Ni wiki kama ya nne hali hii inanitokea na cjajua nn tatizo kila nimalizapo ku sex baada ya kama saa moja iv mgongo unaanza kuuma haxa kwa chini karibu namakalio naombeni mxaada wenu kwan hali hii...
Naomba nielekezwe hospital nzur ya ngozi/dawa kutibu hl tatizo lng la alergy,nasumbuliwa na alergy(mzio)kwa mda sasa nahc ni ya chakula kwn natokwa n vipele vidogo vidogo vinavyowasha somtyms hasa...
Imetahadharishwa kwamba kulala usingizi wa chini ya masaa 6 kila usiku kunaweza kusababisha mtu apatwe na kifo cha mapema.
Watafiti wamesema kuwa watu ambao kwa kawaida huwa wanalala masaa hayo...
wana jamii forum wenzangu,kwanza nashukuru sana,nlikuwa na vidonda vya tumbo,kwa ushauri wa wana jamii forum,sasa nina ahueni,ingawaje bado cijaweza kula vyakula vvyote,nkitumia kitu chochote...
Naomben ushauri kwa kila atakaesoma hii
Nina mdogo wangu ni mwembamba sana tunajitahid kumpa balanced diet lakin habadiliki, tumemfanyia chek up yuko poa kila kitu, jaman kwa anaejua tusaidiane...
Mimi, mtoto wangu mmoja wa kike na wadogo zangu wote wanne ni group 0+. Tatizo kubwa ni kuwa mafua ni tatizo kubwa mno kwetu, yaani yanatusumbua mno hadi mtu unalala, lakini magonjwa mengine kama...
Wakuu,
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha njiapanda clouds fm siyo muda, mwishoni mwa kipindi akaingia Dr Rahabu yule mgunduzi wa dawa ya kutibu vidonda vya tumbo ambaye kwa sasa anapatikana ubungo...
Daktari habaria yako, mimi sina mimba ila napenda sana kula udongo, naomba uniambie madhara yake ni
nini na pia jinsi ya kuucha mana nimejarbu sana kuacha lakini nimeshindwa.
habarini wadau?
I just look for this goods, its Iso-active forming gel.
kama kuna yeyeto anaweza jua wap ntapata na kwa bei yake nitafanya ata kuagiza.
i was got it as gift from europe for my...
Hili ni tatizo gani, huwa napenda sana harufu ya mafuta ya taa au disel, nikisikia harufu yake napenda sana. pia napenda sana harufu ya udongo, mfano kama mvua haijanyesha siku nying siku...
Jaman uwez amin kuhumwa niki2 kibya sana tena endapo aujui unacho umwa kuna jamaa katibiwa kila hosapital lakin akuna nafuu ila alikutana na doctor kutoka tumbi akagundua ansumbuliwa na ciphilicx...
Habari wana jf
Kwa wale wenye matatizo ya uzazi (kutopata mtoto) kama ulishawahi kupata mtoto mmoja na inashindikana kupata wa pili pia kwa wale ambao wanashindwa kupata ujauzito kama matokeo...
UWEZEKANO wa wanawake wa mijini kupata vitambi ni mkubwa mara mbili ya asilimia 32 kwa miaka kumi ijayo tofauti na wa vijijini kwa asilimia 12 katika miaka hiyo, imeelezwa.
Hata hivyo hali ya...
Napenda kukuambia unaweza kuepukana na tatizo la kiafya au kuimarisha afya yako kwa kupata tu lishe nzuri iliyoandaliwa kiasilia na kupitishwa na mamlaka ya chakula na dawa na pia kimataifa.
Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.