Na. Belvin Kagoma
Miaka ya 1970 nchi ya marekani walipitisha Sheria maalumu ya Uhuru wa Kupata Taarifa (Freedom of Information Act). Moja wapo ya vipengele vya Sheria hii ni kulitaka Shirika la...
Msiogope !! Covid 19 sio mwisho wa dunia.
Mwisho wa dunia will be like around the year 2100 to the year 2500.
And these are my reasons.
The world can only contain 10 billion people. In other...
Nikola Tesla anasema Energy ni kitu kinachopaswa kupatikana Dunia na kuwa transferred wireless anauunda mnara mkubwa huko New york kwa ajili ya kufeed electrical energy maeneo mbalimbali bila wire...
Mwaka 2011 Wachina walitamba sana waliporusha satelite yao ijulikanayo kama Tiangong-1 kwenda angani.
Satelite hiyo ilishindwa kukaa kwenye trajectory yake na hivyo kupungua speed kadri siku...
NJIA KUMI ZA KUMTAMBUA MTU ANAYESEMA UONGO WAKATI UNAONGEA NAYE.
kuna msemo unasema kwamba kila mtu ni muongo hapa duniani yaani , hakuna mtu ambaye ameshawahi kuishi bila kusema uongo kabisa...
Poleni na Majukumu wana JF wote, zaidi wale mashabiki wa jukwaa la Jamii intelligence.
Nilipenda kutupia UZI (thread) huu katika jukwaa la Great thinkers, kwa imani kule wapo Wasomi, Wazee wenye...
Ilikuwa ni Mei 2, 2013 ambapo Jason Airey (37) alipatikana akiwa amefariki chumbani kwake nyumbani kwao Cumbria kaskazini mwa UK. Baada ya uchunguzi ilifahamika kuwa alifariki baada ya kufungua...
Japo nchi nyingi haziamini uchawi,Ila uchawi umetajwa kwenye vitabu vitakatifu,hivyo upo,maofisini,mashuleni na hata majumbani.
Kweli marais hupendwa na wananchi ila ni kweli pia...
Ningeomba kila nyumba iwe na taa ya nje na usiku iwashwe,majiji yetu yakiwa na taa za nje hasa tube light hupendeza sana hasa unapoanza kuingia toka safari.
Mwisho nadhani Tabora sasa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu ikiwa hadhi wasomi nchini imeshuka au vipi
Kiwango cha elimu yangu ni darasa la Saba tu lakini nilikuwa nikisikia na kuona wasomi walivyokuwa...
By Simon Mkina
Tanzanian company registration instruments, just like the East African country’s banking institutions, are unaware of a firm that has channeled over Shilling 1.4 trillion ($620...
Watu wengi hushangaa wanawake wanawezaje kukadilia chumvi na mafuta kwenye mboga bila kuzidisha wala kupunguza,wakati watu wengi hasa wanaume hushindwa japo kukadilia tu sukari kwenye chai na...
Korean Air Lines Flight 007: Ndege ya abiria iliyoruka juu ya anga la chuo cha siri cha usalama ikiwa na kamera za upelelezi (Surveillance Cameras)
Ndege namba 007 (almaarufu kama Korean Air...
KAMANDA KIVULI
Leo acha nimzungumzie 'kamanda kivuli' mfanyakazi wa shirika la maji la mji wa Kermal ambaye baada ya muda wa kazi alikuwa akishinda 'gym' kunyanyua vyuma na kutunisha misuli...
Siku zote nimekuwa nikilalamikia hili kuwa kama Taifa tunapoteza sana Rasilimali watu. Kwa kiwango cha kutisha kila iitwapo leo tunapoteza watu ambao walipaswa kujengwa kiakili.
nimekuwa kila...
Tulivutiwa na wajomba wenye IQ kubwa baada ya kuangalia series kama 24,prison break,the bodyguard from Beijing,Jamong na zingine nyingi,hii imepelekea nizijue kazi ngumu wafanyazo wajomba a.k.a...
Nauliza kwa sababu maji ya viwandani huwekewa chemical ili yasiharibike au yasichache sasa Mimi nayaweka bila chemical je yatakuwa mabaya kwa matumizi?
Mahubiri yake ni ya kimataifa,huu ndio ukweli hutoa mifano hai ya kwenye biblia hata hueleza visa vya manabii na wafalme kwa ufasaha sana,hakika ana upako,dini mbalimbali humsikiliza kupitia tv...
Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa...
Dar nasikia kila kitu hela,luku,maji ya kunywa ni ya kununua,chumba cha kupanga,maji ya Dawasco huku kuna visima na mabwawa,Gharama ya daladala hadi mbogamboga tofauti ña mkoani kidogo Unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.