Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau naombeni kuuliza hivi ni kweli kila mwenye magonjwa ya zinaa ana HIV/UKIMWI? Au unapogundua umeambukizwa magonjwa ya zinaa ni lazima umeambukizwa na Ukimwi? Nimeuliza hivi kwani mara...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mgonjwa wa Kifua Kikuu Sugu ambaye amepata nafuu katika kiwango cha juu akiwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Kifua Kikuu ya Kibong'oto Mkoani Kilimanjaro. Mgonjwa huyu na wenzake wanaiomba...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Medical Dark Ages Dr. Dean Burk, co-founder of the National Institute: "The more people making a living off cancer, the more impossible it is to get rid of it." "If enough money can be made on...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Wana Jf naomba msaada wa Hospitali inayoweza kutibu kidonda cha mgonjwa wa Kisukari. Nina ndugu yangu ana ugonjwa wa kisukari na ana kidonda mguuni ambacho hakiponi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
HABARI ZA SAA HIZI WANAJAMVI... katika pita pita zangu huku mikoa ya nyanda za juu kusini nmekutana na dawa za jadi mbalimbali naomba kuuliza kama kweli ni tiba.... 1. NUMBU hii nimekutana nayo...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
nina mda wamiezi 6 tokea nimeanza kutumia drugs yani (unga) sasa nataka kuacha bt siku nisipo vuta drugs mwili uwa unaniuma sana na hi inachukua mda wa 7 days mbaka kuja kukaa sawa na kurudi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu,Benjamin Mkapa. KWA UFUPI Taasisi ya Mkapa Foundation, imekuwa ikiisaidia Serikali katika kuboresha huduma za afya kwa watu wa vijijini ambao mara nyingi wamekuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KWA UFUPI Inashangaza kuona kuwa, pamoja na kuwachuja wauguzi hao waliokuwa wameomba kupewa mafunzo ya uuzaji wa maduka ya dawa muhimu, bado walikuwapo wengine waliobainika kutokuwa na ujuzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama wewe ni mwanamke na hupendi kunywa chai itabidi ifikirie tena suala hilo, kwani wanasayansi wamegundua katika uchunguzi wao wa hivi karibuni kwamba, miongoni mwa faida za chai ni kuzuia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nilichogundua ni kwamba kwenye hospitali nyingi za mikoa, kushuka chini asilimia kubwa ya wagonjwa wakifika tu kwa madaktari wanapatiwa dawa za malaria hata kabla ya vipimo, na hata vipimo...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Hello friends!! Naomba ushauri kutoka kwenu.Nilipokuwa mdogo nlikuwa napatwa na vidonda nikila baadhi ya vyakula. Sasa baada ya kukua makovu yamebaki sehem za miguuni. Je? Ni dawa gani au kitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa na tatizo la kusumbuliwa na mguu wa kushoto leo yapata miezi mi-3, kiasi nashindwa hata kukaa kwenye kiti kwa ajili ya kufanya kazi kwenye computer. Ukikaa tu misuli inakaza siyo kawaida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
• Tuna uza mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu MAFUTA YA UBUYU/BAOBAB SEED OIL NI MAFUTA HALISI YANAYOTOKANA NA MBEGU YA UBUYU.UTAFITI ULIFANYWA KUHUSU MAFUTA YA UBUYU UMEONESHA KUWA YANA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Gazeti la Raia Mwema ktk toleo lililopita liliripoti kuwepo kwa dakarai mmoja anayejiita Bingwa wa magonjwa ya moyo (Consultant Cardiologist), ambaye weledi wake una utata. Kijana huyu baada ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Taarifa mpya zinasema kwamba, maafisa wa afya wametahadharisha juu ya kutumiwa kwa muda mrefu dozi kubwa ya dawa za kuondoa kiungulia, (heartburn) na kusisitiza kwamba zinasababisha mifupa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa habari nilizopata jioni ya leo kutoka vision FM ni kwamba wafaransa wamegundua tuba ya VVU na tayari watu 14 waishapona. Habari hii isije hararisha ngono zembe.
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Leo usiku majira ya saa tatu nimemeza dawa ya malaria aina ya malafin baada ya muda kidogo baadhi ya sehemu za mwili zinawasha haswa . Najikuna balaa . Nimembiwa ni kuwa hiyo dawa ina sulfur na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wana Jamii na wataalamu wa magonjwa na dawa, naomba kuuliza, ni kwamba nimewahi kwenda hospitalini nikaambiwa nina malaria 1 siku nyingine 2 na kuna siku 3, hii imewahi nitokea kwa nyakati...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Hivi inawezekana mwanamama,akawa anableed lakini katika mzunguko hamna kupevuka kwa yai yaani ovulation inayotokea.Nasema hivi kwa sababu mke wangu anableed kama kawaida,ila katika kipindi chote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wanajf! nina rafik yangu ambaye ameoa miaka 2 iliyopta na walikaa vyema ktk ndoa yao mwanzon mwa hiyo ndoa yao,tatzo ni kwamba kwasasa jamaa ananiambia hana furaha ktk iyo ndoa yao kwan...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Back
Top Bottom