If you want to walk 10 feet you have to walk 5 feet first. Before you can walk 5 feet you have to walk 2.5 feet first. Before you can walk 2.5 feet you have to walk 1.25 feet first.
and so on...
Proxima Centauri: The Closest Star with Potential for Life
Natumai mnaendelea vizuri! Kila mmoja wetu anahitaji kusoma na kujifunza kuhusu ulimwengu tunaoishi. Kwa hivyo, ninawaahidi kuwa...
Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina...
Salam wanaJF!
Mwanamama Karen Armstrong alifanya utafiti wa miaka mingi kuhusu chimbuko na mabadiliko ya dhana ya Mungu [Ieleweke ni dhana ya Mungu sio Mungu - Concept of God and Not God]. Baada...
Habari zenu waungwana.....
Order Out of Chaos (au Ordo ab Chao ) kama ilivyosemwa kwa Kilatini, ni moja ya kauli maarufu na Kauli hii ina maana kwamba mgogoro au machafuko yanaweza kutumika kama...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Bila Shaka mko poa wakuu yesss twenzetuni uandishi tuvumiliane
John gweru alikua Jasusi kutoka nchini Zimbabwe katika shirika la kijasusi la central intelligence organization (CIO).
Alikua ni...
Wazee tuelimishane kidogo hivi no tofauti gani kati ya ballistic missile ya kawaida na ballistic ICBM missile.
Maana kuna taarifa nimeiona kwenye chanzo kimoja cha kijeshi kinasema kuwa Iran...
Hello bosses and roses.
Leo nimekumbuka kitu, miaka ya zamani niliwah kuwa na maumivu ya mgogo yaani nikikaa tu nasikia mgongo unauma, hio hali ilikua inanipa shida sana hasa kipindi cha mitihani...
Hivi unajua kuwa dunia ina North pole mbili na South pole mbili, ambazo moja ni za magnetic na zengine na za geograpic.
Magnetic North poles na South pole ndizo zinazosaidia kwenye kuzuia mionzi...
Wale wapenzi wa cartoon hapa mtakuwa mshajua cartoon ya the simpsons.
Kipindi hiki kilianza : 17 Desemba 1989
Mtayarishi wa kipindi: Matt Groening
Mtunzi huyu yupo nyuma ya nani kueleza wakati...
(Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC)
Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi .
Hata hivyo inafahamika...
The Galactic habitable zone au Goldlocks zone ni eneo karibu na nyota (sunli-like) ambapo hakuna joto sana na sio baridi sana kwa maji kuweza kuwepo kwenye uso wa sayari zinazozunguka. Fikiria...
Palmoni, The Wonderful Numberer, ni Bwana Yesu Kristo. Pia Bwana Yesu Kristo (ndani ya Utatu Mtakatifu wa Mungu) ni The Wonderful Counsellor, The Wonderful Teacher, The Revealer of Secrets...
Wengi tumekuwa na mawazo ya kuwa dunia inalizunguka jua ambalo limetulia sehemu moja halizunguki wala kutembea ila kiuhalisia mambo yapo tofauti na unavyofikiria. wakati dunia na sayari zingine...
Uzi huu unakusudiwa uwe ni endelevu na uwe unapokea taarifa mpya mpya kila huo muda unavyokaribia.Kwa sababu imeelezwa kuwa matayarisho yanaendelea kukutana na wenzetu nje ya dunia.
Wanasayansi...
Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi
Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake...
Wote tunajua kuwa binadamu aliumbwa na MUNGU na kutuma rangi, jamii na mataifa tofauti tofauti hii ni katika dini ya kiislamu, wakristo na wayahudi, wana sayansi wakaja na theory yao kwamba...
ULIMWENGU WA ROHO
Ni sehemu ambayo nafsi (soul's) mbili hukutana pamoja.
Ni kweli kwamba kila nafsi hurudi kwenye ulimwengu wa roho Ila dini imetufanya tufikirie zaidi kuhusu mbingu na peponi na...
Habari Wana JF na jukwaa la Intelligence natumaini mpo salama na tunasurvive chini ya jua kibishi,
Nimeona nilete hii mada ngumu kidogo kuhusu Accient civilization ya kale katika Dunia yetu,pamoja...