Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

“HUMAN ZOO” - Historia iliyosahaulika Hakuna mwalimu mzuri kama historia, kwa kadiri unavyozidi kuitafuta ndivyo unavyopata fursa ya kufahamu mambo mengi. Katika shule zetu kwa kiasi kikubwa...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Hii ni makala inayoongelea kisa kimoja kitamu sana na cha kusikitisha sana kilichowahi kutokea nchini NORWAY miaka ya 1970’s katika jiji la BERGEN ambalo limezungukwa milima na kuvutia watalii...
8 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari zenu watu wa JF.. Leo tupate kujua kidogo kuhusiana na hawa watu tunaowaita "Waarabu"...Nimepitia pitia kidogo nchi zao na pia kusoma vitabu vyao vinavyoelezea maisha yao...haya yafuatayo...
52 Reactions
390 Replies
65K Views
Habari wana- JF! Karibu katika makala fupi kuhusu "Chanzo cha Uhai" CHANZO CHA UHAI Wanasayansi wengi wanaoamini mageuzi watakuambia kwamba uhai ulianza mabilioni ya miaka iliyopita kwenye...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Wakati wa ukoloni na utumwa, hawa watu walitupatia elimu mbovu, walitupatia malazi na mavazi mabaya, walitupatia chakula kibovu, walituibia malighafi nyingi kwa udanganyifu Bila kusahau madhila...
7 Reactions
60 Replies
6K Views
Jasusi wa shirika la kijasusi la Marekeni, Bill Oxley, ndiye binadamu pekee hadi sasa aliyekiri kuhusika moja kwa moja na kifo cha marehemu Bob Marley. Akiwa katika kitanda cha hospitali ya Mercy...
6 Reactions
32 Replies
14K Views
kama dunia inavyozunguka kwenye mhilimili wake pia jua hujizungusha kwenye mhimili wake kwa kuwa yenyewe sio kubwa ni ndogo wenzake stars zipo kubwa zaidi yake bila shaka na wanasema tunaiona...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
"Usiache maandishi yako yaufichue uhalisia wako" Sababu kuu ya thread hii na tafiti hii ni uchunguzi rahisi sana wa kimatokeo na ukweli ufichwao. Katika robo fulani ya Dunia hii ya maarifa...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Sijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi...
5 Reactions
122 Replies
17K Views
Brace yourself for some of the world's biggest unsolved mysteries! Sometimes it is hard to believe that unsolved mysteries still exist in this day and age. In the last century, humankind has...
7 Reactions
8 Replies
4K Views
Ushahidi upo kuwa watu wasiotahiriwa huwa na uwezo mkubwa darasani ukilinganksha na waliofanyiwa tohara,mfano ni Mimi mwenyewe kabla ya kufanyiwa tohara nilikuwa mzuri was hesabu darasani na...
3 Reactions
57 Replies
9K Views
Najua Mods wataitoa tu lakini kujua ya wengine ni vizuri. Msitoe. Written by Steve Pavlina on his site www.stevepavlina.com | While consciously pursuing your spiritual development is...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Ottoman empire ambayo kwasasa inajulikana kama Uturuki(Turkey). kipindi hicho mnamo karne ya saba Ottoman iliundwa na watu ambao kwa asili walikua wahamiaji kutoka maeneo mbalimbali ya nchi za...
5 Reactions
35 Replies
16K Views
*Uhusiano wa Ardhi na maisha*17* Asalaam ndugu zangu,Hii ni jumatatu nzuri kubwa. - Kuna siku moja katika andiko langu na pia katika kitabu changu kipya *Mgodi kati kati ya masikio* nilielezea juu...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Wafilisti walikuwa kabila la watu wa Ulaya ambao walivuka Bahari ya Kati na kisha kushindwa kuvamia Misri waliteka pwani ya Kanaani (1175 KK hivi) wakifaidika na silaha za chuma walizozitumia...
3 Reactions
243 Replies
22K Views
Kuna baadhi ya maswali huwa nakosa majibu yake. Naomba waelewa waweke mambo wazi; hii dunia tunaishi inatawaliwa na nani? Je ni Mungu, Taifa fulani au ni MTU mwenyewe?
6 Reactions
174 Replies
20K Views
Hi, today i would like to share the refresh of our ways of looking at things. MULTIDIMENSIONAL UNIVERSE How our nature as human beings limits and decide what we should know, and what not to over...
6 Reactions
78 Replies
8K Views
nchini Marekani wiki ijayo, kuna vitu vya kawaida kama vile maktaba, barabara na shule ambavyo vimepewa jina lake kama heshima kwake. Kutakuwa na Maktaba ya Rais Barack Obama mjini Chicago...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeipata katika nchi jirani iliyokua na vita ya maneno na Tanzania, miaka ya karibuni kumekuwa na hujuma kubwa inafanywa ndani ya JWTZ hasa katika mfumo wa mafunzo kwa kada chini yaani JRN NCOs n...
16 Reactions
55 Replies
19K Views
Ndugu wanaJF, naomba mwenye taarifa ya hali ya rushwa nchini aiweke hapa ili wananchi tuweze kuisoma na kuelewa kilichomo katika taarifa hiyo!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…