Tuifahamu time travel ninini kwanza (si lazima iwe sawa na ile unaifahamu wewe) .... Ni sawa na kurudisha muda nyuma na kuleta uhalisia wa jambo lililipita ulifanye tena ama kupeleka muda mbele na...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
MAMBO YA KUFIKRIKA YALIYOPO DUNIANI NI YAPI?
Kuna mambo mengi sana ya kufikirika yameundwa na kupewa uhai ambayo yanaleta ugomvi mwingi kwa watu hapa duniani. Katika masomo yangu haya...
Kwanza kabisa nawasalimia.
Leo napenda kuongelea makundi haya mawili duniani. Dini na Sayansi.
Kumekuwa na mjadala mkubwa mno duniani kuhusu haya makundi. Kwanza kabisa kabla ya kuendelea...
Nawasalimia wote JF.
Nimeamua kuandika jumbe mbalimbali kwa lengo la kufundisha na kuwafumbua macho waliotayari.
Leo hii nitaongelea suala la huyu anayeitwa shetani. Imetokea kuogopwa sana na...
I appreciate all of you reading this.
Katika karne hii ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia, wazo la kuwa jamii yenye uwezo wa kusafiri angani limekuwa suala lenye umuhimu mkubwa. Licha ya...
Jina la Rothschild linahusishwa na utajiri mkubwa kwa zaidi ya miaka 200, Familia ya Rothschild ndiyo familia yenye nguvu zaidi na yenye utajiri mkubwa kabisa, Inasemekana utajiri wao unathamani...
KUNDALINI
"Ni Mfumo wa Mazoezi ya Asili na ya kiroho, mazoezi haya hujumuika kama njia ya kuongeza nishati iitwayo KUNDALINI
Wakati wa kufanya mazoezi haya unahitajika kufuata Mlolongo mkali...
Wadau wa fikra,
Nafahamu kuwa muongozo wa Jukwaa hili unatutaka tuweke serious reports & discussions on Corruption, Politics na etc kwa ajili ya mijadala yakinifu. Tofauti na Jukwaa la Dini...
Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa Rais wa nchi wakati wewe si Raia wa nchi hiyo?
Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?
Kwa nini Masheikh na Wachungaji...
Habari za wakati huu wataalam..
Hii ndiyo hesabu kamili ya jina la "JESUS" na jawabu lake ambalo huwa '666' katika numerology.
Kumbuka 666 ina idadi au thamani ya namba 9 ambapo 6+6+6 = 18...
Ni uongo gani uliwahi kufanikiwa kukamata akili yako au maisha yako kwa muda mrefu.
Mimi binafsi
1. Shule
Nilienda kutafuta majibu ya maswali amabayo sikuwa nayo. Kumbe kusoma koote kule ilikuwa...
MwanaJF,
Je, umeshawahi kusikia visa na mikasa ya watu wanaotafuta rupia maarufu kama pesa au hazina ya Mjerumani?
Binafsi nimekuwa nikisikia kuna watu huwa wanakwenda mahala ambapo wamepewa...
Kwa watu wengi maingiliano ya kwanza wanayoanza kutambua ni kurudia nambari kama 111 au kuona 11:11 kwenye saa kila mara. ⠀ ⠀ Tukio lingine la kawaida ni kuhisi hisia sawa na dejavu wakati...
Maisha ni hatua iliyojaa Mafumbo Mazito na yenye ukweli wa kuweza Kuaminiwa Badae.
Yapo Makanisa Mengi ila Kanisa Katoliki duh huwezi Ukalikimbia popote,Utajishebedua tu kumbe wew ni Mkatoliki...
The Imafidons are a Nigerian family of 7 living in England. Their father is Chris Imafidon and their mother is Ann Imafidon. Both parents are from Edo state who emigrated to England more than 30...
Salaam, shalom!!
( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4)
Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere.
Hapo hapo maandiko...
Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu...
Kulingana na evolution inasemekana kulikuwepo na jamii(species) zaidi ya tisa za binadamu ambapo kufikia miaka elfu arobaini iliyopita nane zilitoweka kwa sababu mbalimbali na hatimaye ikabaki...
Kabla ya kuzuka kwa teknolojia hizi mpya, wanadamu walikuwa wakipiga hatua kwa kasi. Sasa ni zamu ya teknolojia kuendelea kwa kasi pia. Kwa nini? Hii ni kwa sababu ni asili ya viumbe wenye akili...