Wandugu wote tunashabikia vita ndio ila madhara ya vita ni zaidi ya tujuavyo sisi kimwili na kiroho.
Wewe Muislam mimi Mkristo hatupendani hakika nasema kuwa kuna vita inakuja kumaliza vita...
Introduction
The advent of Artificial Intelligence (AI) has brought about revolutionary changes across industries. From automating repetitive tasks to performing complex problem-solving, AI is...
Duniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.
Ukiridhika sana hata penye shida utaona pako sawa.
Ukiiona shida ukaikalia kimya, ukasubiri mwingine aje aitatue wakati wewe uliyeiona wa...
LAANA LAANA LAANA
Katika akili yako toka uzaliwe kama ulikuwa hujui leo nakupa madini hakuna kitu kinachoitwa LAANA narudia tena hakuna LAANA
LAANA nikitu umepandikizw kichwani either kw...
1. Usuli:
Watanzania nchini kote, kuanzia Ntwara hadi Kagera, Ijumaa ya tarehe 3.8.2001 saa 2 usiku, walipigwa bumbuwazi na kushindwa kuamini, pale walipomshuhudia luningani, SACP ALFRED...
Habari za jioni wana JF mada ya leo ni sensitive kidogo maana inagusa moja ya topic zenye utata katika ulimwengu wa imani ila ningependa tusome kwa utulivu uzi wote alafu tujadiliane kwa hoja ili...
Kwenye jamii zetu unaona kabisa Kuna mifumo mbalimbali inayotumiwa kutunza kitu kinachoitwa maadili.
Lakini ili hayo maadili yawe maadili, chanzo chake huwa ni nini hasa.
Kwa nini watu washangae...
Kuna hii makala nimeletewa. Sijui kama ilishawahi kuwepo hapa. Ni ndefu kidogo (video) ila kweli inaleta kizunguzungu ukiisikia. Sijui ma Drs mnasemaje juu ya hili swala.
Kumbe Tanzania ndiyo...
THE RETURN OF THE TRUE GNOSTIC TEACHER.
SAYANSI YA ALKEMIA YA NGONO NA UCHAWI WA NGONO-SEXUAL MAGIC NA UFUNGUZI WA KUNDALINI -NGUVU YA NYOKA.
Na Bro James Lordy Kashirina
👉Kimya cha james...
Najua kama tumetofautiana Imani, mitizamo pamoja masuala ya kiitikadi. Lakini nipo hapa kwa ajili ya wale wote wanaotaka kuisoma hii elimu na kuweza kuwasiadia wenyewe katika mambo yao binafsi...
Yesu wa Nazareth
WANAZUONI wengi duniani, bado wanaumiza vichwa kuhusu tarehe sahihi aliyozaliwa Yesu Kristo, ambaye ni Nabii wa Wakristo.
Miaka nenda rudi, vitabu vingi vimeandikwa na makundi...
FUMBO MFUMBIE MJINGA
LUKA 17:20-21
Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa...
Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela
Kabla ya yote...
Afrika ina dini ambazo ni nyingi sana kuliko bara lolote lile Duniani. Dini hizi nyingi zimepigwa ban na watu wa nje (whites) kwa sababu tu ya inferior ya mtu mweusi wa zamani. Kuishi kwa...
Karibu kila mtu ana dhana fulani kuhusu muonekano wa Yesu Kristo.
Ndiye mtu aliyechorwa zaidi katika sanaa ya Magharibi. Picha zake hutambuliwa kwa urahisi, ambapo huoneshwa akiwa na nywele ndefu...
Kaskazini mwa nchi ya Israeli, kwenye miteremko ya milima ya Golani, (Golan Heights) ndani ya kijiji kiitwacho Gamala, katika jimbo la Galilaya, alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Yuda...
Niliwahi kusoma siku za nyuma sana kuwa kuna kikundi cha watu (illuminat) walianza mipango ya kuanzisha era mpya duniani itakayobebwa na mpango unaojulikana kama New World Order (NWO).
Wao...
Peter Noni na Rostam ni wabia wa biashara (Vodacom). Peter Noni ni shahidi wa serikali katika kesi za EPA zinazoendelea. Alikuwa ni bosi wa kina Imani Mwakosya, Esther Komu na Bosco Kimola. Katika...
Hello bosses....... Nimekaa na hii experience kwa muda mrefu ila leo nikakutana jamaa fln wanabishana khs dini nimeona ni bora niisimulie labda inaweza kusaidia. Ni story ndefu ila nitajitahidi...
kwa muda wa miaka kumi nimekuwa nikifanya research kuhusu familia inayojulikana kwa jina la ROCKAFELLERS
kuna mada ililetwa humu kuhusu rothschild ilikuwa ni mada nzuri
na katika baadhi ya...