Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Genital Warts iliyo around mboo hutibiwa na nini?:A S angel:
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina tatizo la kupata mafua muda wowote wakat wowote,nina alergy na vumbi harufu za pafyum,manyoya pamoja na vingine hata nisivovijua wakat mwingine . Pia wakati wa usiku hua nasugua sana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mzizi mkavu kama upo kaka have a much concern mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,tatizo langu ni kwamba mwili wangu uko so hot most of the time hata hivyo kuna wakati huwa temp inachange...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dr. Brian Berry of the United States has found new cancer in human beings, caused by Silver Nitro Oxide. Whenever you buy recharge cards, don’t scratch with your nails, as it contains Silver Nitro...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Continue reading the main storyRelated Stories How much red meat should we eat? Red meat 'increases health risks' Processed meat 'early death' link A chemical found in red meat helps explain...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
www.endalldisease.com/50-reasons-to-not-vaccinate-your-children/ wajameni, embu someni list hiyo. Imepangwa kwa number kirahisi tu. 1. There is no scientific study to determine whether...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau habari,jamani ndugu zangu nimekuja hapa jukwaani kuomba ushauri wenu,nina mwanangu ana miaka miwili,alikua hospital wiki iliyopita na alilazwa kwa siku tano kwa ajili ya malaria na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi. Naomba msaada juu ya kujua matumizi ya dawa ya Flucan.
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Wakuu naomba msaada..mwanangu ana umri wa miaka mitano hajawahi kusumbuliwa na masikio ila nahisi ana inflamation kwenye masikio inayomsababishia homa je dar doctor gani anaweza nisaidia? Maana...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari yenu. ni matumaini yangu wote tu wazima.ningependa kuuliza je mtu kubabuka ngozi sehemu kama shingoni kuna uwezekano joto likawa ni sababu kubwa endapo mtu huyo amebadili mazingira kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Waungwana naomba msaada wenu wakitabibu ,, Mwezi wa pili nilileta Uzi ulio husu kutokwa na vidonda kwenye korodani vikiambatana na majimaji ambayo yalikua yanaganda mapajani na kusababisha vipele...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I have read that organic apple cider vinegar has the ability to help your body clear lactic acid and reduce muscle soreness & fatigue. Since my middle name these days is "muscle soreness &...
0 Reactions
5 Replies
22K Views
Nilipokuwa kijana, nilisikia watu wakisema (kipindi kile cha utawala wa mwinyi) kuwa mwinyi ameuza mbuga ya LOLIONDO. hadi leo hii sielewi kama ni kweli au la. kuna miaka ya hivi karibuni, hapa jf...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Low BP herbals at a glance Hypotension may be because of weakness of the digestive fire, poor blood circulation, congestion, and stagnation and with reducing the blood flow. Turmeric (Curcuma...
5 Reactions
6 Replies
19K Views
JF,napitia pamflet la saikolojia hapa wanasaikolojia wanasema hakuna ugonjwa usiotibiwa na Busu.Ulaya wana2mia sana!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habar zenu wana Jf polen kwa majukumu,mimi tatizo langu ni miwasho sehemu za siri, tena tatizo hili ni la muda mrefu(miaka miwili sasa),baada ya kumuona daktari na kufanyiwa vipimo nmegundurika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimeanza mahusiano na huyu dada kama mwezi mmoja sasa. Mwanzoni nilidhani labda ana mafua so nikahisi hali hii itakwisha soon,but naona kama ndivyo alivyo. Je kunaa njia ya kumsaaidia japo...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Salam wana jf Dokta. Tafadhali ninaomba msaada taja hapo juu sina tatizo lolote pia si mtumiaji wa njia zozote za kupanga uzazi lakini tayari nina mtoto mmoja Ni muda kidogo kama ninapojaribu...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
BAADHI YA FAIDA ZA MAZOEZI YA KUVUTA PUMZI... - YouTube
1 Reactions
0 Replies
820 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…