Sijui ni technology ama uwezo wa maulana anataka kutufumbulia kidogo siri za uumbaji??
Kuna hii technology inaitwa cryonic. Technology hii kwa mara ya kwanza ilianza 1976 mpaka sasa watu 100...
Jana wakati nimetoa makala fupi kuhusu melivita ya NIMITZ kuna mdau mmoja aliibuka na kuipinga kwa kusifia Melivita ya urusi ijulikanayo kwa Jina la Admiral Kuznetsov naomba nikamwambia alete data...
Kwenye historia ya uchumi anatajwa mjerumani mwenye Asili ya kiyahudi Karl Marx ndio inasemekana ndio Muasisi wa hii kitu.
Kwa Mujibu wa kitambo kimoja The History of Modern Economics Great...
Salaam wana JF,
Nimekaa nikatafakari sana juu ya asili ya maisha ya mwanadamu kuanzia tabia, lugha na utashi. Nikajipa jibu mimi mwenyewe huenda nikutokana na kurithi kutoka kwa wazazi wetu...
Genesis6:19 You are to bring into the ark two of all living creatures, male and female, to keep them alive with you.
In Genesis posits that Noah gathered "kinds" of animals and not all "species,"...
Kundi la wanasayansi mjini Vienna, Austria wameanzisha mpango wa kuunda taifa la amani la aina yake ambalo litakuwa na jina Asgardia.
Taifa hilo litaundwa katika eneo la anga za juu. Maelezo...
Wakuu kwa muda mrefu sasa huyu Bwana anayejulikana kama Jullian Assange amekuwa akianika maovu ya serikali nyingi duniani, toka aanzishe mtandao wake wa Wikileaks karibu miaka 10 iliyopita...
Mambo vipi wadau,
Niende kwenye swali moja kwa moja kwenye swali langu;
Hivi kuna uhusiano gani kati ya mgonjwa wa kifafa?
Au baadhi ya vichaa?
Maana kuna wengine mwezi Mchanga ndio...
Niko naangalia Aljazeera kuna documentary wanaonesha kuhusu utafiti wao juu ya biashara haramu ya pembe za ndovu na faru. Wameanzia Afrika Kusini mpaka China na Vietnam ambako ndiko kuna masoko ya...
Habari zenu waungwana,
Najua hili swali limekaa kitoto lakini ukijiuliza hata wewe nadhani utafikiria kidogo haswa kama unaufahamu kidogo na mambo ya anga, kama wote tunavyofahamu jua huangaza...
Karibuni sana wana jamvi! Leo nataka kuwashirikisha sababu za msingi kabisa ambazo ni rahisi kuzithibitisha kuwa binadamu na viumbe wengine wote tumeumbwa. Nitaongelea binadamu zaidi ila...
Wakuu,
Ningependa Kujuzwa:Chanzo cha Hii Dini,Mwanzilishi Wake,Lengo la Lake na Vitabu Vinavyotumiwa na Waumini Wake!
Kwa Wanaotaka Kujiunga Utaratibu Ukoje?
Karibuni....
Nimeamua kuandika hili baada ya Kuona kuwa kumekuwa na Upotoshaji Mkubwa kila siku zinavyoenda kwa hizi nadharia mbalimbali za kimatukio wakizihusisha na namba. Conspiracy theories...
Habari zenu wakuu.
Leo nataka tuifahamu kwa undani hii sayari ya Jupiter.
Naanza wewe utaongezea au kurekebisha.
1. Ni sayari ya 5 kwa umbali kutoka jua letu (star).
2.Ni sayari kubwa kuliko...
Nawasalimia wana JF wote.
Leo nipo hapa kuongelea swala hili la kufanya miujiza na uponyaji.
Kwanza awali ya yote ningepeda kutoa utangulizi kama ifuatavyo.
UTANGULIZI
Sisi binadamu tuko na...
HERUFI ''M'' INA ASHIRIA WEWE MTU WA BAHATI KUBWA UNAWEZA KUWA NA PESA NYINGI AU KUWA KIONGOZI MKUU KATIKA MAMBO YA SIASA AU KUWA WEWE MTU MWENYE AFYA NZURI, AU KUWA NI MWANASHERIA AU HAKIMU AU...
Baada ya Adam na hawa kuumbwa sijasikia tena wala kusoma kama uumbaji uliendelea kufanyika.sote baada ya hapo tumekua tukizaliwa tu!
Sijaona dunia ikijaa wala kusikia mbingu kujaa!
Nahisi watu...
IS IT A SIN TO DRINK ALCOHOL?
Various researches have shown that Breweries Companies are
indeed performing better and better everyday WHY? The
answer is that there are many more drinkers than non...
UKARA KISIWA CHA TANZANIA KILICHOBADILI uchumi wa dunia kimfumo .
JUNE 20, 1920
Gazeti maarufu la marekani lijulikanalo kama The New York Times( NYT) lilichapisha habari kuhusu kisiwa cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.