1. Kwanini MUNGU aliumba vitu vingine asibaki yeye Tu?
2. Kwa nini Mungu Atumie Miaka Mingi Kukomboa dunia hii wakati angeweza Kuumba Nyingine?
3. Kwa nini Mungu anataka Tutoe sadaka wakati...
Right from the beginning of human settlement, a lot of people came up with ideas, philosophies, beliefs, experiments, research, redesigning of thoughts, and surveys to bring myths to reality...
Hivi Adamu na Eva (Hawa) walikuwa na vitovu? Kwa jinsi inavyo onekana Adam hakuwa na kitovu na hata Eva hakuwa na kitovu.
Maana kivotu ni alama ya kuwa ulikuwa attached na mama kipindi upo tumboni...
Hatimaye Zika imezika mtu na taaluma yake.Huu ugonjwa wa ZIKA matamko yake huzua taharuki,sio Tanzania tu,bali hata nje ya mipaka ya Tanzania.Wanasema imetoka misitu ya Uganda toka miaka hiyooo na...
Helmoed-Römer Heitman, Pretoria - IHS Jane's Defence Weekly
The Tanzanian People's Defence Force (TPDF) Air Wing has quietly replaced its 12 old CAC J-7 fighters with 14 new J-7s, a usually...
Wakuu heshima mbele,
Nakuombeni mnisaidie sana ktk jambo hili. Mimi ninaumri wa wastani tu japo unatosha(ni kijana). Mpaka sasa, sijawahi kwenda kwa mganga kutafuta uchawi wa kujiganga, sina...
Why Jamani Wachambuzi wa mambo .. Dunia Ya Zamani Ipo wapi tena..Dunia Iliyokuwa imejaa Maajabu kila baada hata ya Miaka 100 au 200 Jambo kubwa Linatokea..
Ile Dunia ya kina farao.... Dunia ya...
Habari za Jioni Wakuu,
Naomba nitumie kiswahili na kiingereza ili kueleweka zaidi.
Mimi naji'consider ni atheist nayeamini zaidi katika facts more than hearsay , ila kuna swali limekua...
Kutokana na habari zilizodhibitishwa ni kuwa UINGEREZA imekuwa ikiwafanyia UJASUSI marais 20 wa nchi za Afrika na zaidi ikiwa ni pamoja na KUSIKILIZA MAONGEZI yao na ya WASAIDIZI wao karibu na...
Dunia ina Maajabu.....
Habari, nimeileta mada hii jukwaa hili kwa sababu najua ndio sehemu husika.
Nakumbuka ni kama wiki tatu hivi zimepita nikiwa na rafiki zangu kwenye kiosk fulani hivi...
Anas Aremeyaw Anas Mwandishi wa habari za kiuchunguzi aliyezaliwa Ghana mwishoni mwa miaka ya 1970. Maudhui yake makuu ni WATAJE, WAUMBUE na WAFUNGE. Anas ni maarufu sana kwa namna yake ya...
Wakuu, nimejaribu ku trace mawazo ya huyu jamaa wa kwanza alipo kunywa pombe akalewa, na bila shaka alipoteza network. Pia nahisi alivyoamka alikua hoi na pia nahisi aliliendeleza siku...
Kuna mtazamo kuwa MTIHANI sio njia sahihi sana ya kupima uwezo wa wanafunzi/wanachuo nk. Kama wewe ndio unafundisha wanafunzi wa ngazi/fani au kozi yoyote ile ni dalili zipi mbali na mtihani...
Hello Jamii Forums, how are you? Mimi leo naleta huu uzi nipate angalau majibu ya maswali haya kwa yeyote anayeweza kujua.
1. Who created "Nothing''?
2. Kabla ya kuwa Nothingness, kulikuwa na...
Wale wataalamu wa mambo ya kidini awe Muislam au Mkristo au hata Mhindu naomba kueleweshwa kuhusu Peponi na Jehanamu.
Imekua kawaida ya binadamu kujizungumzia yeye mwenyewe kwamba ndio ataenda...
Karibu tena katika mwendelezo wa Sayansi ya kiroho.
Wanadamu na vitu vyote vilivyo hapa duniani ni Energy. Tunaweza kusema kuwa ni vibration. Na katika kwa mfumo wa consciousness hapa duniani...
Kama nilivyosema wakati nafungua huu mjadala kuwa nadharia ya uwepo wa binadamu imejaa utata mtupu.
Katika dini tulifundishwa kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adam na Eva, na nilipokuwa...
Natafuta kitabu kilichoandikwa na J.K. Nyerere, "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" kwa Kiswahili au Kiingereza.
Jitihada za kukipata mitaa ya Dar zilishindikana baada ya kuambiwa 'udaku' kwamba...
Wataalamu wa mambo ya vita tuambieni vita kati ya China na USA itapigwaje maana wako mbali sana maelfu ya kms
Je watatumia IBM intercontinental ballistic missiles au maana hata Yale mameli...
KIKOSI cha wabunge kikiongozwa na Naibu Spika, Job Ndugai, kimesafiri kwenda jijini London, Uingereza, kukutana na Bunge la makabwela la nchi hiyo, ili kuongeza ushawishi na hatimaye mabilioni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.