Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Kikundi cha wanajiolojia watafiti Katika makala haya, tutaangalia jinsi wanasayansi wa kawaida, tena ambao walikuwa hawaamini kabisa kwamba kuna Mungu au shetani, katika utafiti wao ambao...
3 Reactions
34 Replies
20K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na documentary moja inayoelezea mantiki nzima ya New Word Order NWO, Kuna mengi yameelezewa lakini haya machache yamenifanya niamini kama ni kweli basi hakuna...
12 Reactions
209 Replies
24K Views
There is no original Swahili word to mean Money. This is revealing truth which came after the intensive research that I have done. The word that are in use in Swahili language to mean Money are...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanadamu tunaamini katika maisha baada ya kifo, ingawa maisha haya yanapishana kutokana na dini mbalimbali, lakini kwa ujumla common ground ni kuwa tutaishi baada ya kufa. Msingi wa maisha baada...
2 Reactions
213 Replies
19K Views
Habari zenu wanajf,ni njia gani sahihi zaidi ya kukabiliana na uoga,watu huita phobia wengine huita anxiety,wataalamu karibuni mfafanue
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Napenda kuleta mjadala huu kwenu GTs, katika level zote nilizowahi kusoma, nilikutana na course ya psychology kwenye level ya Diploma na First degree, kwa bahati mbaya sikuona topic iliozungumzia...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama mungu aliumba binadamu na vitu vyote, basi mungu alihusika kumuumba shetanii. Kwahiyo asingekuwa shetani kusingekuwa na dhambii?
1 Reactions
18 Replies
2K Views
wakuu habari zenu,poleni na majukumu ya kazi . Kama kichwa cha habari hapo juu kisemavyo,muda mrefu sasa nimekuwa nikijibizana na nafsi yangu juu ya muonekano sahihi wa dunia yetu hii kutoka anga...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Sehemu ya walinzi wanao linda makao makuu ya papa (baba mtakatifu) huko Vatican . Vigezo vya kuwa mlinzi wa Vatican ni kama ifatavyo: 1.Lazima uwe mkatoliki 2.Lazima uwe haujaoa (msela). 3.Lazima...
7 Reactions
88 Replies
29K Views
Paul Kagame - Wikipedia, the free encyclopedia Jakaya Kikwete - Wikipedia, the free encyclopedia Controversy about Kikwete's encouragmeent of negotiations between Rwanda and the FDLR On 26 May...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habarini humu! Moja kati ya maswali ambayo najiuliza ni kama Mungu hayupo sasa mbona ni jina maarufu sana, nafikiri ni jina pekee lenye kuabudiwa kwa namna tofauti tofauti.. sasa kama hayupo...
7 Reactions
453 Replies
27K Views
"Maandamano ya kupinga ada ya vyuo vikuu Afrika Kusini" Wiki iliyopita, wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Afrika Kusini walianza kufanya maandamano ya kupinga ongezeko la ada kwa asilimia 10.5 katika...
0 Reactions
4 Replies
952 Views
SOMO: FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA KWA UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU Kumb 33:1-9, Mwanzo 49:3-7, 1Kor 2:10 Kila mwanadamu aliyeumbwa na Mungu Aliye Hai, ameumbwa na nguvu maalumu kutoka mbinguni...
3 Reactions
18 Replies
6K Views
Nauliza tuu..km hawa jamaa wetu wanaotoka kanda ya ziwa na magharibi wakiw ana identity za mashaka na zinazobadilikabadilika ,na wenye asili ya ukabila uliotukuka hakuleti hatari ya kuja shughudia...
3 Reactions
124 Replies
23K Views
Kama kuna elimu ambayo inatakiwa ifundishwe kwa sasa ni hii "nguvu ya akili ktk maamuzi". hii ni kwasababu kuwepo kwa waathirika wengi ambao hufanya maamuzi ya hisia pasipo kushirikisha akili...
7 Reactions
24 Replies
7K Views
Average IQ of Countries The average IQ in the United States is usually set at 100. Groups within the US score different average IQ's, such as 115 for college grads or 85 for African-Americans...
0 Reactions
313 Replies
51K Views
Hii ni mada nzuri kuijadili kwa pamoja japo mimi nitatoa tafsiri yangu.Nimevutwa na hili kutokana na mazingira magumu ya sasa,wapo wengi wanamwomba Mungu lakini mahitaji yao hayatimii,wapo...
4 Reactions
15 Replies
8K Views
Fuatana nami..... Mpelelezi ni mtu anayekusanya taarifa za adui , mshindani wa biashara au serikali adui ila saa nyingine mpelelezi huyo anaweza kufanya kazi ya kumpeleleza adui ila akamgeuka...
14 Reactions
255 Replies
54K Views
Moja ya maswali magumu niliyoulizwa na my frend wangu ni kuwa binaadamu jicho lake lina megapixel ngapi?? Hii nikutokana nilimwambia jicho la binadamu ni mfano mzuri wa kamera ya simu yake (iphone...
2 Reactions
30 Replies
11K Views
Operation ya kwanza kwenye mwili wa binadamu ilifanywa na mungu mwenyewe.Kwa kutumia nadharia ya kidini ( devine theory). Ukisoma maandiko matakatifu (bible) Genesis 2:21."Bwana mungu akamletea...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom