Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Inaumiza sana wazazi,walezi na wafadhiri kugharamikia nauli na malazi pindi MTU aitwapo interview inapaswa makampuni na taasisi za serikali zijipange pindi zinapotaka kuajili na sio kuzirudisha...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu mmeamkaje? Kama kichwa kilivyoeleza mwanzo, ndio hoja yangu nitascreenshot hili SWALI nilimuuliza mtu kashindwa kunijibu sasa nalileta hapa ili mnisaidie maana utaalamu na ujuzi kwa ngazi...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Ugaidi wa kujitoa mhanga umekuwa janga kwa robo karne sasa. Shambuliz lakujitoa mhanga kwenye kambi ya U.S marine katika mji wa Beirut, ulimfanya raisi Ronald Rogan kuondoa jeshi lake la kulinda...
5 Reactions
126 Replies
15K Views
mgunduzi wa simu aliye keti: Alexander Graham Bell. Mnamo mwaka 1876 tarehe 11 mwezi march bwana Alexander Graham Bell alifanikiwa kutengeneza simu ya kwanza kabisa. alizaliwa mnamo mwezi March...
10 Reactions
17 Replies
15K Views
Salamu kwenu. Je, ni nini maana hasa ya neno mwisho wa dunia? Leo muda fulani nilikuwa naangalia tv documentary moja niliona ikielezea kuwa mwisho wa dunia ni mahali fulani katika bara lililo...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wapendwa habarini za majukumu? Pia kwa ndugu zetu waislamu nipende kuwatakia maadhimisho mema ya Eid Mubarak. Napenda nifahamishwe kwa wale wenye ufahamu kuhusu historia ya Yoseph mfanyakazi ama...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wana jf ninajambo napenda kufaham je mfano mtu umeajiriwa na serikali kwa maana kwamba umepewa barua ya ajira tarehe 17/07/2018 na ikafika mwezi tarehe 25/07/2018 ukawa hujapata mshahara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ulimwengu tuishimo na vitu vyote vilivyomo umetawaliwa na binadamu. Hata hivyo kutokana na tofauti kubwa ya binadamu kuna ambao wameitawala "nature" lakini wengine bado hiyo "asili" imewatawala...
14 Reactions
217 Replies
43K Views
Mwaka ulikuwa ni 1945, usiku wa kabla ya Christmass huko Fayetteville, West Virginia, ambapo Bwana Goerge Sodder na mkewe Jennie pamoja na watoto wao tisa kwa ujumla walikuwa wamelala wakati moto...
18 Reactions
49 Replies
5K Views
Penzi LA ujanani huwa halisi haliitaji fedha enzi za shule au vyuo,sasa ikitokea umeukwaa ukuu unaweza wasahau kwa kigezo cha kuwa ni Mali ya Wengene au utawasaidia nao waonje ukarimu...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Mimi ni miongoni mwa mashabiki wenu,Mara ya kwanza nimewaona mwaka 1992,ktk ukumbi wa Urambo hotel-urambo kiingilio kikiwa tsh.500 watoto na tsh1000 wakubwa,Kopa ulikuwepo hata hayati kapt Komba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"INFORMATION IS POWER" "KNOWLEDGE IS POWER" "POWER IS POWER" Kwa nyakati tofauti nimeskia watu tofauti wakitafsiri maana ya "POWER" na nimebaki nikiwaza Yupi yuko sahihi zaidi ukizangatia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maprofessor hupatikana baada ya msomi kuwa na shahada ya kwanza,ya pili na uzanifu,pia huteuliwa na bodi ya maprofessor kuwa professor baada ya kuandika marejeo kadhaa Ila kuna uhaba wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina masikitiko kuwa hatuonani,huku ni zaidi ya kutengana kwa N.Korea na S.Korea Ila t
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UHUSIANO ULIOPO KATI YA BINADAMU NA MAJINI, UNAJUA VITABU VYA DINI VINAWAZUNGUMZIAJE MAJINI? VIUMBE MAJINI NI NINI?NA WANAFANYA NINI?VIPI MAHUSIANO KATI YA MAJINI NA BINADAMU? VITABU VITAKATIFU...
20 Reactions
159 Replies
36K Views
Baadhi ya Wataalamu wa Conspiracy Theory wamekuwa wakionyesha kuwa, Dunia ni hollow (Tundu) ambalo lina mwanga (Jua dogo) kwa ndani na kuwa kuna viumbe (Aliens) wanaoishi ndani yake wakiwa na...
7 Reactions
100 Replies
15K Views
Umaarufu hufanya kupendwa na wanaume wengi..hivyo si rahisi na sio utu kutembea na kila mwanaume sababu mwanamke akiwa nyota kila mwanaume atampenda,ili kuweka mambo sawa atavaa vimini kuridhisha...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Neno umefungwa haimanishi upo gerezani ila Ni jinsi gani fikra zako hazitoki njee ya (unayoyaamini) kutokana na sababu flani. Sababu hizo hueza pelekea kuwa mshabiki pekee bila kuhoji au kuhitaji...
2 Reactions
4 Replies
862 Views
Neno umefungwa haimanishi upo gerezani ila Ni jinsi gani fikra zako hazitoki njee ya (unayoyaamini) kutokana na sababu flani. Sababu hizo hueza pelekea kuwa mshabiki pekee bila kuhoji au kuhitaji...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Je! Umewahi kufikiri kwamba rangi inaweza kutumika kama njia ya mateso? Inaonekana, ni. Ukatili wa Chumba cha cheupe unachukuliwa kuwa mojawapo ya aina nyingi za hatari za akili. Ingawa njia hii...
5 Reactions
68 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…