimefuatilia kwa muda mrefu namna ya hii mitandao ya kuuza bidhaa za tiba lishe/food supplements/food dietary, nimegundua kuwa tiba lishe kama ilivyo haina...
UTAFITI: ETI KUANGALIA TV KWA SAA MOJA KUNAPUNGUZA DAKIKA 22 ZA MAISHA YAKO !!!
Ukifuata kila linalosemwa na wanasayansi utashindwa kuishi. Leo watasema kunywa kahawa kunapunguza msongo wa...
Saturday, May 29, 2010 1:40 AM
Utafiti uliofanyika nchini India umeonyesha kuwa wanaume wengi nchini India hawafurahishwi na ukubwa wa kondomu unaotambulika duniani...
Wiki nilimpeleka binti yangu hospitali! Nilipata kitu kipya ambacho nawaomba niwashirikishe!
Binti yangu ana miaka 3.4 Hivi ! Ni mtoto mwongeaji sana na mwepesi wa kukamata chochote anachosikia...
Kati Ya Mwanaume Na Mwanamke Ni Yupi Anaweza Kukaa Mdarefu Bila Kufanya Ngono? Na Kwa Mwanaume Ukikaa Mwaka Bila Kufanya Ngono Kunamadhara Unaweza Kupata?
naomben msaada jamani,eti ni kweli staili ya kusex ni kigezo cha mwanamke kupata mimba? na kama ndio je ni ipi?kwan kuna comment niliiona ikisema staili ni kigezo,msaada wajameni
How Our Brain Tricks Us
The human brain is an amazing thing, and the more we learn, the more awesome it gets. Its so awesome, in fact, that it tricks you every single day - these tiny little...
wana jfnaomba kuuliza, nimesoma madharA YA PULI LAKINI SIJAPATA kusikia tiba ya mwathirika wa hii kitu anawezaje kupona na kurudi hali ya kawaida zaidi ya kuacha kupiga puli
Nisaidieni wadau, mtoto wangu analia sana hasa wakati au baada ya kunyonya. Anamwezi mmoja na wk 2. Nilishampa dawa nyingi kama daktari alivyo elekeza lakini bado anateseka. Naomba msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.