Habari za Jumapili!
Nimekaa hapa nikawa nawaza hivi ukiachilia mbali Vitabu vya dini vinavyotuasa kua watu wema na kuwatendea wenzetu vile ambavyo sisi tungependa kutendewa yote hii kwa ahadi ya...
Habarini ndugu wana Jf,
Huu ni uzi wangu wa pili kuandika. Leo katika pitapita zangu katika kitabu kitakatifu (Biblia),nimekutana na mambo ya kustaajabisha ambayo na mimi nashangaa kwamba je haya...
Habarini wanajamvi!
Kumekuwa na Mada nyingi ambazo zimekuwa zikionyesha na wakati mwingine kuthibitisha ya kuwa Mungu alitenda makosa. Aidha wengine wameenda mbali kwa kuyaorodhesha kwa kadri...
Natanguliza pole kwa wahanga waliofikwa na maafa ya tetemeko la ardhi lilitokea tarehe 10/9/2016 katika mikoa ya Kagera na Mwanza.
Kuna mambo napenda kuuliza kwa wanajamvi wenye uelewa kuhusu...
Biography of Dr. Salim Ahmed Salim
Dr. Salim Ahmed Salim, who concluded his term of office as Secretary General of the Organization of African Unity on 17 September 2001 after serving an...
"Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo."
Yohana 8:40
Katika andiko hilo YESU kwa kinywa chake yeye mwenyewe...
Hivi iki kiapo cha uaminifu kwa viongozi wetu wakiwa wameshikilia vitabu vya dini zao mikononi au kutamka maneno yanayofaa kuchukuliwa kama "kiapo cha uamninifu" kina maana yeyote kwetu au ni...
Wakuu natumaini hamjambo.
Mimi jana nimekwaruzana na mke wangu maana tulitofautiana katika mambo flani.
Sasa baada ya kulala, nimeota nimekufa sijui namna gani halafu siku wananizika nikafufuka...
Kama ilivyo CIA, KGB (imekuwa FSB kuanzia 1995)shirika la kijasusi la USSR sasa URUSI limewahi kuhusika katika operation hatari sana maeneo mbalimbali Duniani. Kilele cha operation hizo ilikuwa...
habari
Wadau nataka tujuzane hapa kwanini wanadamu wanashindwa kuumba wakati uwezo wa kiungu uko juu yao na wakitamka kitu kinatendeka
mfano: mtu anaweza kumtamkia laana mwenzake na ikampata na...
Nawasalimu kwa lugha zenu, ishara na mitindo mbalimbali ya salamu zenu kwa kuzingatia umri, elimu, tamaduni mitazamo, falsafa na Itikadi Zenu.
Nafurahishwa na uwepo wenu katika jukwaa hili, basi...
...huwa nikisoma na kufanya tafiti za wale magaidi wenye akili nyingi na wapangaji wa matukio magumu na kuyatekeleza nimejikuta kuvutiwa na uwezo huu wa hali ya juu. Mfano mtu anapanga tukio kwa...
Habarini wakubwa na wadogo. !
Ebu leo tuzungumzie kuhusu utofauti wa maisha katika bara la Africa na mabara ya ulaya tumekua tukishuhudia mambo makubwa sana kutoka kwenye mataifa ya ulaya...
Habarini wadau, Mimi ni kijana wa miaka 19, kwa miaka mi3 mfululizo nimekuwa nikijihusisha na kufanya ubunifu wa mambo mbalimbali yanayosaidia jamii nimebahatika kushindanishwa katika mashindano...
Habari za wakati huu wapendwa wangu.....natumaini mfungo unaenda vyema kwa wale waliokwama kuendelea na mfungo basi mola atawafanyia wepesi.
Siku hizi limekuwa ni jambo la kawaida kuusikia...
Habari waheshimiwa, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, JE naweza kufahamu kwa njia yeyote kama Mzazi wangu ambaye ni marehemu ( zaidi ya miaka 20 iliyopita) kama alikuwa ni mfanyakazi...
nimekutana nayo hii
WASHINGTON: American officials have long considered Huawei, the Chinese telecommunications giant, a security threat, blocking it from business deals in the United States...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.