Yoshua 10:13
Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.Hayo je hayakuandikwa katika kitabu cha Yashari?
2Samweli 1:17-18
Basi Daudi...
KANALI KASHMIR NA KANALI MAHFOUDH WALIVYOSAIDIA KUPATIKANA KWA UHURU WA MSUMBIJI
Na. Simon Noel
Jeshi letu la wananchi wa Tanzania JWTZ limetimiza miaka zaidi ya hamsini sasa huku likiwa na...
Ni wazi kuwa tumepiga hatua kama nchi toka enzi za kutawaliwa mpaka kujitawala wenyewe natumefanikiwa katika baadhi ya mambo ya msingi/muhimu katika kujenga taifa/utaifa wetu ikiwa ni pamoja...
Hakuna binadamu anayefikia u-smart alionao Mungu, kwanza kabisa Mungu hawezi vunja sheria aliyojiwekea tofaut na mwanadamu, pili Mungu sio muongeaji ongeaji hovyo, huwa ana maneno machache Kwa...
Ndugu zangu wana intelligence Nina wazo muhimu ambalo linaweza kubadili Tanzania kuwa katika ulimwengu wa pili au wa kwanza kabisa,
Hii anatakiwa kuwa mwendelezo kabisa siyo suala la kukurupuka...
Je, ni kweli roho ina uzani wa gr21?
Iwapo watu wa kale nchini Misri walikuwa wakisema ukweli , baada ya kifo binadamu huingia katika safari ndefu yenye matatizo hadi pale tunapowasili katika...
Nimekuwa nikisikia muda mrefu kama simulizi hivi, kwamba rupia ya kijerumani ukiipata unatajirika!! Binafsi sielewi ni kwa namna gani hadi juzi hapa nimekutana na mtu mmoja ambaye tunafahamiana...
Mawazo ni uhalisia.
Mawazo ni uhalisia unaosubiri muda fulani na space kufika na uhalisia huo kuonekana katika ulimwengu wako. Kinachofanya uone mawazo sio uhalisia ni muda. Kama kungekuwa...
SALUTE
Leo napenda nizingumzie kitu kinachoitwa Kanuni ya umiliki (Law of possession). By Default Mungu alipomuumba mwandamu alimpatia access ya kumiliki kila kitu kilichopoo duniani, kwahiyo...
Ndugu Wanabodi,
Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda...
Kutokana na taarifa zilizoingia kwenye wires this evening hapa London ni kuwa ile skendo ya Mtambo wa rada imeibuka umpya na kuna INVESTIGATION on the way na hawa jamaa wa SFO au serious fraud...
Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari?
Wakati wa...
Stairs escalator tukiapply ktk barabara za pembeni kutoka mtaa mmoja hadi mwingine zitasaidia wazee kwenda makanisani na wagonjwa kwenda mahospitalini
Picha chini haijawai tokea bado kukawa na...
Habarini wanajamvi..
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiyasikia haya mashirika mawili katika vyombo vya habari na hata kwenye filamu mbalimbali...
Nikiamini kwamba mashirika haya yana lengo kuu la...
Duniani kuna viumbe vitatu tuu.... vyenye mpangilio sawia kwenye ubongo. Navyo ni:~
A. Binadamu
B. Dolfine
C. Gorilla
Bila kusahau tembo mwenye ubongo mkubwa mno lakini uko fold ndani ya...
Huko mwaka 2018 kulivuma habari, Marekani baada ya mtu mmoja asiyejulikana jina ....kutuma ujumbe wa sauti katika vyanzo mbalimbali ikiwemo vya habari
Mtu huyo alieleza kuwa 12-9-2018 atazaliwa...
Hii ni sehemu ya kitabu cha RWANDESE SPIONNEN kilichoandikwa kwa lugha ya ki Dutch na mwandishi nguli wa masuala ya Ujasusi Arend Goffin,kitabu pia kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili...
Hawa ni viumbe ambao inakadiriwa waliishi miaka mingi iliyopita kabla hata ya mwanadamu kuwekwa kwenye uso wa dunia. Kipindi hicho dunia ilikuwa haijagawanyika, ardhi ilikuwa sehemu moja na...
Kama ilivyo ada kwa majeshi ya nchi kua na kitengo cha Anga,Jeshi letu pia sisi wananchi wa Tanzania tunayo kamandi yetu inaitwa Air Wing.Nembo yake ni hii hapa.
Sare zao ni hizi hapa
Huyu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.