Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Je, umewahi jiuliza imekuwaje vitu tofauti vya asili vinakuwa na umbo au muundo unao fanana? Sababu ni nini? Je Asili imetokea kama coincidence? Twende sambamba... Picha uzionazo hapo juu...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Swali sio kwamba Kwanini watu wanaishi nauliza kwanini wewe Unaishi ? Dhumuni la swali ni kujaribu kueleweshana huenda watu tumesahau kwamba Binadamu tupo tofauti chema kwako ni kibaya kwa...
15 Reactions
24 Replies
3K Views
DNA, VINASABA Kila mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizazi vya mababu zake, hizi DNA wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata...
1 Reactions
21 Replies
940 Views
SIXTH TABLET OF LOST BOOK OF ENKI. (THE CREATION OF FIRST HUMAN BEING) Mwandishi OLYME SONGO III STUDENT A MEMBER OF JAMES KORDY KASHIRINA TEAM. Mara ya mwisho tuliona viongozi wakipigwa na...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Sehemu ya Kwanza Tarehe ya kuzaliwa uwa inabeba taarifa zote muhimu kuhusu maisha ya muhusika na hii ni kwa mujibu wa elimu ya namba (Numerology). Katika hatua ya mwanzo nitaanza kwa kuzungumzia...
26 Reactions
356 Replies
73K Views
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini...
39 Reactions
755 Replies
14K Views
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi... Sasa amekua kinara katika mada zote...
38 Reactions
443 Replies
64K Views
Awali, Tanzania na Malawi walikubaliana kutatua mgogoro huu kwa kutumia njia ya mazungumzo ya pande mbili ambapo walikubaliana kutafuta washuluhishi wanaokubalika na Pande zote mbili. Wasuluhishi...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho. Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia. Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa...
19 Reactions
456 Replies
41K Views
Karibu kila mtu amewahi kujiuliza swali hili. Kwa nini serikali isi-print fedha nyingi na kuwagawia wananchi ili waondokane na umasikini? Ni kweli, kila nchi ina uhuru wa kuamua ichapishe kiasi...
26 Reactions
29 Replies
2K Views
Watu hawa wanatokea karne nyingi sana nyuma katika maisha ya ulimwengu huu; wanajielewa , wapo very organized dunia nzima na hawabahatishi katika mikakati yao dhidi ya ubinadamu na Mwenyezi Mungu...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Ukifuatilia dhana ya kidunia utagundua kuna uongo mkubwa sana juu ya matumizi na kuanzishwa kwa pesa... Nimefuatilia kwa wasomi wanasema pesa imeanza kutumika kuanzia Miaka ya 1870+, Hii ni baada...
10 Reactions
31 Replies
15K Views
Kwa nchi ya Egypt kama kuna Farao alieitikisa Misri akiwa hai na na kuendeleza ubabe hata akiwa mfu kaburini basi alikuwa ni mtoto mdogo aliejitwalia ufalme akiwa na miaka tisa tu kutoka kwa baba...
64 Reactions
164 Replies
32K Views
Ninahitaji kujua mambo kadhaa yanayohusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na askari wa vyeo tofauti tofauti vya kijeshi.Kuanzia cheo cha chini kabisa mpaka cha mwisho.Namaanisha majukumu ya...
13 Reactions
215 Replies
60K Views
Barua iliyoandikwa 15/08/1871 na mtu huyu Albert Pike akimuandikia mwanamapinduzi wa kiitaliano Giuseppe Mazzini. Barua hii imeandikwa na kunukuliwa na vyombo mashuhuri vya mashariki na...
41 Reactions
482 Replies
64K Views
Natumai mko poa pamoja na hizi tozo[emoji1]. Mind-body dualism hii ni dhana kwamba akili(mind) na mwili(body) wa binadamu ni vitu viwili tofauti kila kimoja kinajitegemea kivyake.Dhana hii ilikua...
27 Reactions
142 Replies
18K Views
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni...
16 Reactions
685 Replies
154K Views
Hivi kuhusiana na masuala ya 'public interest' serikali ilishindwa kulitwaa eneo hilo kwa ajili ya kuwekeze huo mradi wa jamii. Ebu fikiria kama tungekuwa na chuo na kikosi cha zimamoto maeneo ya...
1 Reactions
155 Replies
37K Views
I have always failed to be convinced that Mwalimu Julius Kambarage Nyerere died "A natural death!"
19 Reactions
423 Replies
96K Views
Ndugu zangu. 1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe...
10 Reactions
213 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…