Mara kadhaa umesikia watu wakijiita watabiri na kutabiri mambo mbalimbali ambayo hayakutokea kama walivyobashiri. Now naomba nikupe stori ya mwanamama kipofu ambaye alifariki miaka zaidi ya 20...
Tangu kuingia kwa wageni nchini Tanzania hasa kuanzia kipindi cha wakoloni miaka ya 1880s hadi leo, kumekuwepo mabadiliko makubwa ya uingilianaji wa watu kutoka jamii/koo tofauti tofauti kutokana...
Kuna jina limekuwa likirushwa rushwa kwenye mazungumzo juu ya raia mmoja wa Kiganda ambaye anakwenda kwa kutumia initials za "JB".
Does anybody know who he is and what has he been doing in...
Turkey has signed an agreement with Sudan that will allow it to have a military presence on the Red Sea.
Turkey has signed a $650m deal to develop an island on the Red Sea.
It is the latest...
Haya ndio makubaliano waliyowekeana mataifa wanachama wa Umoja Wa Mataifa juu ya matumizi ya anga za mbali.
Article I
Uchunguzi na matumizi ya anga la nje,ikihusisha Mwezi na mbingu na bodi...
Wataalam wa Meli nisaidieni kujua meli ikitembea huwa inamwaga maji na yanapitia wapi?
Kwa juujuu unawezasema nii kweli maji ya bahari hutumika kupoza engine ya meli. Lakini kiundani ni hapana...
Habari za wakati huu wakuu wa Jamii Forums?
Wengi wetu tunafahamu ni kwa kiasi gani tunahitaji kupaa kwenda juu, lakini kutokana na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu tunajikuta tupo pale pale...
Kugundua jambo ni swala linalochukua muda mrefu, na ugunduzi wa mambo au vitu vingi unavyovijua sasa ulifanyika miaka mingi sana iliyopita tofauti na ambavyo wengi wanavyoweza kufikiria. Hii ni...
Ni ukweli kuwa pamoja na kufahamu yaliyotokea Japan Rais Obama anajua kuwa mataifa mengi ya Afrika yameumizwa na matendo ya Marekani ambayo pengine taifa hili linastahili kuomba msamaha.
Maumivu...
Dag Hammarskjöld: evidence suggests UN chief's plane was shot down Eyewitnesses claim a second aircraft fired at the plane raising questions of British cover-up over the 1961 crash and...
Nazungumzia watanzania waliosoma Urusi kwakuwa ni hao ambao ninawafahamu vizuri pengine na wa nchi nyingine wapo hivyo pia lakini sifahamu.
Kikubwa ni kwamba wasomi wengi waliosoma nchini Urusi...
Leo hii tar 21 Desemba ni siku ndefu ya mwaka, ni siku ya solistasi. (Waingereza husema solstice) .
Leo Jua linafika nafasi ya kusini zaidi hivyo iko juu zaidi angani. Na njia yake kwenye anga ni...
Aman iwe nanyi wandugu!
kama topic inavyojieleza, ni nadra kukuta statue or sanamu ya viongozi mashuhuri ndani ya Bongo except ile ya mwalimu nyerere...sina uhakika kama zipo nyinginezo! hata...
"Sophie! Sophie usife ishi kwa ajili ya watoto wetu".yalikuwa ni maneno ya mwisho ya Archiduke Franz Ferdinand tarehe 28 June mwaka 1914 akiwa anakata roho baada ya kupigwa risasi.Akimtaka mkewe...
Moja ya mambo mengi yanayosababisha nchi za Kiafrika zisiendelee ni pamoja na asilimia kubwa ya viongozi wake kuingia katika uongozi kwa njia za kishirikina au kuamini ushirikina. hili limekuwa...
Einstein's response:
I am deeply moved by the offer from our State of Israel, and at once saddened and ashamed that I cannot accept it. All my life I have dealt with objective matters, hence I...
Kuvujika kwa U.S.S.R chini ya Mikhail Gorbachev.
Habarini wanabodi!!
Mwaka 1922 umoja wa nchi za kijamaa uliundwa (Union of Soviet Socialist Republics). Umoja huo uliundwa na nchi kama Romania...