Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Na Mgeni wa Jiji Ni ngumu kuongelea udukuzi uliofanywa na shirika la kijasusi la Urusi KGB ndani na nje ya Uingereza na shirika lake la kijasusi MI6 bila kutaja jina 'Kim Philby'. Ni nani hasa...
13 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari za jamvini wadau nimewaletea huu uzi nadhani kama utausoma na kuzingatia kwa usahihi unaweza unlock baadhi ya brain patterns kuhusu cannabis au bangi na dawa za asili kwa ujumla...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Tutakumbuka miaka kadhaa iliyopita,mwanasiasa machachari wa wakati ule chache wangwe,alipata ajali mbaya ya Gari wakati akitokea dodoma kwenye vikao vyakibunge,njiani akiwa na dereva...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Mwenyewe Agoma Kuzungumza! Rais wa Bunge la Afrika, Mama Getrude Mongella, anatuhumiwa kutenda makosa ya kukosa uaminifu, Wizi na utoaji ajira kinyume na taratibu za kazi yake:- 1. WIZI:-...
1 Reactions
344 Replies
48K Views
Salamu wana jf, kutokana na kupenda sana historia za kale ( ancient history) nimekua nikifuatilia stori mbali mbali na ningependa kushiriki na ninyi katika hii. Hii ni mara ya kwanza kuandika...
9 Reactions
26 Replies
5K Views
Cops and mobsters will never be the best of friends. But every wiseguy trusts that if he surrenders to the law he will not be murdered. Ironically, it’s that belief that got a bunch of gangsters...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwanini vimbunga vinapewa majina? Hii ni ili kuwarahisishia wataalamu wa hali ya hewa kuweza kufuatilia vimbunga hivyo, na pia kuwapa urahisi kwa watu kufuatilia ili kujua vimbunga hivyo...
5 Reactions
126 Replies
30K Views
Huw anawaza sana miaka ile nikisoma jinsi ambavyo wakoloni walikuja kututawala waafrika. jinsi ambavyo waarabu walikuja kutuchukua na wkenda kutufanya watumwa. najiuliza sana na sipati majibu...
7 Reactions
39 Replies
8K Views
*Evarist Chahali* anaandika: Jana, Septemba 07, 2017, majira ya mchana, zilipatikana taarifa kwamba Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Mbunge wa Singida Mashariki, Mnadhimu wa Kambi Rasmi...
71 Reactions
112 Replies
14K Views
Kuna watu hawanielewi bado. Ninapoandika hivi kuna watu wanakwazika.Wengine wanafuta maandiko yangu.Tuendelee tutafika mahali tutaelewana tu.Mimi kwa Ubatizo wangu ni Nabii,ni Kuhani na ni Mfalme...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Tarehe 19 mwezi wa 4 mwaka 1995, kulitokea tukio la kulipuliwa kwa jengo lililokuwa likimikiwa na serikali lijulikanalo kama Alfred. P. Murrah, lililokuwa katika jiji la Oklahoma, USA. Takribani...
6 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakati wa utawala wa Bush, ndani ya Nigeria kulianzishwa kile kilicho fahamika kama ACRI, yaani Africa Response Initiative, lakini taasisi hii ilikuwa kama msimamizi wa taasisi nyingine...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Gary Leon Ridgway Mimi nitaeleza kidogo kwa namna ninavojua juu ya huyu serial killer. Gary alizaliwa 18 February 1949, eneo moja linaitwa SALT LAKE CITY, UTAH. Wazazi wake ni Thomas na Mary...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
TISS mnafanya kazi nzuri sana.Kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo anajua hilo. You are doing a wonderful job for our great nation. Mnasitahili sifa zote. Mungu awabariki sana. Nchi sasa iko...
59 Reactions
263 Replies
47K Views
What is this Meremeta thing? Mara ni chombo cha Jeshi mara ni mali ya Benki Kuu. Since when jeshi became a mining company? Was it part of compromise by Serikali kuu to make sure that...
1 Reactions
264 Replies
35K Views
Jaji jasiri aliyebatilisha uchaguzi wa urais Kenya 2 Septemba 2017 Haki miliki ya picha EPA Image caption Jaji wa makama ya juu David Maraga na wenzake wanne wameweka historia kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
How much lower will Barrick Gold and Acacia Mining stoop down to try manipulate their way to extra profits? And right in the face of the President of Tanzania? Firstly, a few words of background...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama ulibahatika kusoma shule za mchanganyikeni utagundua kwamba mara nyingi wanawake miandiko yao inafanana sana,tofauti kidogo na wanaume wanakuwa na handwritting tofauti tofauti. Unaweza...
4 Reactions
75 Replies
12K Views
Wapendwa mwanajf, nawasalimia kwa heshima zote! Wote tuliopo hai duniani leo hii Dini zote tulizikuta zipo baadaye tukaaminishwa na kuamini tulichoambiwa! Thread hii haitafuti dini IPI bora wala...
16 Reactions
196 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…