Kwema ndugu....
Mnamo mwaka 1970 tarehe 5-8 watalii kutoka nchi Ujerumani waliingia nchi Tanzania Donald Morison na mkewe Abe kufanya utalii binafsi jijini Tanga wakiwa na mbwa wao kama wazungu...
Shalom na Assalam aleykum
Zamani nilivyokuwa na miaka saba nilikuwa nafurahi ninapo sikia mtu ana jina zuri liwe la kizungu au kiarabu au la kikabila bila ya kujua maana ya jina hilo lakini kwa...
Wakuu salaam,ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.
Kuna genge la watumishi wasio waadilifu ndani ya DAWASA ambao kazi yao ni kudhurumu fidia za waathirika wa miradi ya maji.Mimi binafsi Mama...
Kwa sababu ninavyofahamu kwa elimu ya shule ya msingi,Mawingu pale yalipo ni mvuke ulioganda,ambao ukijisikia unatoa mvua,tunalima na tunavuna.Sasa je,kwanini mvua ikitaka kunyesha hainyeshi...
HAKUNA ANAE IONA SASA ,BINADAMU TUNASHI SEKUNDE 2.645 NYUMA YA MUDA.
habari za wakati huu ...
Bila kupoteza muda nanze hapa kwenye muda,
maana harisi ya kisayansi ya muda kwa Maelezo ni...
kwanini jimbo la washington DC ambapo ndio ipo ikulu ya marekaniii kumetawaliwa na majengo mafupi mafupi ukilinganishaa na miji mingine kama calfornia ,las vergas ambayo nature ya majengo ya...
Are there any dangers of meditation?
Today I found myself googling ‘dangers of meditation’. I’m not sure why; I guess, I just wanted to know if anyone else thought there were any negative side...
It is philosophically impracticable to be a non theist; since to be a non theist you must have adequate lowdown in order to know that there is no God and or no deity exist, inter-alia, to be sure...
NI HERI KUFA KATIKA FIKRA ZINAZOISHI KULIKO KUISHI KATIKA FIKRA ZILIZOKUFA
Kutoka ndani ya blog
ANGUKO LA MARCUS GARVEY KIELELEZO CHA MTU MWEUSI KUTOJITAMBUA
Katika kuiweka falsafa yake...
Huyu kila kukicha yuko Movenpik na jamaa wanalalamika alivyojeuri na kibri...tena anadai kuwa viongozi wote Tanzania kawatia mfukoni.
Hivi kuna mtu anajua huyu jamaa ana michongo gani na bongo...
1.Hutchson Gilford Progeria
Ni ugonjwa adimu zaidi ambao uwezekano wake wa kutokea ni kwa mtu mmoja miongoni mwa million 8 waliozaliwa. Huu ugojwa ni wa vinasaba(genetic) na mgonjwa wake huwa...
Sote twajua kuwa Katiba ndiyo muhimili wa Taifa ( Muongozo) .Lakini Kunakitu kinaitwa Elimu Ambayo ndiyo msingi wa Mambo yote.
.Africa Imejikuta inashindwa kuendelea sababu ya Kuwekeza katika...
BARRICK GOLD SHARES
July 2016 - around US$ 22.30
August 2018. - around US$ 09.80
ACACIA MINING SHARES
August 2016 - around GB£ 600.00
August 2018 - around GB£ 109.00...
Ni hivi, fuatilia kwa makini sana uzungumzaji wa Kiingereza kwa Wamarekani wazungu na wale weusi, kunatofauti kubwa sana katika uzungumzaji wake hasa kwenye slang. Wamarekani wazungu wanazungumza...
Kama solar system ina sayari tisa na jua ndiyo kitovu cha maisha, njoo tuangalie yafuatayo
Tumesoma na kuelewa kuwa jua ni nyota na tukaambiwa tunaona kubwa kwa kuwa iko karibu na nyota tunaziona...
Natumai wote ni wazima humu jamvini
Baada ya kusoma baadhi nyuzi zinazojumuisha masuala ya kiimani nimeona baadhi ya maneno yakikebehi hili jina/neno (ALLAH)
Kwa hiyo baada ya kuona hili ni...
Matamko haya mawili yamekuwa maarufu vinywani mwetu na masikioni. Popote yanapotamkwa matamko mawili haya huwa yanahusishwa na jambo fulani au hali fulani kutokea baada ya jambo fulni au hali...
"I can't believe that God is playing the game of dice with the world" by Albert Einsten.
Wakuu wasalaam,
Bila kupoteza muda niende kwenye mada husika,Kuanzia karne ya 19 hadi sasa kumeshuhudiwa...
Kwa zaidi ya maika 2000 watu wamekuwa wakiaminishwa kuwa Mtume Petro aliuwawa Roma na kuzikwa huko kwenye eneo lililojulikana kama tropaion. Tena imekuwa ikifundishwa na Kanisa Katoliki kuwa Petro...