Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Habarini wana Intelijenisia... Katika thread hii nitajaribu kufupisha maana ina mambo mengi sana. Tutajuzana zaidi pindi tutapojadili kwa pamoja. Moja kwa moja nataka nilete hii mada tupate...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kumekuwepo maswali kadha wa kadha toka kwa wadau wakitaka kujua maana ya UTAKATISHAJI FEDHA (Money laundering), wengine huita "PESA/FEDHA CHAFU" na tumeona ni vema ikaeleweka kwa lugha rahisi kwa...
1 Reactions
162 Replies
70K Views
Habari za muda huu wana jf. Naiman mu wazima wa afya na shughuli za kusaka tonge zinaendelea. Mdogo wenu wa mwisho hapa 'kiziwanda' katika harakati zangu za kupunguza stress za mapenzi, ajira na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Natumai mu wazima, Kama kichwa kinavyouliza ndicho nachotaka kujua. Tunaona mwezi, dunia, nyota na sayari nyengine zina umbo la duara nimetafakari kwanini vipo hivi nimekosa majibu, then nikaona...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Katika pitapita zangu nilikutana na mjadala kuhusu maswala kuhusu Marekani na utawala wa Roman empire ndani ya kanisa katoliki. Wapo wengine wanafikia hatua wanasema kiongozi yoyote au rais...
14 Reactions
230 Replies
48K Views
Umewahi kujiuliza hii kitu? Basi tujifunze kwa pamoja, kwa wale wajuvi karibuni tusemezane. Viumbe wengi hupata usingizi, kama sio wote. Na katika ile hatua ya Macho Mwendokasi (Rapid Eye...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na habari hii huko nchini naijeria ukiachana na kile kinachondelea huko maandamano ya wananchi na SARS yao. kuna habari nyingine nlikutana nazo...
19 Reactions
76 Replies
15K Views
JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru wa nchi na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dira ya JWTZ Kuwa na Jeshi dogo, shupavu la Viongozi na Wataalamu...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Straight to the point. Africa ni bara lililosheheni vitu vingi vya asili vyenye thamani. Vitu ambavyo kama vingetumiwa ipasavyo na inavyotakiwa basi africa ingekuwa moja kati ya mabara yenye...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu jamaa ukiingia Twitter utaelewa sio mtu wa kawaida. Kuna kampuni mpya iko Marekani waafanya kazi wao kila kukicha wanaona afadhali ya jana Sasa kumbe kuna vitu wanaviita debris (majabali)...
10 Reactions
36 Replies
5K Views
Mtu alimuumba Mungu katika fikra zake ili awe kielelezo cha mambo yote yaliyokosa majibu kwa upeo wa watu. Mungu alipewa sifa zote za kiutu kama vile huruma, chuki, upendo, ukatili, hasira, wivu...
50 Reactions
801 Replies
61K Views
Utakubaliana na mimi kuwa bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme ni muumba mwenyewe wa kila kilichopo na katika yeye kilifanyika kila kitu na pasipo yeye akikufanyika chochote, hivyo alitengeneza...
2 Reactions
0 Replies
889 Views
Habari wakuu? Husikeni na kichwa Cha habari hapo juu. Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia thread mbalimbali zinazoielezea Lucid dreaming. Zinaelezea ya kwamba lucid dreaming ni kwaajili ya...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu Tumsifu Yesu Kristu! sisi wakatoliki kuna kitu kinaitwa Mwaka wa Kanisa.. au Jumapili ya Kadhaa ya Mwaka wa Kanisa je utajuaje Hii ni jumapili namba Fulani ya Mwaka wa Kanisa? Mfano...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hiki kitabu ni challenging and very disturbing lakini kinaelezea mambo mazito ambayo sisi wachache tunaosoma tunaelewa... Karibuni waungwana
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Sisi binadamu wengi ni wanafiki na hatuna misimamo au tabia ya kutoridhika, kwa mfano kulingana na maandiko(kutoka), Musa aliwapambaniaa Waisrael kutoka kwenye mateso makali misri na kuwapeleka...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
SALUTE COMRADES Miaka mingi kumekua na nadharia inayosema kua binaadamu tunatumia asilimia 10% tu ya ubongo wetu katika mambo yote tunayofanya, gunduzi zote za kiteknolojia na kisayansi, kufikiria...
32 Reactions
164 Replies
29K Views
Mambo ya jinsi na jinsia tangu kale yamekuwa mambo ya tafiti nyingi. Kwa karne nyingi mambo ya jinsi na jinsia hayakuwa yanaeleweka wazi. Kuna mitazamo mbalimbali katika jamii kuhusu mambo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana juu utimamu na ueledi wa Binadamu wa dunia ya tatu (THIRD WORLD COUNTRIES). Kumekuwa na mambo yanafanyika katika nchii hizi hakika ukitathimini vizuri huwezi...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba wajomba hawa hutenda haki japo wanaishi kama upepo maana hawaonekAni,mpakA umri huu nilionao nawasikia tu kuwa wapo hata ofisi zao hazijulikAni,sifa hizi zinawafanya kuitwa...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom