Wanabodi husika na kichwa cha habari hapo juu, kumekuwa na watu wengi (sio wote) ambao wangependa kupata tafsiri za ndoto mbalimbali, walizoota au wanazoota, na ni matumaini yangu kuwa humu...
Amani iwe kwenu wakuu,
Nimekuwa nafuatilia 'manabii wa kisasa' na kulinganisha na kile kinachofanywa na waganga wa kienyeji nikaona kama vile kuna mfanano wa namna fulani kiasi kama wangekuwa...
Hivi karibuni nchini Marekani shirika la FBI walitoa picha za raia watano wa China ambao wanatuhumiwa kwa kufanya shughuli za ujasusi wa kiuchumi yaani kwa lugha ya kiingereza "economic espionage"...
Habari vipi wadau
Jarida moja la Times nimelisoma wiki iliopita nimejionea mambo amabayo wazungu hasa USA NA CANADA mambo waliyoandaa kufanyika miaka 2000 ijayo nimependa nileta humu na nyie...
Kwa ambao mnafuatilia siasa za kimataifa, huko nchini Afrika ya kusini kulikuwa na kashfa kuhusu serikali ya Zuma kuwekwa mfukoni na familia maarufu ya wafanyabiashara wenye asili ya kiasia...
.
Tareha 22, mwezi wa 4 mwaka 2003, mwanamichezo wa mchezo wa kupiga makasia akiwa kwenye mtumbwi wake mdogo akifanya mazoezi katika bahari karibu na daraja lilioingia kwenye maji...
Tangu zama za mawe mwanadamu amekuwa nguzo kubwa ya maendeleo,(man power) ongezeko la watu kwa jamii mbali mbali zilifanya binadamu kuweza kuendelea na kufanikisha shughuli zao za kimaendeleo...
Habari wanajamvi
2018 February 6 ni siku ya kipekee kwa wadadisi wote wa masuala ya anga na ugunduzi wa ulimwengu kwani ndio siku kampuni binafsi ya bwana ELON MUSK iitwayo SPACE X wamefanya...
Mkuu wa JWTZ, Meja Jenerali Davis Mwamunyange
*Adaiwa kutoweka na nyaraka nyeti
OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili ya Rwanda, ametoweka katika...
Heshima kwenu nyote Wana Jamii Inteligence.
Nimepitia uzi wa mwanajamii Mwenzetu (heshima kwake) unaohusu Tunda la mti wa Ujuzi wa mema na mabaya nikawa na mengi ya kuandika na nikasema tuongeze...
(sio lengo langu kumkosea heshima yeyote, ni uhuru tu wa mawazo kwa mujibu wa katiba)
Kwa viongozi waliochaguliwa kidemokrasia kujilimbikizia madaraka huwa changamoto kidogo kwao, lakini wengi...
Moja kwa moja utawaza kuhusu rupia(rupee ya mjerumani) na pesa nyingine za kale na yale yanayosemwa kuzihusu hasa kwenye habari nzima za kichawi
Watu wamezinguka na kuzinguliwa hasa watu...
Habarini wakuu. Leo ningependa tuone nchi zenye watu wenye asili ya Afrika wengi nje ya afrika katika mitazamo miwili.
Kwa uwingi pekee
Hapa namaanisha idadi yao jumla katika nchi husika hata...
Natatanishwa na hili jambo ambalo nimeanza kulisikia nikiwa mdogo hadi sasa nakuwa, nimeogelea baharini, nimewahi kuvua Samaki kama Mkunga, Ngisi, Ronaldo(Pweza) n.k lakini sijawahi kumuona huyo...
Wana JF,
Kipindi fulani hapo awali (2010-2014) kulitokea mkanganyiko mkubwa pale watafiti fulani wa nchi za magharibi walipoiarifu dunia kuwa kuna michoro ya Helicopter na vifaa vingine ambavyo...
Poleni kwa majukumu ndugu.nmepata hizi facts sehemu nikaona si vibaya ku share na ndugu zangu wana intellijensia....ila naomba radhi kwa kutokuzitafsiri..
Do you know??
1. Hot water will turn...
nawasalimu jf members, kuna mwanajamvi alitoa uzi usemao mtu mweusi ndie alipeleka ustaarabu ulaya na asia, iyo si kweli bali kuanza kuhubiriwa kwa dini ya kiislam na mtume muhamad 7century...