Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Hii ni news from Reuters kwamba kuna firmware imekuwa planted na moja ya intelligence agencies katika kila hard disk zinazotoka nchini marekani. Hii firmware ina start pale unapo boot...
11 Reactions
91 Replies
14K Views
tumesoma kwenye jografia kua dunia inazunguka jua hivyo tunapata majira ya mwaka kama kiangazi na masika je ni kweli? galileo alikuwa sahihi? Fikra ya kawaida chukulia umepanda ndege au...
4 Reactions
192 Replies
48K Views
Kutokana na changamoto wakati mwingine unajikuta upo kazini mambo hayajakaa sawa hata pesa ya Lunch hamna. Mara ya kwanza ilipotokea nilichukulia tu kuwa ni coincidence haikuwa na lolote jipya...
26 Reactions
89 Replies
7K Views
JE, TUNAWEZA KUWASILIANA NA WAFU? Mbona watu huenda huko na kulala? Mbona watu huenda makaburini kufanya ibada? Je ulishawahi kujiuliza haya maswali ? [emoji654] Somo hili ni muhimu kwa sababu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu kuna ukweli wowote kwamba vichaa hawapati kipindupindu ukilinganisha vyakula wanavyo kula so salama kiafya reference mjadala wa wasanii wetu wa bongo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanasayansi wanasema wamepata ushahidi kuwa mojawapo ya miezi inayozunguka sayari ya Jupiter imekuwa ikimwaga maji mengi anga za juu. Wanasayansi waliripoti mara ya kwanza kuhusu kuwepo kwa maji...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
In October 2013, Presidents Yoweri Museveni of Uganda, Paul Kagame of Rwanda and Uhuru Kenyatta of Kenya agreed to implement a Single Customs Territory (SCT) between them as members of the East...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
What is the space between one star with another in the sky ? But also these things confuse me, Sun is a star according to my understanding and my teachers, but moon is not a star? If yes what is...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina imani kwamba wengi wanakubaliana kwamba jua ndio ipo Kati na kila sayari ikiwemo dunia katika mfumo wetu wa jua inaizunguka jua. Lakini sasa mtu ni ngumu kuashiria kwamba dunia inaizunguka...
2 Reactions
81 Replies
15K Views
Hong Kong (CNN) The search for alien life just got bigger. A lot bigger. The world's largest telescope will be completed this week in China and it has scientists very, very excited. With a...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kama una malengo Fulani katika maisha na unapenda kufahamu ni nini kinachopelekea wengi kushindwa kutimiza malengo yao ili kuhakikisha unaepuka kurudia makosa, hii mada inakuhusu. Mada hii...
15 Reactions
12 Replies
9K Views
Ndugu wanajamvi, Kwa kuwa kazi ya TISS ndiyo kazi ambayo Mimi navutiwa nayo sanaa katika maisha mathalani ukiachilia shughuli zangu za hapa na pale ata itikadi zangu kisiasa. Ni maoni yangu kuwa...
1 Reactions
0 Replies
874 Views
Mojawapo wa Ushahidi Kuwa Jambo, Kiumbe au hali fulani Ipo Ni kwa Kila Kabila na Lugha za Dunia yote Kuwa Na jina la Kiumbe, Jambo au hali hiyo. Mfano Sisi Kule Rombo Nilikozaliwa, Nimekuta Watu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kuelimishwa juu ya hiki kitu kufa. Tukisema mtu kafa kinachokufa ni nini? Je, kutopumua ni kufa? Brain kutofanya kazi ni kufa? Mapigo ya moyo yakiacha kufanya kazi ndio kufa au roho...
9 Reactions
181 Replies
33K Views
Nimeamini kuwa watoto wachanga katika umri wao uona mengi sana ikiwa ni pamoja na kuwaona malaika na kucheka nao,ilikua hivi miezi mi 2 iliyopita Mungu kamjalia best yangu na kupata mtoto wa kike...
4 Reactions
36 Replies
13K Views
Kuna dhana mbalimbali za kuhusiana na sababu zinazosababisha uhalifu wa jinai na kuibuka kwa makundi ya kihalifu na ugaidi. Baadhi ya dhana hizo zinajadiliwa kama ifuatavyo:- Sababu za...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
I did warn you this was/is a rant. Now that being said, i am also very much curious. Mimi nimtanzania! At the age of 12 i moved to the US. Bado nina kumbukumbu nyingi nzuri za Tanzania, since...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Katika utafiti wa jiografia huko marekani,imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia,Tofauti yetu na wao ni kwamba sisi twazaliwa kwa kupitia mama...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
"Imezoeleka" kwamba mtoto anapozaliwa anahesabiwa kuwa na umri sifuri (zero/dash) na mzalishaji ndio huamua ni mda gani mtoto huyu alianza kuhesabiwa milisecond ya kwanza. Ni kama kusema...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Mafundisho ya dini hutueleza kuwa tumeumbwa kwa mfano wa mungu. Swali langu ni kama sisi sote ni mfano wa mungu inakuaje kuna mwanamke na mwanaume? Inakuaje mwanaume anakuwa mfano wa mungu hapo...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom