Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Habari zenu wanajamvi, awali ya yote namshukuru Mungu kwa kunipa uhai.... Going straight to the point,. Hizi siku chache almost (22+days), baada ya kuwa na almost same routine nnapokaribia...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Rafiki yangu mpendwa, Tahajudi au kama inavyofahamika kwa Kiingereza Meditation ni zoezi la kiakili ambalo linatuwezesha kuwa na udhibiti wa fikra zetu, kitu ambacho kinatuletea utulivu mkubwa na...
31 Reactions
55 Replies
17K Views
Ukijifunza kuyachungulia mawazo yako utaona si kitu ila ni mzigo wa mambo yaliyopita na matarajio yajayo, ukifikiria kwa makini utagundua yaliyopita na yajayo yote ni taswira ya fikra tu ila sio...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii machine pichani inaitwa Sarco device au Pegasos wengi wanapenda kuiita suicide bag au Death Pod kwa majina ya utani ila kitaalamu inaitwa "Euthanasia device" hii mashine inatumika kwa Mtu...
4 Reactions
60 Replies
9K Views
Nilipokuwa nikisoma kuhusu dada yake kiongozi wa Korea Kaskazini aitwae Kim Yo-jong nikapata kidogo ufahamu wa chumba kiitwacho Room 39 ambacho inasadikiwa kuwa mume wake dada huyo aitwae Choe...
26 Reactions
54 Replies
10K Views
Makabila yote yanaweza shindwa maisha mjini na kukimbia na kuwaachia mji wamasai,sasa najiuljza huwa wanaishije? Natamani nishinde na mmasai kuanzia asubuhi hadi jioni anapoenda kulala kwa mwezi...
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Mwaka jana nilikuwa na boss wangu Mjerumani. Siku moja aliniambia mnajua nyinyi wa Africa mko mwisho katika jamiii zote 4 duniani? Yani 1 wazungu 2 Mongolians (Chinese&Japanese& Koreans) na wote...
16 Reactions
116 Replies
12K Views
Baada ya kufanya jaribio lake la pili kampuni ya Space X inayoongozwa na ELON MUSK la kurusha rocketi ya Falcon Heavy kuna kitu kipya kimeanza kusumbua akili ya “Alien Mask” ambapo kampuni yake...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
tunaanza na 0,1,2,3.4..5.6......10..11..12...13 nk lakini mwisho wake ni ngapi
1 Reactions
63 Replies
14K Views
Salaam Wandugu! Ni Jambo ambalo najiuliza kila Uchao, kama kweli Uumbaji wa Mungu Ulikuwa ni wa Haki, Kwanini Kuliwekwa Matabaka ya Ngozi muonekano, yaani Nyeupe na Nyeusi? Mbaya Zaidi, Ngozi...
2 Reactions
76 Replies
14K Views
Wakuu sote tunafahamu kuwa giza hutokea pale mwanga unapotoweka.. Tumeona kuwa vyanzo vya mwanga ni kama vile nyota, umeme na kadhalika. But CHANZO HALISI cha giza ni nini?(source of darkness)...
8 Reactions
69 Replies
12K Views
Habari za wakati huu wakuu, heri njema ziwe nanyi. Nimejaribu kufikiria jinsi mwanadamu anavyoiendesha dunia kwa muda mrefu sasa pasipo ushindani wowote utokao kwa viumbe wengine mfano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mara tu unapozaliwa elimu ya kwanza nikuanza kukuprogramu kuwa mtu mwingine ambaye jamii inamwitaji hivyo jamii itakupa jina,watakuamulia lugha, na wataanza kukufundisha neno la kwanza la kutamka...
10 Reactions
26 Replies
5K Views
Kinachoifanya Dunia viumbe hai waezee kuisha ni kuwepo kwa Magnetic field na Ozone layer Magnetic field Jua linatoa miale ya mwanga ambayo inatumika Kama mwanga dunia na inakuja na upepo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni chombo cha kisayansi kilichorushwa na shirika la maswala ya anga NASA mwaka 1977,kusudi la kurushwa chombo hiki ni kwaajili ya kupeleleza anga ndani na nje ya mfumo wetu wa jua. Voyager 1...
33 Reactions
332 Replies
40K Views
Ukisoma vizuri asili ya waafrika na sehemu mojawapo ambayo sisi waafrika tumekuwa tukijivunia kila tunapozungumzia ustaarabu tutagundua kuna sehemu hatupo sawa. Misri ni moja ya nchi za kale sana...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Naamini Mungu yupo, na ndo ametujaalia akili na utashi wa kupambanua mambo. Mara zote linapokuja suala la kuhoji origin ya hivi vitabu vitakatifu, viongozi wetu wa dini wanakimbilia neno moja tu...
64 Reactions
2K Replies
187K Views
Muujiza ni kitu kinachofanyika ambacho akili za binadamu haziwez kuelewa, ndo maana tunapokutana na mambo magumu tunaomba muujiza Kwa sababu uelewa wa akili zetu umefika mwisho, na akili...
9 Reactions
40 Replies
7K Views
Tuna ndugu zetu wana asili ya kiarabu ila ni wazawa tangu ukoloni na ni wasomi kama huko Urambo,Sikonge na kwingineko,sheria inasemaje kuhusu wao kujiunga na depo CCP na kuwa askari polisi ikiwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoongoza duniani kwa kuathirika na kuwepo kiwango kikubwa cha madini ya Fluoride (Fluorine) ambayo husababisha Ugonjwa wa Fluorosis. Mwaka 2008, Tanzania iliamua...
3 Reactions
36 Replies
7K Views
Back
Top Bottom